HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Amina,Mwenyezi Mungu akakuongoze katika utumishi wako,hongera sana
 
Jamani naombeni kuuliza waliofanya usaili wa oral MDAs and LGAs mkeka ushaanza kutoka??kama bado matarajio yanaweza kuwa mwezi Gani wazee wa prediction maana hizi nafasi zinakaribia mwaka sasa tangu zitangazwe na mchakato wake zilitangazwa mei 2022
Nakushauri kesho ikiwajia ukiwa mzima nenda sokoni kanunue chakula unacho penda ule ufurahi ,Ili uishi maisha marefu , PSRS watakuwa Kwa presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…