Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
Hapo ndio umeeleza kitu sasa ongeza neno jangwani au mazingira yoyote ambayo dhahabu haina kazi sababu nikiwa na dhahabu kariakoo punje ya mchele ya nini mimi mwifwa.Hata kama unayo hiyo dhahabu mkononi halafu upo kwenye hali ya Jangwani(kama nilivyotolea mfano), Je, itakufaa kwa wakati huo? Ukitaka uibadili iwe punje ya mchele itakuchukua muda.
Bila shaka umenipata
Piga ua kiteng€ hawezi peleka report ya CAG ijadiliewe bungeni 🤣🤣Kitenge umemsikia shangazi, ameseme mulete report ya CAG , ijadiliewe bungeni, kazi kwako Mzee 🤣🤣
Tulijifunza namna ya kueleza/kufafanua maana za misemo/methali.Hapo ndio umeeleza kitu sasa ongeza neno jangwani au mazingira yoyote ambayo dhahabu haina kazi sababu nikiwa na dhahabu kariakoo punje ya mchele ya nini mimi mwifwa.
1 millionwadau
TGS E ni kiasi gani?
vibali vilivyotoka- 37,000
Basi niseme tu sijawahi kuiona hiyo methali Ahsante.Tulijifunza namna ya kueleza/kufafanua maana za misemo/methali.
Kwa hiyo kila msemo/methali inakuwa na maana yake maalumu.
Kariakoo sio mahali pagumu, methali yetu haiwezi kufanya kazi pale
Raisiswali: wakurugenzi wa wizara wanateuliwa na raisi au wanapitia utumishi??
Neno kanzidata 'data base' lachukua mjadala wa bunge
Alisema watachukua watu 1700+Mwenye no za mbunge au access ya kufikisha taarifa ahoji kuhusu PDF la database alilohaidi jenister mhagama na aulizwe bungeni maana alisema mwez wa 2 Ila utekelezaji hamna
[emoji2]Hamna jipya wajomba,
Kumbe watu mna siri hivi..yaan watu 10704 wamepata kazi kuanzia july hadi machi na hamsemi
namba za wabunge zipo kwenye website yao mkuuMwenye no za mbunge au access ya kufikisha taarifa ahoji kuhusu PDF la database alilohaidi jenister mhagama na aulizwe bungeni maana alisema mwez wa 2 Ila utekelezaji hamna