HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kulikuwa na haja gani ya kutoa ki-PDF kidogo
Halaf baada ya muda mfupi linakuja li-PDF lingine likubwa kubwa????
Yaaani lengo ni nini aswa?? IT na anaeidhinisha kutolewa kwa matangazo ni watu tofauti?????
Ila...au basi
 
We ni mtu muhimu sana kaka humu endelea kutupa updates...sio jambo dogo kudadisi
 
Kwani wee unakaa mtaani au nyumban kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…