mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
Kuna oral had za mwez November mwaka janawalio hitimu enzi za jk hzi shida hawakupitia kabisa uwezi amini till now mkeka wenye idadi ya watu 1700+ pekee haujatoka ,wengine wanadai unatoka kidogo dogo.
enzi za JK pdf ilikua inasomba majina 40000 elfu kwa wakati mmoja, nimeamini dunia tunapita acha kubania wenzio coz ndio tegemeo la familia coz hata wewe huwezi ishi milelee now yukowapi na ikowapi jeuri yake yule alioharibu future/fursa za vijana akaona ajira na uwezeshaji sio kazi ya serikali kabisa.
mama samia endelea kutukumbuka vijana watazame na hawa PSRS coz uwajibikaji kwao ni zero kabisa , oral january while placement desemba !!
sawadogo life limekua la moto balaa
daah so sad champKuna oral had za mwez November mwaka jana
Ndo hapo hata Mimi najiuliza kwanini kusiwe na electronic signatureHivi na waziri wa fedha pamoja na Gavana wa BOT huwa wanasaini hela zote za noti? Au huwa inakuaje wadau maana nashindwa kuelewa inakuwaje mambo yanakuwa hivyo au kuna mahala technology inakuwa applicable na mahala pengine inakuwa not applicable?
Sent using Jamii Forums mobile app
I feel how you feel champ,ugumu wa maisha kwa vijana tushauzoea,ila huu mtindo wa kukaa na majina ya watu baada ya oral ni uhuni mbaya zaidi na unawaweka watu pabaya zaidi.walio hitimu enzi za jk hzi shida hawakupitia kabisa uwezi amini till now mkeka wenye idadi ya watu 1700+ pekee haujatoka ,wengine wanadai unatoka kidogo dogo.
enzi za JK pdf ilikua inasomba majina 40000 elfu kwa wakati mmoja, nimeamini dunia tunapita acha kubania wenzio coz ndio tegemeo la familia coz hata wewe huwezi ishi milelee now yukowapi na ikowapi jeuri yake yule alioharibu future/fursa za vijana akaona ajira na uwezeshaji sio kazi ya serikali kabisa.
mama samia endelea kutukumbuka vijana watazame na hawa PSRS coz uwajibikaji kwao ni zero kabisa , oral january while placement desemba !!
sawadogo life limekua la moto balaa
Na kuna jobless wengine wanashindwa kuendelea na mishe zao za kila siku kwasababu wanamatumaini na pdf ya placement ya psrsI feel how you feel champ,ugumu wa maisha kwa vijana tushauzoea,ila huu mtindo wa kukaa na majina ya watu baada ya oral ni uhuni mbaya zaidi na unawaweka watu pabaya zaidi.
Just imagine kwenye mkeka wa mda/lga tu wamehold watu karibu 6000 wote wanamatumaini huenda wakalamba asali,watu 6000 wote hao wanatoa masononeko kwa ajili ya placement ilihali wangewapa majibu aliyekosa ajue alalamike asahau aendelee na mishe nyingine.
Basi tu ni vile sauti yetu haifikii mamlaka za watu wenye maamuzi ila hii kitu haijakaa poa kabisa.
Hii nchi ina ubinafsi sana. Hivi kweli mpaka kipindi kama hiki kwa Technology ilivo-advance hivi bado wanashindwa kwenda na kasi ya Technology?Ndo hapo hata Mimi najiuliza kwanini kusiwe na electronic signature
Jamaa akipata changamoto kiafya mpaka akae sawa ndo asaini.Hii nchi ina ubinafsi sana. Hivi kweli mpaka kipindi kama hiki kwa Technology ilivo-advance hivi bado wanashindwa kwenda na kasi ya Technology?
Yaani barua zinarundikana ofisini eti mpaka mtu mmoja asaini ndio mchakato uendelee?
#Selfish
#Bureaucracy
wanaona ila wanalindanaI feel how you feel champ,ugumu wa maisha kwa vijana tushauzoea,ila huu mtindo wa kukaa na majina ya watu baada ya oral ni uhuni mbaya zaidi na unawaweka watu pabaya zaidi.
Just imagine kwenye mkeka wa mda/lga tu wamehold watu karibu 6000 wote wanamatumaini huenda wakalamba asali,watu 6000 wote hao wanatoa masononeko kwa ajili ya placement ilihali wangewapa majibu aliyekosa ajue alalamike asahau aendelee na mishe nyingine.
Basi tu ni vile sauti yetu haifikii mamlaka za watu wenye maamuzi ila hii kitu haijakaa poa kabisa.
Sauti zinafika, they don care. ndo maana ukienda kwenye saili wanajishtukia. Ooooh baada ya week tatu tu mambo yatakuwa yamekamilika. Mauongouongo tyuuu.Ahadi huamsha matarajio, humpa mtu subra, huchepusha dua na sala za watu, humbwetesha mtu asitafute mbadala. Ahadi unayotoa yaweza kukuinua ama kukubomoa mbele ya muahidiwa. Usiwe mwepesi wa kuahidi yasiyo ndani ya uwezo wako. Ahadi si tu ni deni, bali ni mtego wa heshima.
Basi tu ni vile sauti hazifikii mamlaka ila basi wangeona hata uchungu kwa kidogo watu wanachotumia kufata hizo interview maana wengine wanaweka mpaka rehani vibarua vyao.
1.Inaonyesha Imewagusa watoto wao ....Huwa najiuliza kwanini pdf ya TRA ilitoka masaa machache baada ya Rais kuwasema
Na kwenye page yao ya jamii forum ukitoa changamoto huwa hawajibu, ukiwasifia wanajibu fasta tuSauti zinafika, they don care. ndo maana ukienda kwenye saili wanajishtukia. Ooooh baada ya week tatu tu mambo yatakuwa yamekamilika. Mauongouongo tyuuu.
Haya shauliki coz unakuta boss wake wana vinasaba nae ,either anaweza kuwa shemeji,mjomba ama shangazi ake wote wako ofisi moja .psrs mnakwama wapi kurekebisha interval ya usaili na placement.
Vijana wamepigia kelele kwa muda mrefu lkn mambo ni yaleyale. Hambadiliki. Why???????????.
Msitutangazie kazi turekebishieni suala la interval kwanza.
Ingawa na wenyewe unaaply kupitia psrs Ila barua unaiadress kwa Vice ChancellorNaona UDSM wametoa nafasi kama zote
Mashirika kuajiri yenyewe yamefunguka sasa