mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
nawahi viwandani , utani updates mkuuNchi ngumu sana hii,kila jobless tukijitahidi kuielewa tunapigwa ndoige.
Enewei tufatilie bunge leo kuona itakuwaje na watakuja na data zao za namna gani.
nawahi viwandani , utani updates mkuu
nawahi viwandani , utani updates mkuu
ogopa sana kitu inaitwa politicsYaani zile ajira 1905 za mdas na LGAs bado amjamaliza hata kutoa placement mnatangaza tena ajira za MDAs and LGAs aya bwana wakubwa Mimi sina neno.
Niliongea hapa kwenye thread hii kuhusu hii issue kwa upande wa TRA mwaka uliopita waliofanya watu wakasema hawakukizi marks zao ndo maana kwenye placement haipo database....Ila kuna mawili tuweni wavumilivu.Placement za jana + new jobs ni wazi PSRS maji shingoni kuelekao vikao vya bunge leo.
wameifanyia kazi tamko la mhagama kiaje,fafanua mzee??Niliongea hapa kwenye thread hii kuhusu hii issue kwa upande wa TRA mwaka uliopita waliofanya watu wakasema hawakukizi marks zao ndo maana kwenye placement haipo database....Ila kuna mawili tuweni wavumilivu....
1.Inaweza kuwa Kauli ya Mhagama wameifanyia kazi inamaana wamesafisha watu wote toka database kutoka tamko lake amelitoa kurudi nyuma... Sasa wanaaza upya kuweka database tusubiri Bunge leo litakuja na tamko gani..(tusipeleke lawama zote PSRS)
2.Hapa lawama ipo Utumishi(kama Baba mwenye mji hauna msimamo mzuri wa familia unategemea watoto watakuwa kweli kwenye malezi bora(PSRS).
Tuzidi kusimama na Mungu na kureceive job zilizotoka....
Mama(Rais) anania na vijana kutupa ajira ila watendaji wake sijui niseme neno gani.....
Ninamaana Wanaweza kutoa watu 1700+ data base(bestlooser)wameifanyia kazi tamko la mhagama kiaje,fafanua mzee??
Nadhani ni 1Mwadau
TGS E ni kiasi gani?
Hii haiwezekani wakuu watu wameanza kuchomoka kwenye database kidogo kidogo toka muda kikubwa kuomba mungu tu and lower your expectations usijepata sonona na mfadhaiko.Ninamaana Wanaweza kutoa watu 1700+ data base(bestlooser)
Utumishi wanazingua SanaYaani zile ajira 1905 za mdas na LGAs bado amjamaliza hata kutoa placement mnatangaza tena ajira za MDAs and LGAs aya bwana wakubwa Mimi sina neno.
hii nzuri,umenitia moyo mkuu.ngoja tuwasikie watasema nn bungeni leooNinamaana Wanaweza kutoa watu 1700+ data base(bestlooser)
Muda saa ngapNchi ngumu sana hii,kila jobless tukijitahidi kuielewa tunapigwa ndoige.
Enewei tufatilie bunge leo kuona itakuwaje na watakuja na data zao za namna gani.
kuanzia sasa ,sambili UTV live,Muda saa ngap
Vipi kuhusu radio mkuu?kuanzia sasa ,sambili UTV live,
Mkuu umeongea kwa uchungu sanaYaani zile ajira 1905 za mdas na LGAs bado amjamaliza hata kutoa placement mnatangaza tena ajira za MDAs and LGAs aya bwana wakubwa Mimi sina neno.
sina hakika kuhusu UFMkuanzia sasa ,sambili UTV live,
[emoji38][emoji38][emoji38]naungana na weweWadau woote naomba Leo tuamke na nyimbo ya chege kichwa kinauma.