Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,243
- 4,502
Bajatii ya utumishi itasomwa tarehe 19 vuta subira kaa karibu na tv siku hiyoMimi ninayo namba ya mbunge wa ...., naweza kumuandikia msg ila naomba mwenye figure halisi za bajeti iloyipita utumishi na idadi ya watumishi waliopaswa kuajiliwa na uhalisia wake mi nimuandikie ujumbe sasa hivi hapa.
Muandikie kuhusu PDF la database la waziri mhagama ilikua February watoe wakagomeshaMimi ninayo namba ya mbunge wa ...., naweza kumuandikia msg ila naomba mwenye figure halisi za bajeti iloyipita utumishi na idadi ya watumishi waliopaswa kuajiliwa na uhalisia wake mi nimuandikie ujumbe sasa hivi hapa.
NakusalimiaSasa dini inaingiaje hapa jaman
Mi mzima nduguNakusalimia
walimkanda akakandikaNa hilo ndo lengo la Uzi, jamaa sijui psrs walimfanya nini
Kuna watu wamepangwa TPDCMpaka muda huu sijaona watu waliopangiwa NSSF, PSSSF, TANROADS, TANESCO n.k
Ina maana haya mashirika hayana upungufu wa wafanyakazi??
Daah mshikaji unautulivu mkubwa kwenye kujibu watuHaaha low thinking capacity kwa kijana msomi
Nahisi Kuna pepa ya utumishi aligonga ZEROHuyu jamaa atakua kuna kitu psrs walimfanya akakosa sifa za kufanya hata interview, unaweza kuta ndo wale waliokutwa wanafanyiana mitihan, Au kasoma nje kwenye vyuo vya uchochoroni karud bongo TCU wakamwambia hicho chuo hakitambuliki
Wana utaratibu wao wa ku recruitingMpaka muda huu sijaona watu waliopangiwa NSSF, PSSSF, TANROADS, TANESCO n.k
Ina maana haya mashirika hayana upungufu wa wafanyakazi??
Mawakala munaitana, mwambieni kiteng€ awatengee bajeti ya kutosha maana yajao yanafurahishaNakusalimia
Jamaa hajui akiendelea na tabia hii kila siku Kesho ataona wenzake wanaajiriwa kila siku yeye yupo tu.Tumshauri abadilishe Ubongo wake huo na ajitambue ajue anaatakiwa kwenda kupambanaNahisi Kuna pepa ya utumishi aligonga ZERO
Kuwa na akili kijana.Wewe msomi gani una ufikiri mdogo hivyo??? Yaani wewe unafikiri Serikali Haijui ya kuwa wakirudisha Usaili kwenye Mashirika upendeleo kama wote???..Na Kwa taarifa yako Mhe.Samia ni Mama wa kupenda Haki.PSRS ipo sana na itaendelea kuajiri.Kama wewe hujiandai na una mtazamo Hasi na PSRS utajijua mwenyewe....Mawakala munaitana, mwambieni kiteng€ awatengee bajeti ya kutosha maana yajao yanafurahisha
Eti zero Yan usilolijua ni usiku wa kizaJamaa hajui akiendelea na tabia hii kila siku Kesho ataona wenzake wanaajiriwa kila siku yeye yupo tu.Tumshauri abadilishe Ubongo wake huo na ajitambue ajue anaatakiwa kwenda kupambana
Wakala karibu dakuKuwa na akili kijana.Wewe msomi gani una ufikiri mdogo hivyo??? Yaani wewe unafikiri Serikali Haijui ya kuwa wakirudisha Usaili kwenye Mashirika upendeleo kama wote???..Na Kwa taarifa yako Mhe.Samia ni Mama wa kupenda Haki.PSRS ipo sana na itaendelea kuajiri.Kama wewe hujiandai na una mtazamo Hasi na PSRS utajijua mwenyewe....
Kutoka database? Au ile Interview waliyofanya?
Mm naongelea wanaofanya kwenye hizi Taasisi ambao wameajiliwa kwa Ajira za kudumu..Wana utaratibu wao wa ku recruiting
Kuna watu walifanya zile za MDAs na LGAs kwa position ya Accontant II na Audit II na mwingine from database then wakapangiwa TPDCKutoka database? Au ile Interview waliyofanya?
Ohooh ok..Kuna watu walifanya zile za MDAs na LGAs kwa position ya Accontant II na Audit II na mwingine from database then wakapangiwa TPDC