mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
ishu nyeti hii mkuuTarehe 19 na 20 ni bajeti ya wizara ya OR menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora...naomba nipige ramli kama ndugu mfwende sawadogo asemavyo adhani kesho au keshokutwa watakuja na mpdf zimamoto na nadhan ndio ilikuwa target yao...maana najua kabisa watakutana na maswali kuhusu bajeti ya ajira mpya iliyopitishwa mwaka jana imetumika vipi wakati haijafikia malengo.
Note tena kwa msisitizo:
Wale wenye namba za wabunge wetu naomba tuwasisitize juu ya hili,kabla hawajapitisha hiyo bajeti ombwa inabidi wahoji juu ya bajeti iliyopita maana kila mwaka watakuwa wanapitisha data za kupikwa.
Mjuzi wa uandishi mzuri wa sms aidraft kila mmoja amtumie mbunge wake au anayemfahamu.
AmenKama ulifanya usaili na ulifanya vizuri ila ulikosa nafasi kutokana na uchache wa nafasi Jipige kifua sema huu mwaka wetu na umebarikiwa sana sasa ni saa 11:10 nitarudiiiiiiiiiii Kabla ya Eid Fitriiii au Baada inshallah
Halafu naomba kuulza kwa wale mlioramba asali wiki iliopita, mlioenda kuchukua barua Leo, mmoja wenu anaweza kusema barua zenu zinaonesha zimesainia tarehe gani??
Mi naipa uhakika 100% jumatanohata leo pdf inaweza tema nina 45%
kesho uhakika ni 100%
Okay sawaTarehe 15march
hvi Bunge hili lina rushwa live muda gani na media ipi ili nisikilize siku iyoo?Tarehe 19 na 20 ni bajeti ya wizara ya OR menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora...naomba nipige ramli kama ndugu mfwende sawadogo asemavyo adhani kesho au keshokutwa watakuja na mpdf zimamoto na nadhan ndio ilikuwa target yao...maana najua kabisa watakutana na maswali kuhusu bajeti ya ajira mpya iliyopitishwa mwaka jana imetumika vipi wakati haijafikia malengo.
Note tena kwa msisitizo:
Wale wenye namba za wabunge wetu naomba tuwasisitize juu ya hili,kabla hawajapitisha hiyo bajeti ombwa inabidi wahoji juu ya bajeti iliyopita maana kila mwaka watakuwa wanapitisha data za kupikwa.
Mjuzi wa uandishi mzuri wa sms aidraft kila mmoja amtumie mbunge wake au anayemfahamu.
Binafsi Leo nilikuwa nalitazama kwenye mida ya SAA tano nmekuta mijadala katikati ilishaanza muda huenda linaanza SAA mbili au SAA tatu,Sina hakikaWakuu bunge la bajeti hii linakua live ama lina rushwa na Tv ama redio muda ganii ili nisikilize bajeti ya utumishi ikisomwa??
Azam wanarusha live kupitia UTVWakuu bunge la bajeti hii linakua live ama lina rushwa na Tv ama redio muda ganii ili nisikilize bajeti ya utumishi ikisomwa??
PSRS inapokupangia kituo Cha kazi, huwa tunasema ni PSRS Ndio wame panga au Mungu Ndio kapanga?Dah vijana wenzangu kuna mahala mna shida sana , nahisi swala la uelewa bado ni tatizo kwa baadhi yetu, kwa maana mnacho ongelea ni irrelevant na kinachojadiliwa, sasa mifano ya kazi za ubakaji na PSRS na kupangiwa kazi Halmashauri vina uhusiano gani ? Kwa mfano PSRS wakikupangia kazi Halmashauri wanakuwa wametenda kosa gani au wamekubakaje hapo ili hali nafasi ndio zinakuwa zimepatikana huko, muda mwingine ni kuwa tu na mioyo ya shukrani inatosha sana kumshukuru Mungu pale utakapokuwa umepangiwa ndipo ridhiki yako inapokuwa imepangwa kwa wakati huo? . Maandiko matakatifu yanasema hapa chini
"Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru? " Maombolezo 3:37.
Ahsante mkuuBinafsi Leo nilikuwa nalitazama kwenye mida ya SAA tano nmekuta mijadala katikati ilishaanza muda huenda linaanza SAA mbili au SAA tatu,Sina hakika
nitafanya hvooAzam wanarusha live kupitia UTV
Ebwana eeeh sijakuelewa hata kidogo Mungu akupangie kituo kwani ulifanya usaili mbinguni. Ukipangiwa halmashauri weka kwenye mzani compare na hali yako ya sasa na mahala ulipo fanya maamuzi.PSRS inapokupangia kituo Cha kazi, huwa tunasema ni PSRS Ndio wame panga au Mungu Ndio kapanga?
Ikiwa Mungu kanipangia halmashauri basi naenda haraka sana,
Ila kama ni PSRS wamenipangia basi siendi ng'oo
Hahaha low thinking capacity kwa kijana msomi.PSRS inapokupangia kituo Cha kazi, huwa tunasema ni PSRS Ndio wame panga au Mungu Ndio kapanga?
Ikiwa Mungu kanipangia halmashauri basi naenda haraka sana,
Ila kama ni PSRS wamenipangia basi siendi ng'oo
Haaha low thinking capacity kwa kijana msomiEbwana eeeh sijakuelewa hata kidogo Mungu akupangie kituo kwani ulifanya usaili mbinguni. Ukipangiwa halmashauri weka kwenye mzani compare na hali yako ya sasa na mahala ulipo fanya maamuzi.
Ndugu Zangu Wasomi wenzangu,Huyu kijana mwenzetu sio mtu wa kumshabikia Kwa lolote.Imagine mtu Huyu anachafua taswira ya PSRS mitandaoni kisa tu yeye ana ndugu zake Wakubwa kwenye Mashirika huko au kukosa kwake kazi kupitia PSRS basi anawaona Wabaya......PSRS inapokupangia kituo Cha kazi, huwa tunasema ni PSRS Ndio wame panga au Mungu Ndio kapanga?
Ikiwa Mungu kanipangia halmashauri basi naenda haraka sana,
Ila kama ni PSRS wamenipangia basi siendi ng'oo
Ni jambo jema hilo...tumshukuru Mungu.Huko wengi wataenda ila nina taarifa kuna taasisi tatu nzuri tu zimeridhia kupewa watu toka database wiki iliyoisha kwahiyo sijajua na wala informer wangu hajajua uharaka wao katika kuchukua watu hao, Karibuni Dodoma
[emoji1787][emoji1787]Yani mwaka huu mpaka mtu unakuja kupata kazi, unaripoti kazin unaanza na doze ya kutibu kisukari na pressure [emoji23][emoji23]
Start TV wanarusha kwa sisi tuliogoma kulipa vufurushi tunasikilizia hapaa bure bure,Wakuu bunge la bajeti hii linakua live ama lina rushwa na Tv ama redio muda ganii ili nisikilize bajeti ya utumishi ikisomwa??
Kweli kabisa jamaa ana account tofaut tofaut halaf mwandiko ni ule ule, unaweza kuta kapoteza sifa za kuajiriwa kupitia psrs au ana God father kwenye taasisi fulan. In short swala la taasisi kuajiri zenyewe sio mchakato mwepesi kama watu wanavyodhani. Hao ndo wanaopataga zero kwenye written za psrsNdugu Zangu Wasomi wenzangu,Huyu kijana mwenzetu sio mtu wa kumshabikia Kwa lolote.Imagine mtu Huyu anachafua taswira ya PSRS mitandaoni kisa tu yeye ana ndugu zake Wakubwa kwenye Mashirika huko au kukosa kwake kazi kupitia PSRS basi anawaona Wabaya......
Mimi nakasirishwa sana na Huyu kijana,nadhani mnajua mpaka kaanzisha Uzi wa kupiga kura eti anawakataa PSRS mpaka anadiriki kufungua Accounts nyingi Kwa ajili ya kuonekana wazo lake ni la msingi sana....Lakini kiufupi Mimi sikubaliani nae hata kidogo kutokana na Tabia yake hii ya Ovyo...Kama ndugu Zangu mnaweza kumuonya au kama Kuna mtu anamjua uhalisia wake natamani sana amuonye aaache Tabia hii sio nzuri kabisa...
Ikumbukwe kila wakati Sisi tunapanga lakini Mungu anapanga pia.Kama mtu uliweza kufika oral au kama hukufika ni kujipanga Kwa saili zijazo pia Ili uweze kufanikiwa kuingia Oral.Na kama umefanya oral na PDF la Placements limetoka hujabahatika na mwaka haujaisha Kikubwa ni kuzidisha Dua na Kusubiri Kutoka kwenye Databases...
Tuishi humo vijana wenzangu,Ila tusikate Tamaa,Mimi Mazaga One nikija kuleta historia ya saili Zangu kupitia PSRS basi ningekuwa nimekata tamaa muda mrefu,ila Niliamini ya kuwa Haki,uwazi na kutokuwepo Upendeleo vipo PSRS na ndio maana nasema tuzidi kuwatia moyo watumishi wote wa PSRS ziku zote kwa kutenda Haki....