Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
Za posho na O.T?Wameomba tena billioni 12.7 [emoji23][emoji23]
HaswaaaZa posho na O.T?
Pdf si zipo sidhani kama zinafika idadi iyo.Hamna jipya wajomba,
Kumbe watu mna siri hivi..yaan watu 10704 wamepata kazi kuanzia july hadi machi na hamsemi
wameapply 350 plus, 170k hawakukidhi vigezo, waliobaki wakaitwa usaili, anavyodai…Pdf si zipo sidhani kama zinafika idadi iyo.
Labda waliotwa kwenye usaili na sio placement.
Ing'amue kitaalamuMzee thibitisha hii sentence yako[emoji116]
HaKUna Mzee, imepitabila kipingwawazee hakuna mbunge anayepingana na hoja hizo za utumishi kuhusu kuajiri??
Twende kiundani kidogo.How mkuu
Wahenga walichemka
Bado, sasa hivi kamati ya ajira inatoa mapendekezo then wabunge ndo wataichambuawazee hakuna mbunge anayepingana na hoja hizo za utumishi kuhusu kuajiri??
Bwana mwifwa satement yako italeta maana kama ikiendelea zaidi kwa hapo ilipo bado haielezi punje ya mchele katika mazingira yapi na dhahabu katika mazingira yapi.Twende kiundani kidogo.
Jalia tupo jangwani mimi na wewe, mimi nina ⅔ ya kikombe cha maji yenye maji kwenye huo ujazo. Wewe una ½ kilo ya Tanzanite.
Wote tuna kiu na tunahutaji angalau matone 2 ya maji ili tuweze kusurvive na kila mmoja inabidi alichonacho ndio kimuokoe.
Hapo ndipo tunapokuja na msemo/methali "Punje moja ya mpunga ni bora kuliko Dhahabu"
Basic ni 1M, take home itategemeana na makato yakowadau
TGS E ni kiasi gani?
Ingia chimbo uwaprove wrong.Hapo kwenye kuajiri watu 10704 kuanzia july hadi machi nakataa mpaka kesho labda kama kuna majina mengine ila kama ndio ya hizi pdf za kb hapana
Bwana mwifwa satement yako italeta maana kama ikiendelea zaidi kwa hapo ilipo bado haielezi punje ya mchele katika mazingira yapi na dhahabu katika mazingira yapi.
Kama mchangiaji alivyosema awali wenda ulitaka kumaanisha dhahabu ambayo unaitarajia si bora kuliko mchele ulionao mkononi, IDK man
AikambeTwende kiundani kidogo.
Jalia tupo jangwani mimi na wewe, mimi nina ⅔ ya kikombe cha maji yenye maji kwenye huo ujazo. Wewe una ½ kilo ya Tanzanite.
Wote tuna kiu na tunahutaji angalau matone 2 ya maji ili tuweze kusurvive na kila mmoja inabidi alichonacho ndio kimuokoe.
Hapo ndipo tunapokuja na msemo/methali "Punje moja ya mpunga ni bora kuliko Dhahabu"