Hili linawezekana ni kweli kabisa.Utumishi siyo kwamba wanashindwa kutoa hayo majina yote 1700 ila wanatoa kidogo kidogo kwa benefits zao za kupata pesa za extra duty au overtime. Kama ushawahi kufanya kazi za kujitolea serikalini utanielewa.
Kabla ya covid 19Sio kipindi cha korona ambapo mikusanyiko ilikua prohibited
Una uhakika gani kama kibali cha kuajiri watu 1700+ kutoka kwenye database hawajapewa??.Kwanza tufahamu, PSRS hawaajiri hadi wapewe kibali, sasa kama kibali cha ajira 1700 hawajapewa wataajiri nini? kauli zingine ni siasa tu
Nchi ngumu sana hiiUna uhakika gani kama kibali cha kuajiri watu 1700+ kutoka kwenye database hawajapewa??.
Mbaka waziri mwenye dhamana anaongelea bungeni ina maana kila kitu kipo sawa labda useme ni swala la mda tu na sio vibali.
Bosi miez minne kidogo hivyo, nafasi za MDAs na LGAs zilitangazwa mwez may mwaka 2022 had mda huu mchakato haujaisha bado. Hata mchakato wa kumpata Rais kwanzia kwenye kura za maoni hadi kuja kuapishwa hua haichukui mda mrefu hivi[emoji16][emoji16], nchi ngumu sanaaa hii! Inashangaza nafasi inatangwaza mchakato unachukua miezi minne kana kwamba nafasi ilikuwa ya kusubiria vile haikuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni bonge la point, tuongee ukweli kwenye swala muda utumishi sio kipaumbele chao, ndomana baada ya kauli ya Rais kuhusu ucheleweshwaj wa mchakato wa ajira, taasisi nyingi sana ajira za mkataba zimeanza kufanya mchakato wenyeweUtumishi siyo kwamba wanashindwa kutoa hayo majina yote 1700 ila wanatoa kidogo kidogo kwa benefits zao za kupata pesa za extra duty au overtime. Kama ushawahi kufanya kazi za kujitolea serikalini utanielewa.
Nakubaliana na wewe kwa 100% na ata ukiangalia pdf za placements nyingi wanatoa usiku na weekend kwa siku za karibuni ili wajilipe overtime,extra duty na perdiem wakati wana uwezo wa kutoa pdf mchana au ata jioni.Utumishi siyo kwamba wanashindwa kutoa hayo majina yote 1700 ila wanatoa kidogo kidogo kwa benefits zao za kupata pesa za extra duty au overtime. Kama ushawahi kufanya kazi za kujitolea serikalini utanielewa.
FactNakubaliana na wewe kwa 100% na ata ukiangalia pdf za placements nyingi wanatoa usiku na weekend kwa siku za karibuni ili wajilipe overtime,extra duty na perdiem wakati wana uwezo wa kutoa pdf mchana au ata jioni.
PDF inatoka jumapili usiku, ni mwendo wa kujilipa extra duty allowanceNakubaliana na wewe kwa 100% na ata ukiangalia pdf za placements nyingi wanatoa usiku na weekend kwa siku za karibuni ili wajilipe overtime,extra duty na perdiem wakati wana uwezo wa kutoa pdf mchana au ata jioni.
ko waziri wa utumishi alijitungia tu?Kwanza tufahamu, PSRS hawaajiri hadi wapewe kibali, sasa kama kibali cha ajira 1700 hawajapewa wataajiri nini? kauli zingine ni siasa tu
ko waziri wa utumishi alijitungia tu?
haina noma wakuu, ngoja tuone hii wiki kama itakua na maajabuNa wanaotoa kibali cha ajira kwa psrs ni wizara ya utumishi kupitia kwa katibu mkuu wa wizara ya utumishi, so waziri aliongea kitu anachokifaham
mwnangu achaga tu,hawa jamaa ni sumu sna kwa jobless aliepiga nao oral , wapigwe reforms tu na kuondolewa mandate ambayo wamepewaWalimu na watu wa afya usishangae kuona wanaingia kazini wakati watu wa lga, mda na database n.k bado hawatambui hatma yao.
Sijui psrs wanakwama wapi, na bado wanaporomosha gorafa yenye sehemu ya jimu ndani.!!!
Mmh sisemi mimiBosi miez minne kidogo hivyo, nafasi za MDAs na LGAs zilitangazwa mwez may mwaka 2022 had mda huu mchakato haujaisha bado. Hata mchakato wa kumpata Rais kwanzia kwenye kura za maoni hadi kuja kuapishwa hua haichukui mda mrefu hivi
Duuh jamani Leo patupuu auu wanaandaa li pdf zito zitoBoda hawez kupata information za ndani kiasi hicho
TASAC sina ham nao.. nilifanya Tallying Clerk written na oral, wakanitolea nje.
Mzee wangu katibu alikuwa anakula pasaka atasaini barua kesho au kesho kuwa no hurry in AfricaDuuh jamani Leo patupuu auu wanaandaa li pdf zito zito
Hapo PDF kutoka itakua ijumaaMzee wangu katibu alikuwa anakula pasaka atasaini barua kesho au kesho kuwa no hurry in Africa