Mwangu1024
Member
- Feb 6, 2023
- 91
- 179
Kikubwa uvumiSiku watoe pdf ina page hata 30 tu watu wengi wajue hatama zao,kuna wengine wanafanya kazi kwa wahindi na wachina huko wanashindwa kurenew mikataba yao kwa matarajio maana hawana hela ya kuja kulipa kuvunja mikataba.
Mi naipa asilimia kubwa siku ya kesholeo possibility ya pdf ni 97%
Makofia ametukimbia ndugu zakemakofia360 sema neno lolote ndugu yetu
Itakuwa wanaanda Pdf (Mhagama) kubwa kuelekea mwaka wa budget 2023/2024....Mbn hii Website ya Ajira Portal inatisha hivi Week nzima imekata Mikausho Mikali
Ni mwendo wa kupiga ramli tuItakuwa wanaanda Pdf kubwa kuelekea mwaka wa budget 2023/2024....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Maswali ya Wabunge (Tamisemi) leo Bungeni!!!Ni mwendo wa kupiga ramli tu
umepotea sana mkuu?Mbn hii Website ya Ajira Portal inatisha hivi Week nzima imekata Mikausho Mikali
kauliza leo mkuu, kuhusu database? na vp clip ipo youtube?Maswali ya Wabunge (Tamisemi) leo Bungeni!!!
Mh.mbunge Ng'was Kamani..Leo kauliza bungeni tunauhakika gani hao waliopo kwenye kanzi data? Je Kama watu wanawatolea mfukoni? Kwann yasiwekwe wazi kwamba waliopo kwenye kanzi data Ni hao so kilatu anakuwa anajijua yeye Ni mtu wa ngapi so nafasi zikitangazwa anajua Mimi nimefkiwa kutokana na nanafi zilizotangazwa...[emoji91][emoji91][emoji91]
Kwa Utumishi sijui maswali yake yatakuaje!!!!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
na utumishi itakua lini mkuu, bajeti yao lini inasomwa na vipi inakuwa live muda gani??Maswali ya Wabunge (Tamisemi) leo Bungeni!!!
Mh.mbunge Ng'was Kamani..Leo kauliza bungeni tunauhakika gani hao waliopo kwenye kanzi data? Je Kama watu wanawatolea mfukoni? Kwann yasiwekwe wazi kwamba waliopo kwenye kanzi data Ni hao so kilatu anakuwa anajijua yeye Ni mtu wa ngapi so nafasi zikitangazwa anajua Mimi nimefkiwa kutokana na nanafi zilizotangazwa...[emoji91][emoji91][emoji91]
Kwa Utumishi sijui maswali yake yatakuaje!!!!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mmh hii Kali,kuna ajira zimetangazwa tangu mwaka Jana mwezi wa tano maana yake kibali kilishatoka cha kuajiri kutoka kwa katibu mkuu unataka kusema hazikuwekewa bajeti zije kutegemea bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024?Itakuwa wanaanda Pdf (Mhagama) kubwa kuelekea mwaka wa budget 2023/2024....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
tunavyoteseka jamani mitaani huku mmmh sisemi mimPsrs wanabana kutoa placements as if wameambiwa watoe figo zao.!
Ni kama zinawauma sana placements akati Total database, lga na mda sidhani hata candidate 1800 Wanafika, je mngepewa muajiri hao walimu na matabibu 22,000 Mchakato si mngeumaliza baada ya miaka 9 nyie.??
Sekretarieti ya Ajira
Nina swali jamani kwani kila MTU aliyefika oral anaingia kwenye databaseDaaah,labda leo wataita kutoka database
Jamani waje na pdf nzito nzitoDaaah, itakuwa unyama sana wakitoa Leo.
Ila sasa, wasitoe ki PDF cha 37kb
MDAs LGAs ni za tangu mwezi mei mwaka Jana..hivi kuna ambazo zilitangazwa kabla ya hizi za MDAs na bado watu hawajaitwa bado?Daaah, itakuwa unyama sana wakitoa Leo.
Ila sasa, wasitoe ki PDF cha 37kb
Under cetaris peribas principle ukiingia oral umeshafaulu na kwa kawaida huwezi kukosa passmark 50 kwa maswali ya kumention kwa hiyo mtu ukitoka oral wengi wao wanakuwa na uhakika wa kuwemo kwenye database kwa sababu wanajua walivyojibu.Nina swali jamani kwani kila MTU aliyefika oral anaingia kwenye database
Hapana, inategemea na performance yako ya oralNina swali jamani kwani kila MTU aliyefika oral anaingia kwenye database
MDAs LGAs ni za tangu mwezi mei mwaka Jana..hivi kuna ambazo zilitangazwa kabla ya hizi za MDAs na bado watu hawajaitwa bado?
sasa tuliomaliza shule kitambo sana sasa una uhakika gan ulichojibu ndio majibu waliyonayo kwenyark scheme yaoUnder cetaris peribas principle ukiingia oral umeshafaulu na kwa kawaida huwezi kukosa passmark 50 kwa maswali ya kumention kwa hiyo mtu ukitoka oral wengi wao wanakuwa na uhakika wa kuwemo kwenye database kwa sababu wanajua walivyojibu.