Rukundo JB
Senior Member
- Jan 30, 2019
- 156
- 387
daaahh!!NIRC mkuu,bado hatujafikiwa
Napatamani balaa
hahaaaa mkuuNawaona watu wakilimo huu mwaka ni wenu yaani wanangu wote waliopiga waliofika oral kwenye kada ya Kilimo naona wote mkilamba asali sehemu mbalimbali kabla ya huu mwaka kuishaa coz hh trend inaonekana mama anataka watu walime kilimo haswa, hiyo agenda 10/30 itaondoka na nyomi.
Mwanangu mfwende sawadogo Rukundo JB , anzenii kuandaa suti kufika masijala ya wazi..
# Hii ni lamuli tuh, wadau wangu...
soon champdaaahh!!
Sema jana kuna shuhuda nilisoma humu jamaa anasema rafiki ake alipiga oral ya umwagiliaji then akakosa but mkeka wa Jana kapata Agricultural Officer, sasa ndo sorting yao sijuh inaenda kwa pattern ganii
No mpaka mwez unaisha Kama Kuna active nying inazd hapokwa siku?
Kama 800k kwa mwezi ndo per diem basi ndogo sana, kwa rate za kawaida za serikali kama safari ya mwezi hio ingekua 150k mara 30 jumlisha on transitNo mpaka mwez unaisha Kama Kuna active nying inazd hapo
AmenMungu ni mwema kila wakati tusiache kusali na kumuomba
Jumatano au alhamisWenye ramli zenu PDF lini tena sure event
Kuna uhakika kwenye hilo ndugu yanguHata kesho pdf inaweza kuwa hewani
Tunasali Kila saa lakini wapMungu ni mwema kila wakati tusiache kusali na kumuomba
Usikate tamaa kuna Mungu.Tunasali Kila saa lakini wap
ramli mkuuKuna uhakika kwenye hilo ndugu yangu
Mungu yu pamoja nasi
ππππramli mkuu
Data base wanajaza madereva,wapishi na baadhi ya watu wa certificate records management .Bachelor 2ππ imeis!!ha hiyo.Database tayari!!jobless vibe ya simba vs yanga huioni, any time unawaza pdf ya database ikutoe mtaani
Usikate tamaa bado MUNGU ni yule yule utapata tuTunasali Kila saa lakini wap