HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
  • hizo taaluma nilizokutajia eg land saveyaz hao Wana hela Sana Wengi wao wanafanya Kazi za upimaji ardhi pembeni, nje ya Ofisi na wanapata pesa nzuri sana, Hali kadhalika Afisa Mipango miji, huyu pia ana pesa nyingi za pembeni za kufanya Kazi za pembeni za upangaji wa miji I.e Wana ofisi zao binafsi
  • unasema tofauti ni ndogo lakini kumbuka mwenzio akipandishwa cheo na kuwa tgs f gap litakuwa kiasi gani? bado itakuwa ni 150K?
 
Mimi nilishawahi kugoma asee nilikua private nalipwa mara 3 ya tgs
Inategemea Ndugu, kama Taasisi ya Private iko strong hata mm ningebaki huko. Ila unakuta Taasisi zingine mguu ndani mguu nje..
 
Wakuu nina swali ipi bora halmashauri TGS D au private salary 900k basic per month na mkataba ni ku renew after one year (uhakika).
Hapa ningekushauri uende Halmashauri tu kwa sababu kuu mbili;

1. Difference ya mshahara ni ndogo sana otherwise ungekuwa unalipwa mara3 au 4 ya mshahara unaopokea sasa.

2. Hakuna kazi ya contract yenye uhakika hata siku moja, tena mbaya zaidi ni ya mwaka mmoja mmoja!
 
Well said Mkuu! Tunaambiwa shirika kama TTCL au ATCL ambayo yanapata hasara kila mwaka lakini mishahara yao iko juu, hili nalo inabidi litizamwe..
 
Yaah ni kweli na Mkimpata Mkurugenzi Fresh na kwa hizi rate Mpya unaweza kuta OT unalamba hadi 600k kwa mwezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…