HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kutokana na hizi pdf za LGA & MDA.. nime-experience kuwa ukiona tangazo la kazi utumishi ambapo Mwajiri ni LGA & MDA basi fahamu kuwa 99% ni LGA(local gvt Authority) tu na si vinginevyo... Ni wachache sana wanaweza kupelekea MDA...

Wale wasiopenda Halmashauri kwa kweli hapo hamna namna watu wanadropiwa huko Mawilayani
 
yametimia sasa.
 
Na huku MDAs siyo kwamba nafasi hakuna nashangaa tu watu hawapelekwi ndo maana nikatolea mfano hapo NSSSF, PSSSF, TANESCO, NHIF, TANROADS n.k

MDAs nilizoziona ni za Wizara na Mashirika yasiyozidi hata manne..
 
Tunafikiria Kumwambia IT abadilishe kichwa cha habari pale aondoe taasisi mbalimbali aweke TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI MBALI MBALI πŸƒ
Kwel kabisa maana Kuna watu tulfanya katika fani ambazo hazipo katika Halmashauri tunategemea kwenye mataasisi so akiandika hvo atatusaidie tusipoteze hata MBs zetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…