HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ukiitwa ndio unapewa barua ya kuanza kazi yenye maelekezo yote kuhusu kazi ikiwemo tarehe ya kuanza kazi(ajira) rasmi.

Kuanzia tarehe hiyo(mfano iwe tarehe 01/04/2023) ndio utaanza kuhesabika upo kwenye ajira na ifikapo mwisho wa mwezi utastahili kupokea mshahara.
 
Sure man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…