HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mbona bado yupo ndan ya mda
 
Jamani naombeni kuuliza waliofanya usaili wa oral MDAs and LGAs mkeka ushaanza kutoka??kama bado matarajio yanaweza kuwa mwezi Gani wazee wa prediction maana hizi nafasi zinakaribia mwaka sasa tangu zitangazwe na mchakato wake zilitangazwa mei 2022
Mkeka ushaanza kutoka , wanatoa majina kidogo kidogo
 
Barua aliifuata utumishi? Kama hakufuata aende kwenye box akaangalie kama kweli wamemtumia au aifuate mwenyewe akawaombe, maana Naona zile siku Saba za kufuata barua zimeshaisha kitambo, hapo sijui labda watamuonea huruma kama hawajampa mtu mwingine.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hawawez mpa mtu mwingine mbaka ofisi aliyopangiwa itoe taarifa kwa psrs kua mhusika hajareport kazin, na hiyo process yote si chin ya mwez. Kuna siku saba za kuchukua barua utumishi then barua itatumwa kwa box la mhusika, then kuna siku14 za kureport kituo cha kazi
 

Kwa ufupi huyo mtu bado yupo ndan ya mda, nafasi yake ipo
 
Yupo ndani ya muda.Aende kwenye Sanduku la Posta akaangalie Barua yake kama ishatumwa.Na kama Bado aende DODOMA Chapu....
Siku 7 huwa za kuchukua Barua.
Baada ya Hapo Ndani ya siku 14 kuripoti Kwa Mwajiri...

Achangamke.Muulize lile Sanduku la posta aliloandika au kama alibadirisha siku ya Usaili Adili nalo Hilo.
 
Ameshawasiliana na mmiliki wa sanduku Alilotumia amemwambia aende jumanne

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…