little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 998
AlisemajeNgoja tuone N/W Kikwete upya wake kwenye Wizara ya utumishi upoje!!!!!
Kuna kauli jana alimjibu mbunge mmoja niliipenda sana.....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Atakua ameshalamba asaliYuko wapi yesamrich ?
kauli,alisemaje??Ngoja tuone N/W Kikwete upya wake kwenye Wizara ya utumishi upoje!!!!!
Kuna kauli jana alimjibu mbunge mmoja niliipenda sana.....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
kunavideo moja hivi inagoma kutuma ingia twitter ya Mh. N/W kikweteAlijibuje ?
Hahahaa! Kama unaenda na GPA yako ya 4.8 kutoka TEKU watu wanakukanda tuThey must be potentially academic good..[emoji23][emoji23]...hapo ndo kwenye key point.
Sent using Jamii Forums mobile app
Re-advertised maana yake hizo nafasi zilishatoka na watu walioomba hawakufikia vigezo ndio maana zimetangazwa tenaNaona UDSM wametoa nafasi kama zote
Mashirika kuajiri yenyewe yamefunguka sasa
Dah watu wa sec selection wanaonekana vilaza sio 😫Utumishii wanadai wajiri ndiyo wanazingua kuhakiki watu from data base hawaeleweki ambao wazungu ni hawa ngazi za serikali za mikoa na wilaya yoyote twende tu
Zipo aina gani za dinga mkuu?Nimepita tcra yani ist ni za kuhesabu, huku nahisi wana majaba ya asali
Kweli binti kaadimika sanaAtakua ameshalamba asali
Mm nahisi hizo taasisi watu wamejimilikisha si taasisi za umma kama ndo hivyo.Utumishii wanadai wajiri ndiyo wanazingua kuhakiki watu from data base hawaeleweki ambao wazungu ni hawa ngazi za serikali za mikoa na wilaya yoyote twende tu
Alisemaje eti?Ngoja tuone N/W Kikwete upya wake kwenye Wizara ya utumishi upoje!!!!!
Kuna kauli jana alimjibu mbunge mmoja niliipenda sana.....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hii taarifa ya lini maana tumeshajitolea mpaka tumeota sugu asee! [emoji16]Hv hawa jambo la kanzidata wanalichukuliaje?? Ambao kanzidata imekuwepo muda wote wanalia nayo sembuse hawa watakaoanza kuwekwa kwa kanzidata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2578457
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwann TEKU? TEKU nao si chuo kikuu?Hahahaa! Kama unaenda na GPA yako ya 4.8 kutoka TEKU watu wanakukanda tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi ipo[emoji1]Database ipo ila waajiri tu kizungumkuti utumishi inatamani hata wote waliopo database watoke zije saili mpya waziratibu
[emoji1787][emoji1787]Ahaha kanzidata I naelekea kulemewa sasaHv hawa jambo la kanzidata wanalichukuliaje?? Ambao kanzidata imekuwepo muda wote wanalia nayo sembuse hawa watakaoanza kuwekwa kwa kanzidata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2578457
Mimi sijasema chochote ila kumbuka UDSM ni mlimani waliopita pale wanajua maana ya mlima/hill[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwann TEKU? TEKU nao si chuo kikuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa alikuwa anazungumzia walimu na manesi wanajitolea mashulen na mahospital wapewe kipaumbele!!!!Hv hawa jambo la kanzidata wanalichukuliaje?? Ambao kanzidata imekuwepo muda wote wanalia nayo sembuse hawa watakaoanza kuwekwa kwa kanzidata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2578457
Wanaacha kuongelea kanzidata ya Jestina mhagama wanaanza kuibua mambo mapya, kwanza wanaojitolea wengi inakuaga ni connectionHv hawa jambo la kanzidata wanalichukuliaje?? Ambao kanzidata imekuwepo muda wote wanalia nayo sembuse hawa watakaoanza kuwekwa kwa kanzidata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2578457
Wanaacha kuongelea kanzidata ya Jestina mhagama wanaanza kuibua mambo mapya, kwanza wanaojitolea wengi inakuaga ni connectionHv hawa jambo la kanzidata wanalichukuliaje?? Ambao kanzidata imekuwepo muda wote wanalia nayo sembuse hawa watakaoanza kuwekwa kwa kanzidata[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2578457