HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndo hapo hata Mimi najiuliza kwanini kusiwe na electronic signature
Hii nchi inafikirisha sana, unashangaa unawasilisha passport yako kwa wakandaji na bado wanakuuliza cheti cha kuzaliwa!!! Hivi mtu unaweza pata passport kwa cheti cha kuzaliwa ambacho si chako? Kuna mataifa mengine ukiwaonyesha passport hawakuulizi habari za birth certificate. Lakini TZ daaah tunasafari ndefu mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swala tulipigie kelele aisee, huu ni ukatili kwa vijana wa kitanzania, ni kutokujali rasilimali zao ikiwemo muda wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli nduguu...inaleta huzuni sanaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wakati passport imecontain information nyingi kuliko hata cheti cha kuzaliwa na ili uwe na passport lazima uwe na birth certificate
 
Na wakati passport imecontain information nyingi kuliko hata cheti cha kuzaliwa na ili uwe na passport lazima uwe na birth certificate
Kuna mahali niliapply scholarship wakaandika unaruhusiwa ku-attach birth certificate au passport basi. Hawataki u-attach vyote. Njoo Tz sasa ni vichekezo uje na cheti orijino cha kuzaliwa na kitambulisho cha kukutambulisha duuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aweke adhabu ya viboko kwa watumishi wa sekretarieti ya ajira wanapochelewesha kutoa pdf
 
mzee uliopo kwenye asali, ukitaka kusoma ukiwa mtumishi ni muda wowote unaoutaka au kuna vigezo kwanza inabidi utimize?
Kila mwajiri ana taratibu zake za kuruhusu watu wake wakasome.

Pia lazima awape muongozo wa kwenda kusoma kitu ambacho kitakuongezea skills za kazi unayoifanya.

Kwa hiyo muda wa kurudi shule yeye atakuruhusu muda wowote atakaoona unafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…