HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Blessed!!
Mnatutia moyo sana sisi best loser,
 
Mlifanya makosa kwa kutofanya risk assessment.

Nafasi za kuteuliwa ni muda wowote mtu anatimuliwa, hilo mlipaswa kulizingatia ili muepuke risk ya utawala wa kiongozi mpya
 
Wakuu hivi hawa " Agricultural Officer II" wanaopangiwa halmashauri mbalimbali ni waliofanya taasisi ipi usaili?
Au MDA and LGA walitoa hizo post?

Yaan navugikaaa kichwa hata sielewi...

Msaada plz,!!
NIRC mkuu,bado hatujafikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…