Hawatakagi kuongea ukwel waajiri...Niliongea na mwajiri mmoja hivi akasema wanapenda watu waajibikaji katika ofisi ...Utumishi wanaleta watu wavivu wa kazi (kuchat na story )office kazi haziendi kwahiyo wao wanashindwa la kuwafanya!!!Mm nahisi hizo taasisi watu wamejimilikisha si taasisi za umma kama ndo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatakagi kuongea ukwel waajiri...Niliongea na mwajiri mmoja hivi akasema wanapenda watu waajibikaji katika ofisi ...Utumishi wanaleta watu wavivu wa kazi (kuchat na story )office kazi haziendi kwahiyo wao wanashindwa la kuwafanya!!!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4]...nimekuelewa mkuu.Mimi sijasema chochote ila kumbuka UDSM ni mlimani waliopita pale wanajua maana ya mlima/hill
Ni kweli apo watu wachujwe kwa vipimo sawa (mitihani) kujitolea bila connection ngumu sana.Wanaacha kuongelea kanzidata ya Jestina mhagama wanaanza kuibua mambo mapya, kwanza wanaojitolea wengi inakuaga ni connection
we mwamba umeongea ukweli mtupuWanaacha kuongelea kanzidata ya Jestina mhagama wanaanza kuibua mambo mapya, kwanza wanaojitolea wengi inakuaga ni connection
Ila chemchem ya bw.makofia huwaga Ina ukwel wa kutosha....binafsi nakuamin kakaKwa mujibu wa chem chem yangu anadai hawanaga skukuu wale wanaendelea kuhudumia hasa katika utoaji wa matokeo ambayo yapo tayari
Kbsa hyu jamaa ansemaga vt vyenyeweeIla chemchem ya bw.makofia huwaga Ina ukwel wa kutosha....binafsi nakuamin kaka
Tuwe wapole, kuna jamaa kasema leo kuna kila daliliPDF hapa naona hadi next week wakubwa..tujiandae tu na sikukuku
HONGERA SANA MADAM 💪🏼💪🏼💪🏼Uwiiii jamani asante sana Mungu wangu[emoji120].
Guys kumbe pdf la juzi nilipata yani leo kuna mtu kanipigia ndo ananiuliza naenda lini dom kufata barua.
Pdf ikitoka i always search for kada yangu only but kumbe nimepangiwa kitengo kingine ambacho kinarelate na nlichofanyia interview.(but a bit higher[emoji39])
Am still in shock[emoji2296]
Na yenyewe lazima connection, angalia hata watu wanaofanya kaz kwa mkataba kama Tanesco au Tanroads, asilimia90 wameingia kwa connectionKupata nafasi ya kujitolea sukuhzi imekua ngumu kama ajira
Job less tunapitia wakati mgum sana, mungu atusimamie kwakweliPDF hapa naona hadi next week wakubwa..tujiandae tu na sikukuku
Now inafungukaWazee wa best loser mbona app ya psrs haifunguki na haina chochote
Au ndo kilio cha PDF la database
Best loser tunaingia kwenye website ya psrs mara10 kwa sikuNow inafunguka
Wao kama Taasisi watatuaje watu wavivu? Eti utumishi wanaleta watu wavivu wakati wa usaili huwezi kujua yupi mvivu.Hawatakagi kuongea ukwel waajiri...Niliongea na mwajiri mmoja hivi akasema wanapenda watu waajibikaji katika ofisi ...Utumishi wanaleta watu wavivu wa kazi (kuchat na story )office kazi haziendi kwahiyo wao wanashindwa la kuwafanya!!!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app