Umesikia wapi? Miaka ya nyuma kidogo tra walikua wanaajiri wenyewe, walikua wanatoa tenda kwa vyuo vikuu na NBAA kufanya mchakato mzima wa ajira, mfano Mzumbe ya Dar na Tumaini ya Dar washafanya sana michakato ya interview kwa niaba ya traHivi tetesi hizi ni za Kweli!!!!Tra wamepewa mamlaka ya kuajiri yenyewe au bado Utumishi wanaendelea....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
yaah mkuu, karibia mwaka kabisaUtashaangaa hizo ajira 21000 za elim+afya, mchakato mzima hadi watu kuitwa makazini usichukue zaid ya miez mitatu, lakin psrs wenyewe michakato yao ni more than 6months
na njaaa inachapa kweli, maana vibarua vyenyewe vinaishia kwenye kula na nauli ,haloo asikwambie mtu ujoblesa ni nomaa wakuu . nachapika na mtaa zaidi ya Horoya kwa wana lunyasiWatu 1700 miezi 2 sasa wanajishauri tuachie au tuendlee kutoa kama choo cha mbuzi 😅😅
yupo kwenye utumishi wa umma zaid ya miezi miwili sasa, pumzi ya moto mwanangu kashasahauKuna jamaa anaitwa "Mazaga one" huyu jamaa vipi amelamba asali naona haonekani sana siku hizi?
Wamenyang'anywa posho hapo PSRSUmesikia wapi? Miaka ya nyuma kidogo tra walikua wanaajiri wenyewe, walikua wanatoa tenda kwa vyuo vikuu na NBAA kufanya mchakato mzima wa ajira, mfano Mzumbe ya Dar na Tumaini ya Dar washafanya sana michakato ya interview kwa niaba ya tra
cha ajabu zilivyotoka ajira 1905, tuliziona nyingi balaa. kiukweli gavoo inaipa kipaumbele sekta ya elimu na afya.Hivi kama tamisemi wanaweza kutoa ajira 21000 huko na kuajiri woote kwa mkupuo tattizo mini kwa utumishi wanatangaza ajira 1905 za mda and LGA ila kuajiri inakuwa kazi ngumu sana kiukweli sijapenda kabisa kuna utofauti mkubwa sana kati ya tamisemi na utumishi in term wanavyotoa ajira na wanavyoajiri natamani kulia
Ndo ivo mkuu huku kwengine ni mwendo wa choo cha mbuzi,1769 tu hao imekua ishuu nzitoocha ajabu zilivyotoka ajira 1905, tuliziona nyingi balaa. kiukweli gavoo inaipa kipaumbele sekta ya elimu na afya.
huku kwingine ni mwendo wa kudonoa donoa tu
Kabsa kuna maslahi wanapt kwenye michakto ya ajiraUtumishi siyo kwamba wanashindwa kutoa hayo majina yote 1700 ila wanatoa kidogo kidogo kwa benefits zao za kupata pesa za extra duty au overtime. Kama ushawahi kufanya kazi za kujitolea serikalini utanielewa.
Kuna mmoja alinipakiza alinambia wanawaambiaga siku ili waje wapige pesaBoda hawez kupata information za ndani kiasi hicho
hii secretariat ya Ajira sidhani kama bajeti ijayo itapewa mamlaka ya kuajiri kama awali, na uhakika bajetii hii wao watakua thirdparty tu kwenye mchakato ,kiburi chao kwisha. pdf ya watu 1700 kwao imekua ishu na ndio itakayo wachimbia kaburi lazima waelewe kila taasis inafanyiwa auditing madhaifu yao hayawezi vumilika.Ndo ivo mkuu huku kwengine ni mwendo wa choo cha mbuzi,1769 tu hao imekua ishuu nzitoo
hii secretariat ya Ajira sidhani kama bajeti ijayo itapewa mamlaka ya kuajiri kama awali, na uhakika bajetii hii wao watakua thirdparty tu kwenye mchakato ,kiburi chao kwisha. pdf ya watu 1700 kwao imekua ishu na ndio itakayo wachimbia kaburi lazima waelewe kila taasis inafanyiwa auditing madhaifu yao hayawezi vumilika.
Kwa hiyo ni swali au taarifa hii??? SijaelewaHivi tetesi hizi ni za Kweli!!!!Tra wamepewa mamlaka ya kuajiri yenyewe au bado Utumishi wanaendelea....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ni tetesi...Kwa hiyo ni swali au taarifa hii??? Sijaelewa
Okay
Kwanza tufahamu, PSRS hawaajiri hadi wapewe kibali, sasa kama kibali cha ajira 1700 hawajapewa wataajiri nini? kauli zingine ni siasa tuWatu 1700 miezi 2 sasa wanajishauri tuachie au tuendlee kutoa kama choo cha mbuzi 😅😅
Kama ni siasa basi wanachofanya ni utakatishaji fedha za Umma kwenye Wizara...Uwezi kuita waandishi wa habari kwenye Wizara alafu ukaongea siasa(mfano kama leo alichofanya Tamisemi useme ni siasi kwel...)...Kwanza tufahamu, PSRS hawaajiri hadi wapewe kibali, sasa kama kibali cha ajira 1700 hawajapewa wataajiri nini? kauli zingine ni siasa tu
[emoji16][emoji16], nchi ngumu sanaaa hii! Inashangaza nafasi inatangwaza mchakato unachukua miezi minne kana kwamba nafasi ilikuwa ya kusubiria vile haikuwepo.Watu 1700 miezi 2 sasa wanajishauri tuachie au tuendlee kutoa kama choo cha mbuzi [emoji28][emoji28]