HALMASHAURIUnamaana sisi wa halmashauri tunakunywa maji kwenye jagi au
Makofia360 aminia brother,Huwa hukoseagi wew.....sasa check sms nimekuchek kidogo kakaMambo mazuri yapo hii mitaasisi ndiyo mizinguzi la sivyo watu wangecheka mno,,, ila kuna bomu kubwa nadhani wiki ijayo inshallah
Endelea kutupa updates mkuu ...Mambo mazuri yapo hii mitaasisi ndiyo mizinguzi la sivyo watu wangecheka mno,,, ila kuna bomu kubwa nadhani wiki ijayo inshallah
Hahahahaha eti unaweza ukala bure kwa mama ntilieHALMASHAURI
1. HR-Ukame mara nyingi anakula viposho kutoka loan officers wa bank wanapoleta fomu za mikopo ya watumishi
2. Muhasibu- asali kidogo kwenye kusaini fomu za wazabuni na wakandarasi. Omba Mungu wa Mwamposa ukifika wasikupange sekondari au zahanati umekwisha.
3. Afisa biashara- asali kidogo ukiwa mjanja na mwenye maneno mengi kwenye kukata leseni za biashara. Ukiwa na mikwala waweza Kula Bure Kwa mamantilie
All the best wakuu
Anajitolea kwa koneksheni huyo. Msidanganye umma wa Vijana wa Ki Tz.Ni kweli nina jamaa yangu anajitolea brela analipwa posho ya nauli na chakula 400000 exraduty 600000 kuna viposho vya hapa na pale ,kwa mwezi hakosi m
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Aysee kwelii na wakileta haya maujinga utakuwa uchochoro wa kuwekana.Wanaacha kuongelea kanzidata ya Jestina mhagama wanaanza kuibua mambo mapya, kwanza wanaojitolea wengi inakuaga ni connection
Taasisi nyingi watu wanajitolea kwa connection, kauli ya spika ya kusema wanaojitolea wapewe kipaumbele kwenye ajira wakisema waitekeleze itakua ni uchochoro wa kupachikana kwenye mirija ya ajiraAnajitolea kwa koneksheni huyo. Msidanganye umma wa Vijana wa Ki Tz.
Kama huamini kaombe wewe nafasi ya kujitolea bila malipo kama utapata!
Ubarikiwe mkuu , umeongea ukweli 💯.Hoja ya Utumishi kuchelewesha mchakato wa kutoa majibu na kupangia watu vituo vya kazi inaambatanishwa na hoja zifuatazo
Secretariat haifuati taratibu zake yenyewe, soma kuhusu sheria na namnanya kuchakata usaili
Wanatakiwa kuitisha usaili upya endapo nafasi husika hazina watu au waliopo kwenye kanzi data hawana sifa stahiki, tuchukue mfano mmoja, nimfano jamani.., je ni wahasibu wangapi wanafanya usaili tena wanafaulu na wana CPA lakini bado utaona tangazo lakutafuta mhasibu,sasa tunauliza mtu amefaulu written na amepitishwa na NBAA - yaani Certified Public Accountant vipi humpi kazi humwamini mpaka utangaze upya.
Kufanya usaili mara kwa mara kuna madhara yafuatayo kwa wahusika na serikali kwa unumla
Kuliwa muda wao ambapo wange tumia kufanya mambo mengine,pili gharama(nauli maradhi,chakula n.k) tatu Serikali yenyewe inatumia gharama nyingi katika saili hizo.
Wanazuoni tunataka taratibu zifuatwe,kama zimebadilishwa wanawajibu wakutangaza kuwa sheria zile hazitumiki ,lazime wajibu hoja za msingi na Data base itumike otherwise wataonekana wanakiuka utaratibu.
Kuna hoja ya kurudisha saili katika taasisi kukasimisha- ndg zangu hamjui ni changamoto zipi zipo huko ila tusijaribu hicho kitu tutawapa ulaji ma HR na Wakurugenzi wataasisi husika,niheri waendelee hao utumishi japo wana changamoto zao ila sio hao wengine.
Ahsanteni,
Its Linswena.
Amna kitu site mbovu tu ile kila siku usiku inakuwa hivyoSite inazngua kwa sasa nadhan IT anapandisha PDF mpya
Kwema kaka? Huu ushauri ni vema ungekua uzi kamili kwenye jukwaa la hoja na habari mchanganyiko.NJAA zitawauwa vijana, acheni kujipa mioyo na kutegemea ajira za kubeti..endeleen na ishu zingine huko mtaani.
Kuna wengine kila wakitizama selections za wanaoitwa makazini wasipoona majina yao wanakasirika na kutukana, mtatukana sana, haiwezekan wote mkaajiriwa hilo muondoe akilini.
Na kuna wale wengine wao hukesha mitandaoni wakingojea hizo PDF ni kama wamejihakikishia kuwepo humo ktk hizo PDF nipende kuwaambia na ninyi mnapoteza muda wenu.
Na kuna wale wazee wa kulaum na kulalamika kila jambo, utasikia System mbovu, sjui kitu gani na gani, na ninyi pia mnapoteza muda wenu.
Nchi ina watu wengi majobless so msitegemee kila mtu kuajiriwa, ukipata chance shukuru, ukikosa kausha na fanya ishu zingine.
Tatizo lenu wasomi uchwara hamtaki kazi ngumu mitaan mnajiona special sana wacha niwape hii KWELI CHUNGU, mtajibeba acheni kujipa matumain ya kupata ajira, achen kujipa matumain ya kusubiri hizo ajira za kubeti.
Mtu unapoteza muda wako kwenda interview ya watu wanaoomba zaid ya 1000 na wanaohitajika kazini si zaid ya 100 sasa unaenda kutafta nini huko kama sio kuitaka heart break?.
Vijana niwaambien ktk nyakat za sasa ili utoboe ni either uwe na[emoji116]
Connection
Connection
Connection
Uchawi+ndumba
Rushwa+kujituma+Luckness.
Tofaut na hapo utasota sana la muhimu wajameni pigeni kazi, mmepoteza muda wenu kusoma si ili mje kuwa walalamishi na wategemezi bali kujiongeza na kujitambua nini mnatakiwa mufanye ili musurvive.
Huu ndio ukwel mchungu ambao vijana wengi humu hamuupendi.
Mzee,Tajiri,Mjasiriamali nakuita mara tatu. Hakuna mtu anayelalamika kukosa kazi kupitia Psrs watu wanalalamikia bureaucracy.NJAA zitawauwa vijana, acheni kujipa mioyo na kutegemea ajira za kubeti..endeleen na ishu zingine huko mtaani.
Kuna wengine kila wakitizama selections za wanaoitwa makazini wasipoona majina yao wanakasirika na kutukana, mtatukana sana, haiwezekan wote mkaajiriwa hilo muondoe akilini.
Na kuna wale wengine wao hukesha mitandaoni wakingojea hizo PDF ni kama wamejihakikishia kuwepo humo ktk hizo PDF nipende kuwaambia na ninyi mnapoteza muda wenu.
Na kuna wale wazee wa kulaum na kulalamika kila jambo, utasikia System mbovu, sjui kitu gani na gani, na ninyi pia mnapoteza muda wenu.
Nchi ina watu wengi majobless so msitegemee kila mtu kuajiriwa, ukipata chance shukuru, ukikosa kausha na fanya ishu zingine.
Tatizo lenu wasomi uchwara hamtaki kazi ngumu mitaan mnajiona special sana wacha niwape hii KWELI CHUNGU, mtajibeba acheni kujipa matumain ya kupata ajira, achen kujipa matumain ya kusubiri hizo ajira za kubeti.
Mtu unapoteza muda wako kwenda interview ya watu wanaoomba zaid ya 1000 na wanaohitajika kazini si zaid ya 100 sasa unaenda kutafta nini huko kama sio kuitaka heart break?.
Vijana niwaambien ktk nyakat za sasa ili utoboe ni either uwe na[emoji116]
Connection
Connection
Connection
Uchawi+ndumba
Rushwa+kujituma+Luckness.
Tofaut na hapo utasota sana la muhimu wajameni pigeni kazi, mmepoteza muda wenu kusoma si ili mje kuwa walalamishi na wategemezi bali kujiongeza na kujitambua nini mnatakiwa mufanye ili musurvive.
Huu ndio ukwel mchungu ambao vijana wengi humu hamuupendi.
Naenda nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiNJAA zitawauwa vijana, acheni kujipa mioyo na kutegemea ajira za kubeti..endeleen na ishu zingine huko mtaani.
Kuna wengine kila wakitizama selections za wanaoitwa makazini wasipoona majina yao wanakasirika na kutukana, mtatukana sana, haiwezekan wote mkaajiriwa hilo muondoe akilini.
Na kuna wale wengine wao hukesha mitandaoni wakingojea hizo PDF ni kama wamejihakikishia kuwepo humo ktk hizo PDF nipende kuwaambia na ninyi mnapoteza muda wenu.
Na kuna wale wazee wa kulaum na kulalamika kila jambo, utasikia System mbovu, sjui kitu gani na gani, na ninyi pia mnapoteza muda wenu.
Nchi ina watu wengi majobless so msitegemee kila mtu kuajiriwa, ukipata chance shukuru, ukikosa kausha na fanya ishu zingine.
Tatizo lenu wasomi uchwara hamtaki kazi ngumu mitaan mnajiona special sana wacha niwape hii KWELI CHUNGU, mtajibeba acheni kujipa matumain ya kupata ajira, achen kujipa matumain ya kusubiri hizo ajira za kubeti.
Mtu unapoteza muda wako kwenda interview ya watu wanaoomba zaid ya 1000 na wanaohitajika kazini si zaid ya 100 sasa unaenda kutafta nini huko kama sio kuitaka heart break?.
Vijana niwaambien ktk nyakat za sasa ili utoboe ni either uwe na[emoji116]
Connection
Connection
Connection
Uchawi+ndumba
Rushwa+kujituma+Luckness.
Tofaut na hapo utasota sana la muhimu wajameni pigeni kazi, mmepoteza muda wenu kusoma si ili mje kuwa walalamishi na wategemezi bali kujiongeza na kujitambua nini mnatakiwa mufanye ili musurvive.
Huu ndio ukwel mchungu ambao vijana wengi humu hamuupendi.
Mama(Rais)awe mwangalifu na hawa wabunge wake kuna bomu wanamtengenezea...bila connection hupati field tu!Taasisi nyingi watu wanajitolea kwa connection, kauli ya spika ya kusema wanaojitolea wapewe kipaumbele kwenye ajira wakisema waitekeleze itakua ni uchochoro wa kupachikana kwenye mirija ya ajira
1,375,000/=Oya ,hivi level ya Mshahara kwa PGSS7.1 ni kiasi gani ?
Mwenye ufahamu na hii scale naomba majibu tafadhali