Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 491
- 1,093
Ila mara nyingi ni kuanzia miaka 2Kila mwajiri ana taratibu zake za kuruhusu watu wake wakasome.
Pia lazima awape muongozo wa kwenda kusoma kitu ambacho kitakuongezea skills za kazi unayoifanya.
Kwa hiyo muda wa kurudi shule yeye atakuruhusu muda wowote atakaoona unafaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sanaHuko Ndio Kuna mfaa, akasimamiea mbio za wenge
anakaukoloni flan hiviEti tusiingie ofisini na simu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwamsheni kutoka usingizini huyo......
Waachie keka la Data baseKwa ukimya huu wa psrs, naamini wanatuandalia kitu kizuri
Ili ni tatizo kubwa sna mkuu jobless wengi ni waoga na wanapenda kusemewa kuliko kujisemea wenyew lakini kungekua na umoja ingekua rahisi kupaza sauti na kusikilizwaJobless wenyewe walio wengi hawako huko Twitter, na hata kama wapo ila ni waoga kupush agenda.
Nafikiri Insta ndio inaweza kupata support kubwa
Hawakawii kukaa kimya na kuachia pdf ya page mojaKwa ukimya huu wa psrs, naamini wanatuandalia kitu kizuri
Kesho ijumaa kuu kiongozi, Sio kwamba watu wanaenda kula pasaka. Mi nahisi Leo wasipoachia inaweza kua had jumanne au jumatano next weekLeo au kesho kuna watu watalambaa asali
Kwa mujibu wa chem chem yangu anadai hawanaga skukuu wale wanaendelea kuhudumia hasa katika utoaji wa matokeo ambayo yapo tayariKesho ijumaa kuu kiongozi, Sio kwamba watu wanaenda kula pasaka. Mi nahisi Leo wasipoachia inaweza kua had jumanne au jumatano next week
Pdf ya placement kutoka siku za weekend ni nadra sana ukiachana na ile walioachia jumapili ya juzi. Sijui ngoja tuangalie, ila Mimi natoa asilimia kubwa za uwepo wa pdf kwa siku ya leoKwa mujibu wa chem chem yangu anadai hawanaga skukuu wale wanaendelea kuhudumia hasa katika utoaji wa matokeo ambayo yapo tayari
Huyo IT wa PSRS haeleweki aisee wiki iliyopita katoa mikeka miwili na ilikuwa siku ya jumapili.Kesho ijumaa kuu kiongozi, Sio kwamba watu wanaenda kula pasaka. Mi nahisi Leo wasipoachia inaweza kua had jumanne au jumatano next week
Psrs wametufanya tumekua kama wapiga ramli, ni mwendo wa kuotea tuHuyo IT wa PSRS haeleweki aisee wiki iliyopita katoa mikeka miwili na ilikuwa siku ya jumapili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Laptop hutapata shida yeyote na uwe na Internet access ya kuelewekaHabari zenu jamani. Naombeni msaada, kwenye kuregister ajiraportal nime upload verified certificates lakini bado naambiwa no verification certificate uploaded. Shida itakuwa ni nini jamani.
za ndanii hzi mkuu?Leo au kesho kuna watu watalambaa asali
huyo ni TISS mwandamizianakaukoloni flan hivi
The same to mePdf ya placement kutoka siku za weekend ni nadra sana ukiachana na ile walioachia jumapili ya juzi. Sijui ngoja tuangalie, ila Mimi natoa asilimia kubwa za uwepo wa pdf kwa siku ya leo