Na Uvivu unatokana na situation ya ofisi husika, mtu huyo huyo anaeonekana mvivu kwenye taasisi X akienda taasisi Y anaweza kua mchapakazi, then uvivu hauwez pimwa kwenye interview.Wao kama Taasisi watatuaje watu wavivu? Eti utumishi wanaleta watu wavivu wakati wa usaili huwezi kujua yupi mvivu.
Kinoma aisee, hiyo ndo PDF ya pasakapdf uchwara aiseeh ,hawa jamaa miyeyusho kinoma
Kinoma aisee, hiyo ndo PDF ya pasaka
PDF yenyewe yakichovu balaa
Yes, huo ndo ukweliNaisi sisi watu wa mda and LGA tumewekwa database hahahaha I love you Tanzania.
Hahahha! (Cheko yenye maumivu ndani yake)Naisi sisi watu wa mda and LGA tumewekwa database hahahaha I love you Tanzania.
Vanguard, rav4, mark x n.k…Zipo aina gani za dinga mkuu?
Subira wiki 1 au mbili ndio inakuwa tayar, c unajua PSRS Kila kitu n mchakatoHabari zenu jamani. Naombeni msaada, kwenye kuregister ajiraportal nime upload verified certificates lakini bado naambiwa no verification certificate uploaded. Shida itakuwa ni nini jamani.
Hivi hiyo n ya LGA?Pdf ya mchongo...37kb
siku tukiimba verse moja ndio itakuwa mwisho wa huu uduanzi.sasa ilikuwa ina haja gani kuita watu interview siku moja na wakati nafasi hazipo zinatoka kama k*si cha mbuzi
Tutafika ila kwa mbinde[emoji23]Naisi sisi watu wa mda and LGA tumewekwa database hahahaha I love you Tanzania.