Sekretarieti ya AjiraOral interview yenyewe tulifanya kwa tabu hadi saa tatu usiku jua baridi vikatupiga ila mwisho mambo hayaeleweki
Kimsingi hii sekretarieti ya ajira inahitaji maboresho makubwa sana
Sekretarieti ya AjiraInamaana bado ajira 27,000 kwa mwaka budget 2022/2023 ambao June unaisha...
+Tamko Pdf (data base) Mh.Mhagama 1,700+ (kiporo) kwa budget ya mwaka 2021/2022..
Tuje kwenye hoja:
Kuna mamber humu kwenye thread wanasema Data base Mhagama inatoka kidogo kidogo Hakuna ushaidi(fumbo)kumbe tunaakiba nyingi ya watu Wanahitajika....
Huku Waziri Mh.mhagama anasema feb tunawapangia Bestlooser vituo vya kazi Nako Fumbo mpk sasa....[emoji25][emoji25][emoji25]
Bestlooser tunapita kwenye sintofahamu kubwa sana....Tuzidi kumuombea Mama(rais) labda Fumbo atalifumbua
Mungu amsimamie !!!!
Eti majina ya utani , isije ikawa ni kweliHilo jina limeibuliwa hapa kati wakati lawama kuhusu PSRS zilipopamba moto, tena baada ya ishu za status kuyeyuka.
Hata sisi tuliopata nafasi tulipachikwa kuwa ni Mawakala wa PSRS, wengi wanaopachika haya majina ya utani ni wale ambao bado kwa sababu wengi wanaopata nafasi huondoka humu au kukaa kimya.
Ankoli 😂 lini tuje utupokelee mabango yetuIli wajue mpo serious inabidi kwenda Migiro pale na kuwashushia majivi.
Best looser si jina sahihi ndio maana huwezi kuona komenti yangu ikitaja hilo jina hata kama liwe la utani.Eti majina ya utani , isije ikawa ni kweli
Well said kanzidata ni ya watu waliofaulu lakin nafasi zilikua chache mfano oral mmeingia wanne, wakwanza kapata 89, wapili 87, watatu 85 na wanne 80, nafasi ni moja so atachukuliwa aliepata 89, hao watatu waliobaki hauwez waita best losers ni watu waliofaulu wakakosa nafasi kwa wakati huo. Na data base ipogo maeneo mengi sio psrs tu, hata kwenye big4 audit firms wanao huo utaratibu.Best looser si jina sahihi ndio maana huwezi kuona komenti yangu ikitaja hilo jina hata kama liwe la utani.
Tunajua kuwa mkiwa 5 oral, halafu nafasi zipo 2. Wataanza kuchukuliwa wale waliofaulu zaidi kutokna na idadi hizo nafasi 2.
Watakaobaki sio best looser, ni watu waliofaulu ila nafasi zimekosekana, hawa ndio huwa wanawekwa kanzi data.
Sasa iweje umuite mtu best looser? ilihali kafaulu ila nafasi hazikutosha na bahati nzuri kapewa nafasi ya kubakishwa akiba endapo nafasi ikipatikana anaipewa.
Pia endapo wangekuwa wanaitwa watu kwenye oral idadi sawa na nafasi zilizopo kungekuwa hapakaliki kwa lawama. Ili kuondoa hilo na kuweka uwanja sawa, pakawepo na ratio ya watu vs nafasi.
Utani ni mzuri na pia ni mbaya/haufai, utakuwa mzuri kulingana na hali/mazingira na utakuwa mbaya kulingana na hali/mazingira. Tujitahidi kutambua ni mazingira yapi tutumie utani na mazingira yapi haipaswi kutumia utani.
Kuna baadhi ya kada zilikuwa hazihitaji kutangaza, matangazo kila siku tuone kama kuna kazi kumbe nafasi ze yewe hamna au ni chache.Swala jingine kama inavyofahamika mtu kuingia oral interview ni Mark 50 na kuendelea ukiondoa lecturers, tutorials n.k
Tunahitaji baada ya oral interview matokeo yatolewe kwa uwazi na walioingia kwenye kanzi data wafahamu kwa sababu ni haki yao isiwe jambo la ramli chonganishi
Maswala ya wasaka ajira kukaa wanahisi wako kanzi data ama la! hayana tija, vitu viwe wazi kila mshiriki ajue alichovuna na ajue atapata nafasi pale zitakapo jitokeza ama ajipange upya!
Shida ilipoazia hilo neno ni kati ya waliolamba Asali alilete tena kwa kebehi!Well said kanzidata ni ya watu waliofaulu lakin nafasi zilikua chache mfano oral mmeingia wanne, wakwanza kapata 89, wapili 87, watatu 85 na wanne 80, nafasi ni moja so atachukuliwa aliepata 89, hao watatu waliobaki hauwez waita best losers ni watu waliofaulu wakakosa nafasi kwa wakati huo. Na data base ipogo maeneo mengi sio psrs tu, hata kwenye big4 audit firms wanao huo utaratibu. Tuangalie maneno ya utani, kuna kauli nyingine huwa zinageuka kua laana, sasa unajiita best loser then unategemea siku ulambe asali
Na tuwe wakweli wanao feli Oral ni wachache sana ila inakuja tayari nafasi chache watu wana majina yao, nafasi 4 vimemo 15 ,watoto wa wakulima 30 wanacho fanya ni kuleta maswali ya kukutoa kwenye laini hawana huruma, ili ufeli, upotee kwenye ramani, maswali mengine mtu anakuuliza ili ufeli kukukomoa na lugha shida basi unapotea mazima.Swala jingine kama inavyofahamika mtu kuingia oral interview ni Mark 50 na kuendelea ukiondoa lecturers, tutorials n.k
Tunahitaji baada ya oral interview matokeo yatolewe kwa uwazi na walioingia kwenye kanzi data wafahamu kwa sababu ni haki yao isiwe jambo la ramli chonganishi
Maswala ya wasaka ajira kukaa wanahisi wako kanzi data ama la! hayana tija, vitu viwe wazi kila mshiriki ajue alichovuna na ajue atapata nafasi pale zitakapo jitokeza ama ajipange upya!
Na vile vile nimeshuhudia watu wakipata shavu kubwa kutokea kwenye database kuliko hata wale waliopata kutoka kwenye first selectionBest looser si jina sahihi ndio maana huwezi kuona komenti yangu ikitaja hilo jina hata kama liwe la utani.
Tunajua kuwa mkiwa 5 oral, halafu nafasi zipo 2. Wataanza kuchukuliwa wale waliofaulu zaidi kutokna na idadi hizo nafasi 2.
Watakaobaki sio best looser, ni watu waliofaulu ila nafasi zimekosekana, hawa ndio huwa wanawekwa kanzi data.
Sasa iweje umuite mtu best looser? ilihali kafaulu ila nafasi hazikutosha na bahati nzuri kapewa nafasi ya kubakishwa akiba endapo nafasi ikipatikana anaipewa.
Pia endapo wangekuwa wanaitwa watu kwenye oral idadi sawa na nafasi zilizopo kungekuwa hapakaliki kwa lawama. Ili kuondoa hilo na kuweka uwanja sawa, pakawepo na ratio ya watu vs nafasi.
Utani ni mzuri na pia ni mbaya/haufai, utakuwa mzuri kulingana na hali/mazingira na utakuwa mbaya kulingana na hali/mazingira. Tujitahidi kutambua ni mazingira yapi tutumie utani na mazingira yapi haipaswi kutumia utani.
Kwa kifupi best looser ni mtu aliyepoteza nafasi kwa uzuri/kufaulu jambo flani ila kutokana mazingira nje ya uwezo wake amekossa nafasi.Tatizo letu ngozi nyeusi kila kitu tunapenda kukichukulia serious ata kama kina maana ya kawaida. Kwanza inabidi tuelewe maana ya looser(huyu ni mtu aliyepoteza kitu au nafasi fulani).Nimeona watu wanalia lia kuitwa best looser. Hilo neno halina maana mbaya hata kidogo, tungeitwa bad looser ndio tungepaswa kulia lia. Mwaka 2016 if am not wrong Ureno alikuwa best looser kwa group lake lakini alienda kushinda kombe la EURO.
If someone is a Best looser, it means they accept that they have lost a game or something without complaining. But If someone is a bad loser, it means they hate losing and complain about it.
TRUTH BE TOLD.
100% nakubaliana na wewe. Watu tuache makasiriko ambayo hayana maana.Kwa kifupi ni mtu aliyepoteza nafasi kwa uzuri/kufaulu jambo flani ila kutokana mazingira nje ya uwezo wake amekossa nafasi.
Best looser neno zuri tu kwa sisi tuliopo database.!
Kiingereza kingi lakini mantinki hakuna, umerukia Ureno mara wapi na vile. Majina hayo yanaashiria ubaguzi na ndio kilio cha vijana humu.Tatizo letu ngozi nyeusi kila kitu tunapenda kukichukulia serious ata kama kina maana ya kawaida. Kwanza inabidi tuelewe maana ya looser(huyu ni mtu aliyepoteza kitu au nafasi fulani).Nimeona watu wanalia lia kuitwa best looser. Hilo neno halina maana mbaya hata kidogo, tungeitwa bad looser ndio tungepaswa kulia lia. Mwaka 2016 if am not wrong Ureno alikuwa best looser kwa group lake lakini alienda kushinda kombe la EURO.
If someone is a Best looser, it means they accept that they have lost a game or something without complaining. But If someone is a bad loser, it means they hate losing and complain about it.
TRUTH BE TOLD.
Pole sanaa mkuu.Mkuu umeandika vitu muhimu sana niseme kanzi data (data base) ni jambo la kufikirika tu,
Binafsi ni mmoja wa vijana tuliofanya interview nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii II mwaka jana 2022
Sekretarieti ya ajira ilitoa tangazo la nafasi moja (1) ya Afisa Maendeleo Wilaya ya Mwanga, written interview tuliitwa watu 200+, oral interview tukaingia watu 40 akapatika mtu mmoja
Sitaki kuamini hawa watu 39 waliofanya oral interview na kunisaidia nafasi kwa wakati huo wote hawakufanya vizuri kiasi kwamba hakuna hata mmoja alieingia kwenye kanzi data(data base)
Kama wapo waliofanya vizuri kwanini hawajapewa nafasi za kazi kabla ya kutangaza nafasi mpya?
tunashukuru 18/04/2023 wanetoa nafasi 800 za Afisa Maendeleo wa Jamii II lakini kwanini sekretarieti ya ajira haitaki kuwapa kazi watu waliofanya vizuri kabla ya kutangaza nafasi zingine?
Vijana wanatafuta nafasi kwa shida sana asilimia kubwa wanatoka mikoa ya mbali mwisho wanaambulia patupu kwa janja janja ya data base, itoshe kusema hakuna data base na hii sekretarieti ina changamoto nyingi sana itazamwe upya!
Kutafuta ajira nchi hii imekuwa kama kuomba uraia vile.Oral interview yenyewe tulifanya kwa tabu hadi saa tatu usiku jua baridi vikatupiga ila mwisho mambo hayaeleweki
Kimsingi hii sekretarieti ya ajira inahitaji maboresho makubwa sana
Tuzidi kuwaombea watabadilika ipo siku ....Ila lawama zote zinaelekea kwa Baba mwenye mji Utumishi!!!Huku ndo kunawafanya PSRS wafanye wanavyotaka ..Mfano Baba mwenye mji mlevi wa pombe(vimemo vingi) kupindukia kweli watoto watamtii kwel?Oral interview yenyewe tulifanya kwa tabu hadi saa tatu usiku jua baridi vikatupiga ila mwisho mambo hayaeleweki
Kimsingi hii sekretarieti ya ajira inahitaji maboresho makubwa sana
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, Best looser is not a racist word. Nimeelezea kwa mifano ya ureno ili nieleweke vizuri. If u call me a best looser am not upset with that word coz nothing change.Kiingereza kingi lakini mantinki hakuna, umerukia Ureno mara wapi na vile. Majina hayo yanaashiria ubaguzi na ndio kilio cha vijana humu.