Tena wanashirikishwa kuanzia saili a kuandika mpaka za kuongea nimefanya saili nane na katika hizo 1 ndio nilifanikiwa kuingia oral ambayo ndio nasubiria placement zake mpaka sasa.Tamko lake naona halina ukweli, mbona saili zinaendeshwa in Integrated system- mfumo shirikishi na waajiri husika , mimi nimefanya saili 8 mpaka sasa na katika saili zote hizo nilikuwa naona waajiri wa taasisi husika wakiwepo.
Na nimeshuhudia huo mfumo shirikishi katika hatua zote, kwa kauli hiyo point ya Mkurugenzi haina mashiko, ushauri waliutoa @ mwifwa na @ mazgaz ndio unaotakiwa kufanyika.Tena wanashirikishwa kuanzia saili a kuandika mpaka za kuongea nimefanya saili nane na katika hizo 1 ndio nilifanikiwa kuingia oral ambayo ndio nasubiria placement zake mpaka sasa.
Mm namjua mtu alikuwa database kupitia interview ya NAOT amepata placement pdf ya last weekWanajamvi nauliza kwa wale waliofanya oral ya TRA mwezi wa kwanza af wakakosa placement,vp kuna ambao wamepata wakapangiwa sehemu zingine??mean walokuwa database
Kada gani ndugu?Mm namjua mtu alikuwa database kupitia interview ya NAOT amepata placement pdf ya last week
@Twinawe ni mmojawapo.Wanajamvi nauliza kwa wale waliofanya oral ya TRA mwezi wa kwanza af wakakosa placement,vp kuna ambao wamepata wakapangiwa sehemu zingine??mean walokuwa database
Tuongee ukwel upande wa Oral PSRS wanaosimamia ni taasisi husika anataka nn mkurugenzi...Sema jana wameguswa na Mbunge fulan mambo ya ukabila na vimemo lazima chawa watokekwenye mkutano wa msajili wa hazini na wakuu wa taasisi hii leo, kuna mkurugenzi kasimama na kumwambia msajili kuwa;
wanapata shida sana ya watumishi/ajira kwa sababu;
1. wanafanyiwa (wanaendeshewa) interview na watu wasio wa kwao yaani psrs
2. wanahamishwa kwao huku hawajui quality yao
aca-conclude wanapata wafanyakazi wasio na quality na awanataka wale tu wanaofit mandate na function ya taasisi husika!!
link; https://www.youtube.com/watch?v=owdqFSPLn0A&ab_channel=DailyNewsDigital
Pamoja na hayo uliyozungumza ndugu Mwifa ni ukweli usio pingika kuwa hili la database litaleta malalamiko toka kwa baadhi ya waajiri.Taasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.
Kila taasisi ina mifumo yake ya utendaji kazi ambapo inatakiwa iwafunze watumishi wake ili waweze kuitumia kwenye kazi.
Sasa akitaka aletewe mtu anayejua hivyo vitu ambayo hana access navyo anafikiri atajifunzia wapi ili ajue? Huyo Mkurugenzi kakwama kwenye hoja yake, akae chini aiboreshe na kuiwasilisha tena
Ok vizuri...ngoja tuishi kwa matumain tukiamin database ipo@Twinawe ni mmojawapo.
Alikosa TRA alikofanyia usahili, akaja kupata Wizarani kupitia database
Kati ya watu 10,000 wamepita watu 700 hapa bado mwajiri anamashaka kwel ...waseme ukwel waajiri wanaogopa challenge kwa vijana wa nw kwenye kazi(ukilitimba mwingi)...Hili Mama alitizame tumetoka awamu ya ubabe tupo awamu ya furaha...Pamoja na hayo uliyozungumza ndugu Mwifa ni ukweli usio pingika kuwa hili la database litaleta malalamiko toka kwa baadhi ya waajiri.
Maoni yangu binafsi, database ifutwe, inapotokea nafasi, watu waitwe kipigwe, hii ndio namna inavyotakiwa kuwa.
Hao internal auditor hawafanyi kazi zao ipasavyo, wanatakiwa wote wakamatwe maana wanaonyesha taasisi haina shida kumbe ina MADUDU kibaoNaona nafasi za internal auditor 11 zimeongezwa tena 52 naona hii itakuwa ni moja wapo ya strategies za ku implement hoja za repoti ya CAG naona serikali inataka kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa ndani kuwa na man power ya kutosha kukabiliana na ishu za ubadhirifu wa mali za uma.
Atakuwa alifanya interview za maafisa hesabu sio kufanya interview za tax management officer then upangiwe kuwa mhasibu wa halimashauri@Twinawe ni mmojawapo.
Alikosa TRA alikofanyia usahili, akaja kupata Wizarani kupitia database
Well said mwifwa. Psrs ibaki na majukum yake ila tu ifanyie maboresho changamoto zakeTaasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.
Kila taasisi ina mifumo yake ya utendaji kazi ambapo inatakiwa iwafunze watumishi wake ili waweze kuitumia kwenye kazi.
Sasa akitaka aletewe mtu anayejua hivyo vitu ambayo hana access navyo anafikiri atajifunzia wapi ili ajue? Huyo Mkurugenzi kakwama kwenye hoja yake, akae chini aiboreshe na kuiwasilisha tena
Internal auditorKada gani ndugu?
Yeye ni ICT, alifanya ya kada hiyo huko TRAAtakuwa alifanya interview za maafisa hesabu sio kufanya interview za tax management officer then upangiwe kuwa mhasibu wa halimashauri
Acha uoga unafunga case ya nn? Acha tutie neno kabla hujafunga[emoji16],naomba nikuulize maswali ma2. Huko kwenye taasisi ni jambo gani hufanyika kupima ujuzi, weledi na ubinifu ambalo psrs halipo?Japo kwenye taasisi kuna figisu sana ila kule ndiko kwenye usaili mzuri unaopima ujuzi, ubunifu, na weledi wa msailiwa CASE CLOSED.
Hakuna watu wabaya kama wakurugenzi wa mashirika hao ndo wanataka ulaji, waweke watu wao ,washaona kama taasisi ya kwao eti unatuletea watu wasio na sifa nani anaomba kibali, tena anataja na sifa anazo taka akiletewa anasema hawana sifa jamani jamani hao watu huo ni ubaguzi PSRS sio wajinga walete watu ambao hawana sifa umesema unataka Bachelor ya Account, Economics au Finance au BBA halafu waseme na GPA na aina gani ya masomo mtu aliye faulu vizuri ili kuondoa lawama vigezo vingine ni Minimum kisheria ukute wamesomesha watoto wao uingreza au India wakiwaandalia nafasi na hao watoto ukiwapeleka dodoma written2 chali tena wakati mwingine maswali ni yakawaida, waleteni hao wakwenu wenye sifa tushindane wote tupite hatua kwa hatua hatuwezi kuwaachia usaili na huku tunawajua mnanjaa ya kuweka ndg zetu hamna fact.Tamko lake naona halina ukweli, mbona saili zinaendeshwa in Integrated system- mfumo shirikishi na waajiri husika , mimi nimefanya saili 8 mpaka sasa na katika saili zote hizo nilikuwa naona waajiri wa taasisi husika wakiwepo.