Haitosumbua kwa sababu ili uwe mtumishi wa umma ni lazima uwe na check No. So kama bado hujapata Check No we endelea kupiga interview tu Mzee baba wala haina shidaAhsante sana, ukija kuapply kazi tena utumishi haiwezi sumbua?
Haiwezi kusumbua because kupata placement sio kwamba umetambulika ni mpaka upate check number. Ila best strategy ni kwenda then kufanya mchakato wa kuhamia kwenye asali unayoitakaAhsante sana, ukija kuapply kazi tena utumishi haiwezi sumbua?
Ni kweliNachoamini mm ni kuwa marupurupu yako kila sehemu kinachofautiana ni kiwango tu..
Afu wewe si ulikuepo kwa ule uzi wa tamisemi wa mwaka jana?? 😃😃Haitosumbua kwa sababu ili uwe mtumishi wa umma ni lazima uwe na check No. So kama bado hujapata Check No we endelea kupiga interview tu Mzee baba wala haina shida
Me sipo kwenye check No. Mkuu, najikongoja kwenye mkataba maisha yanasonga?Ni kweli
So na wewe umepangwa wapi
Hakuna ugomvi wala matusi humu, bado wote ni wasaka mirija hatujafika Mkuu, na hata kama tungekuwa tumefika bado tuna jukumu la kuwapa morali wenzetuAfu wewe si ulikuepo kwa ule uzi wa tamisemi wa mwaka jana?? [emoji2][emoji2]
eniwei i think you will impose positive vibe here
Ila kwa hii thread hatupendi ugomvi, matusi so kila.la heri mkuu
Yes ni kweliHakuna ugomvi wala matusi humu, bado wote ni wasaka mirija hatujafika Mkuu, na hata kama tungekuwa tumefika bado tuna jukumu la kuwapa morali wenzetu
Usije kulalamika humu utakapofanya interview wakakuchinjia baharini!Hivi kama umepangiwa kazi usipoenda inakuaje??
Mfn watu wa LITA wanapewa free housing yaani nyumba [emoji2]
Halmashauri sio asali, Ile ni Posho tu ya kulaHongereni wote mliolamba Asali leo.
Karibuni sana upande wa pili
Na nawatakieni utumishi mwema.
Wale ambao bado, subira ndio ya kuishi nayo, usiipe stress nafasi
Kweli kabisa...anaweka taasisi kumbe ni halmashauri bhana.Tunafikiria Kumwambia IT abadilishe kichwa cha habari pale aondoe taasisi mbalimbali aweke TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI MBALI MBALI [emoji125]
Kama kwel unajua mtumishi wa halmashaur na WA wizara Kwa kiwango kilrkile Cha elimu naomba unpe tofautiHalmashauri sio asali, Ile ni Posho tu ya kula
mawilayaniiKutokana na hizi pdf za LGA & MDA.. nime-experience kuwa ukiona tangazo la kazi utumishi ambapo Mwajiri ni LGA & MDA basi fahamu kuwa 99% ni LGA(local gvt Authority) tu na si vinginevyo... Ni wachache sana wanaweza kupelekea MDA...
Wale wasiopenda Halmashauri kwa kweli hapo hamna namna watu wanadropiwa huko Mawilayani
Mishahara ni Ile ile tu! Nahisi huko wizarani Wana Posho Posho kadhaa ndio maana ni kawaida kukuta Accountant wizarani anaendesha Discovery 3,4,2 lakini ni vigumu sana kukuta Accountant wa halmashauri anaendesha Discovery 3 4 nkKama kwel unajua mtumishi wa halmashaur na WA wizara Kwa kiwango kilrkile Cha elimu naomba unpe tofauti
hahaa mkuu , wiki ya pdf hii mkuu.hata leo kibuyu changu kinaniambia siku haijaisha hiiMzee wa ku bet, eeh lini tena unaipa chance ya kutokea mkeka!?
Hii ni habari Njema.!hahaa mkuu , wiki ya pdf hii mkuu.hata leo kibuyu changu kinaniambia siku haijaisha hii
Tuombe Mungu mkuu uenda tukala sikuku tukiwa na smile nzito mdomonhahaa mkuu , wiki ya pdf hii mkuu.hata leo kibuyu changu kinaniambia siku haijaisha hii
The same to me ,mpaka unajiona mybe ulizinguqPole mwaya situation ni ngumu sometimes unajiuliza sijui ulijibu vibaya?/sijui ulifeli
But eniwei usife moyo as long as upo hai zikitoka nyingine utaapply mpaka utakapofikia 45
Pole mwayaThe same to me ,mpaka unajiona mybe ulizinguq