Hivi unaufahamu wa lugha vizuri? Hivi unajua context inaweza kuathiri maana ya neno hata kama likiwa zuri namna gani?Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, Best looser is not a racist word. Nimeelezea kwa mifano ya ureno ili nieleweke vizuri. If u call me a best looser am not upset with that word coz nothing change.
Dah kazi ipo, very sorry kama hilo neno kwako linakuumiza, but wengine tunaliona la kawaida tena sana. hatuwezi fanana kwa kila jambo ndugu.Hivi unaufahamu wa lugha vizuri? Hivi unajua context inaweza kuathiri maana ya neno hata kama likiwa zuri namna gani?
Turudi kwenye mfano wa mpira maana wewe unaonekana ni shabiki mzuri wa mpira, kuna wakati referee hufanya maamuzi labda anasema hii ni foul na aliyefanya hiyo foul kwa mwenzake akimpigia makofi referee hupewa kadi ya njano! Unafikiri ni kwanini huwa anapewa kadi licha ya kumpongeza referee kwa kumpigia makofi.
Rappers wa USA huwa wana swear words muda mwingine hutamka niggar na huwa wapo happy tuu na lyrics zao ila sasa itokee aitwe na other race heeee! Ni malalamiko na tifu kwenda mbele.
Uzuri wa neno hutegemea na mazingira.
Mimi haliniumizi hata kidogo ila wajumbe waliona si jina zuri kwao kwahiyo nimejaribu kuelezea kwa upande wao Mkuu.Dah kazi ipo, very sorry kama hilo neno kwako linakuumiza, but wengine tunaliona la kawaida tena sana. hatuwezi fanana kwa kila jambo ndugu.
Ni sahihi, watu wameenda TPDC ilihali hawakufanyia usahili huo ila walitoka databaseNa vile vile nimeshuhudia watu wakipata shavu kubwa kutokea kwenye database kuliko hata wale waliopata kutoka kwenye first selection
Kiongozi hivi kwa makadirio pdf nyengine inaweza ikatoka lini tenaNa vile vile nimeshuhudia watu wakipata shavu kubwa kutokea kwenye database kuliko hata wale waliopata kutoka kwenye first selection
Mzee wa uvuvi naona unategemea wapiga lamuli.!Kiongozi hivi kwa makadirio pdf nyengine inaweza ikatoka lini tena
Acha ndugu yangu haya mambo yanatia presha kinoma natamani watoe full ili nijue nimekosa nipambane na mambo yangu or vipiMzee wa uvuvi naona unategemea wapiga lamuli.!
Nimegundua hakuna ajuaye siku wala saa sema watu wanasoma upepo tu, zikipita siku kadhaa basi utabiri unaanza kutokea na unatimia.!
Pole mzee, tuwe na matumaini tu ni swala la muda. Ila kama kuna ishu unafanya endelea tu maisha inabdi yaendeleeAcha ndugu yangu haya mambo yanatia presha kinoma natamani watoe full ili nijue nimekosa nipambane na mambo yangu or vipi
Data base kabla ya Waziri kuongea ilikuwepo watu wanapangiwa mpk sasa bado wanahutaji kutokana na budget ya jana aliyosoma 2022/2023.Ni sahihi, watu wameenda TPDC ilihali hawakufanyia usahili huo ila walitoka database
Ccm chama changuSwala jingine kama inavyofahamika mtu kuingia oral interview ni Mark 50 na kuendelea ukiondoa lecturers, tutorials n.k
Tunahitaji baada ya oral interview matokeo yatolewe kwa uwazi na walioingia kwenye kanzi data wafahamu kwa sababu ni haki yao isiwe jambo la ramli chonganishi
Maswala ya wasaka ajira kukaa wanahisi wako kanzi data ama la! hayana tija, vitu viwe wazi kila mshiriki ajue alichovuna na ajue atapata nafasi pale zitakapo jitokeza ama ajipange upya!
Blender anafurahi sana akiona haya malalamiko hahahahaha
Huyo ni mwanasiasa, ilipaswa tuelewe hivi kuwa mwanasiasa kasema.Data base kabla ya Waziri kuongea ilikuwepo watu wanapangiwa mpk sasa bado wanahutaji kutokana na budget ya jana aliyosoma 2022/2023...
Note.
Watu wanataka Pdf ya mhagama 1700+ itolewe yote ilo neno kidogokidogo arudi Waziri aiweke sawa !!Ile kauli ya Mh.Mhagama imewahamsha wasailiwa matumain yapo ukipambana na kumtanguliza Mungu...
Waziri yupo kimya inamaana amekubaliana na kauli ile....
Sawa kiongozi nimekuelewa...Hoyo ni mwanasiasa, ilipaswa tuelewe hivi kuwa mwanasiasa kasema.
Pia kwasasa hayupo kwenye hiyo nafasi, na yupo mwingine.
Huyu mwingine huenda kashakuja na mipango yake na ile ya mtangulizi kutupwa kule. Hilo ni janga!
Taasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.kwenye mkutano wa msajili wa hazini na wakuu wa taasisi hii leo, kuna mkurugenzi kasimama na kumwambia msajili kuwa;
wanapata shida sana ya watumishi/ajira kwa sababu;
1. wanafanyiwa (wanaendeshewa) interview na watu wasio wa kwao yaani psrs
2. wanahamishwa kwao huku hawajui quality yao
aca-conclude wanapata wafanyakazi wasio na quality na awanataka wale tu wanaofit mandate na function ya taasisi husika!!
link; https://www.youtube.com/watch?v=owdqFSPLn0A&ab_channel=DailyNewsDigital
Huyo anataka amuweke mpwa wake hamna jingine.Taasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.
Kila taasisi ina mifumo yake ya utendaji kazi ambapo inatakiwa iwafunze watumishi wake ili waweze kuitumia kwenye kazi.
Sasa akitaka aletewe mtu anayejua hivyo vitu ambayo hana access navyo anafikiri atajifunzia wapi ili ajue? Huyo Mkurugenzi kakwama kwenye hoja yake, akae chini aiboreshe na kuiwasilisha tena
Tamko lake naona halina ukweli, mbona saili zinaendeshwa in Integrated system- mfumo shirikishi na waajiri husika , mimi nimefanya saili 8 mpaka sasa na katika saili zote hizo nilikuwa naona waajiri wa taasisi husika wakiwepo.kwenye mkutano wa msajili wa hazini na wakuu wa taasisi hii leo, kuna mkurugenzi kasimama na kumwambia msajili kuwa;
wanapata shida sana ya watumishi/ajira kwa sababu;
1. wanafanyiwa (wanaendeshewa) interview na watu wasio wa kwao yaani psrs
2. wanahamishwa kwao huku hawajui quality yao
aca-conclude wanapata wafanyakazi wasio na quality na awanataka wale tu wanaofit mandate na function ya taasisi husika!!
link; https://www.youtube.com/watch?v=owdqFSPLn0A&ab_channel=DailyNewsDigital
Sure mkurugenzi kazingua.Taasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.
Kila taasisi ina mifumo yake ya utendaji kazi ambapo inatakiwa iwafunze watumishi wake ili waweze kuitumia kwenye kazi.
Sasa akitaka aletewe mtu anayejua hivyo vitu ambayo hana access navyo anafikiri atajifunzia wapi ili ajue? Huyo Mkurugenzi kakwama kwenye hoja yake, akae chini aiboreshe na kuiwasilisha tena