Data haina maana yoyote ile, ifutwe tu.Kati ya watu 10,000 wamepita watu 700 hapa bado mwajiri anamashaka kwel ...waseme ukwel waajiri wanaogopa challenge kwa vijana wa nw kwenye kazi(ukilitimba mwingi)...Hili Mama alitizame tumetoka awamu ya ubabe tupo awamu ya furaha...
Aliyekufundisha mpk ukafika hapo katoka data base(mwalimu)...
Kuweka hoja sawa, sahili ni relevant ikiwa imeshirikisha taasisi husika, itatoa "desired candidate" kwa taasisi husika, na sio kinyume chake.Acha uoga unafunga case ya nn? Acha tutie neno kabla hujafunga[emoji16],naomba nikuulize maswali ma2.
Huko kwenye taasisi ni jambo gani hufanyika kupima ujuzi,weledi
na ubinifu ambalo psrs halipo?
Keeping in mind kwamba hua wanahusika kwenye saili na apa kanazaliwa kaswali kengne. Mfano kuna interview ya nafasi za kaz taasis x na unakuta kwenye panellists 6 basi wa4 kam sio wa5 ni wa hiyo taasis x, sasa je ni kipi kinawazuia wasifanye wanachokifanyaga kule kuupima huo ujuzi, weledi na ubunifu?
Mkuu piga hesabu za 6 months kwanza, sikilizia budget ya MOFWanajamvi nauliza kwa wale waliofanya oral ya TRA mwezi wa kwanza af wakakosa placement,vp kuna ambao wamepata wakapangiwa sehemu zingine??mean walokuwa database
Hayo malalamiko nyie mnayasikiaga wapi?Pamoja na hayo uliyozungumza ndugu Mwifa ni ukweli usio pingika kuwa hili la database litaleta malalamiko toka kwa baadhi ya waajiri.
Maoni yangu binafsi, database ifutwe, inapotokea nafasi, watu waitwe kipigwe, hii ndio namna inavyotakiwa kuwa.
Kwan haiwezekan kaka mtu kufanya interview ya tax management officer akawa database na akaja kupangwa halmashauri?Atakuwa alifanya interview za maafisa hesabu sio kufanya interview za tax management officer then upangiwe kuwa mhasibu wa halimashauri
Bro hatuendi hivyo watanzania tufunguke.Waziri ni kiongozi mkubwa sana kaka labda hujui mandate walio nayo hawa watu, wanakaa na waziri mkuu na Raisi wakijadili mustakabli wa mambo.Huyo ni mwanasiasa, ilipaswa tuelewe hivi kuwa mwanasiasa kasema.
Pia kwasasa hayupo kwenye hiyo nafasi, na yupo mwingine.
Huyu mwingine huenda kashakuja na mipango yake na ile ya mtangulizi kutupwa kule. Hilo ni janga!
Km tax collector au ? Km mhasibu ???Kwan haiwezekan kaka mtu kufanya interview ya tax management officer akawa database na akaja kupangwa halmashauri?
Kama mhasibu,let's say huyo mtu amesoma Bcom account au financeKm tax collector au ? Km mhasibu ???
Ni wazi inafahamika, kwa binadamu mwenye uwezo wa kawaida tu, akipewa mafunzo ya kazi husika anaifanya bila shida, linapokuja swala la ajira, lazima kupima uwezo au umahiri katika kada husika kwa njia ya sahilili.Hayo malalamiko nyie mnayasikiaga wapi?
Regardless of GPA ya mtu, mfano nikizungumzia field yangu ya uhasibu, siamin kama kuna graduate yyte atashindwa kuperform majukum yake as accounts officer II, internal auditor, accoutant or whatever ikiwa kama atapatiwa mafunzo na mwajiri wake. Buana watu sio wajinga buana [emoji16] ya darasan yanakuaga magum kuliko ya kazin, course km finacial management, international finance na cost accounting zimetutoa jasho wee lkn tumefaulu afu uje unambie siwezi ku reconcile bank statement au ku record cash reciepts and payments kazini?
Anae sema taasisi wana usaili bora unajua wanatumia staili gani kushort list hujuani na HR, au mkuu wa idara au mkurugenzi huitwi imeisha iyo ni kujipanga2 wanaweza kujadili namna ya kuendesha saili na taasisi husika na mambo yakaenda hakuna cha usaili bora, usaili bora, una attitude ya kazi nzuri, upo energetic enough kufanya kazi maana usaili ni kitu kingine kazi ni mwendelezo system zote mpya kwa watu, ukiingia utamkuta juma, amina ,mariam atakufundisha hapa tunafanya hivi mpaka ujue huwezi ingia kule uwe unajua kila kitu au mjuaji wa mambo yote uliyajua wapi, ulifanya intern hapo auAcha uoga unafunga case ya nn? Acha tutie neno kabla hujafunga[emoji16],naomba nikuulize maswali ma2.
Huko kwenye taasisi ni jambo gani hufanyika kupima ujuzi,weledi
na ubinifu ambalo psrs halipo?
Keeping in mind kwamba hua wanahusika kwenye saili na apa kanazaliwa kaswali kengne. Mfano kuna interview ya nafasi za kaz taasis x na unakuta kwenye panellists 6 basi wa4 kam sio wa5 ni wa hiyo taasis x, sasa je ni kipi kinawazuia wasifanye wanachokifanyaga kule kuupima huo ujuzi, weledi na ubunifu?
Mkuu hebu kuwa muwazi, kwa sahili ile ya TMO ni sahihi candidate kupangiwa post ya majukumu ya kihasibu?Kwan haiwezekan kaka mtu kufanya interview ya tax management officer akawa database na akaja kupangwa halmashauri?
Mpaka kufanya TMO means aliqualify kwa kuwa alisoma Bcom account so if Yuko database why isiwezekane kupangwa halmashauri coz kafanya TMO sawa ila pia ni muhasibu professionallyMkuu hebu kuwa muwazi, kwa sahili ile ya TMO ni sahihi candidate kupangiwa post ya majukumu ya kihasibu?
CASE OPENEDAcha uoga unafunga case ya nn? Acha tutie neno kabla hujafunga[emoji16],naomba nikuulize maswali ma2.
Huko kwenye taasisi ni jambo gani hufanyika kupima ujuzi,weledi
na ubinifu ambalo psrs halipo?
Keeping in mind kwamba hua wanahusika kwenye saili na apa kanazaliwa kaswali kengne. Mfano kuna interview ya nafasi za kaz taasis x na unakuta kwenye panellists 6 basi wa4 kam sio wa5 ni wa hiyo taasis x, sasa je ni kipi kinawazuia wasifanye wanachokifanyaga kule kuupima huo ujuzi, weledi na ubunifu?
Kwan kinachoangaliwa ni ni hasa?ni post uliofanyia interview au ni qualifications zako?coz mi nafkir kikubwa ni uwe umefaulu n if uko database basi unaweza pangwa kada inayorelate na bachelor uliyosomaMkuu hebu kuwa muwazi, kwa sahili ile ya TMO ni sahihi candidate kupangiwa post ya majukumu ya kihasibu?
Watanzania tuliowengi ubinafsi umetuzidi. Na ndiyo maana maendeleo yetu kwenye taifa yanaenda kwa kusuasua. Hebu fikiria mtu kama huyo aliajiriwaga pasipo kufanyiwa usahili miaka hiyo.Taasisi zinajukumu la kuwapatia mafunzo ya kazi wafanyakazi kulingana na mandate, wakikaa wasubiri kuletewa watu wanaofit hizo mandate kwa 100% hawawezi kuwapata.
Kila taasisi ina mifumo yake ya utendaji kazi ambapo inatakiwa iwafunze watumishi wake ili waweze kuitumia kwenye kazi.
Sasa akitaka aletewe mtu anayejua hivyo vitu ambayo hana access navyo anafikiri atajifunzia wapi ili ajue? Huyo Mkurugenzi kakwama kwenye hoja yake, akae chini aiboreshe na kuiwasilisha tena
Umeongea vzr lakn hujatoa ushauri, labda nn kifanyike,, maana anaefanyiwa usaili inaaminika hajafanya kazi Sasa unahisi ataulizwa maswali gani kupima uelewa wake katika taasisi husika, me nafikili iko changamoto katika mifumo ya elimu, kwahiyo hapo Wala psrs asilaumiwe, hafu hichi chombo me upande wangu nakiamin kulkoni huko kwenye taasisi husika kufanya saili,CASE OPENED
PSRS Ndio taasisi pekee duniani ambayo inageuza mtihani wa Written kuwa ORAL ndio sababu taasisi zinalalamika kuletewa vilaza.
Mchukue mtu aliyefanya kazi hata miaka minne kwenye ofisi yoyote mrudishe akafanye tena usaili PSRS hatoboi, kwanini? atahitaji tena kuingia darasani au kusoma madesa.
Hii nchi inaumwa mahali si bure, watanzania tunabaguana kisa tuu mmoja amewahi kuzaliwa!!!!Sure mkurugenzi kazingua.
Kumtrain mfanyakazi anaona ni ishu nzito duuh!!.
Jamaa akili yake imefikia hapo.
Labda anataka apate mwanya wa kuchomeka watu wake anaowajua yeye kwenye taasisi utadhani ni yake.
Kumbe nae kaajiriwa tu muda wowote anaweza kuwa demoted [emoji1].
Kuna watu hizi taasisi za serikali wakishazioea hizo taasisi au cheo huwa wanaona kama ni mali zao binafsi[emoji1]
Recruit, train, empower, decentralize, encourage
Kazi zitaenda tu mostly walio kwenye nafasi walianza kama novice tu hawajui kitu wakapata uzoefu through years of working.
Kazi zenyewe sio rocket science basi tu wazee wanataka kufanya mambo gaonekane maziito.
Just imagine jobless wa 7 years kitaa anaweza Kosa fursa kisa mkurugenzi anataka watu wanaoijua kazi husika Sasa walifanya lini kazi.
Nchi Ina shida sana hii.
Aaah kumb wew point yako ni data base ifutwe? NmekuelewaData haina maana yoyote ile, ifutwe tu.
Iko hivi, sahili inavyoitishwa na kusimamiwa na mwajiri, ni mwajiri ndiye anaye-set minimum standards wa wana ajira wake wapya. Wangu mie ni kituko cha karne, mtu wa database kwa sahili ya katibu msaidizi wa bunge, kupangiwa post ya uhasibu kwa taasisi kisa tu inaonekana alifaulu sahili ya katibu msaidizi na akakosa nafasi, lakini, qualification yake ni muhasibu.
Ukitazama kwa makini, sahili ya katibu msaidizi wa bunge inapima vitu tofauti na majukumu ya uhasibu, hivyo ina apply kwa sahili nyingine.
Pili, kila taasisi hutoa mafunzo kabla ya kuanza majukumu ya kazi rasmi. Kabla ya kufika huko, taasisi husika hupendelea kuona washiriki takita sahili wanafikia viwango wanavyotaka wao, viwango hivyo, hupimwa kwa hiyo mitihani, katika meneo wanayoona wao yanafaa, kumtoa mtu database kumpeleka huko taasisi X kwa kufaulu tu usaili wa taasisi Y, ni kumnyima fursa huyu mwajiri wa taasisi X wa kupima na kujiridhisha juu ya ufaham wa huyu mtu anayeletewa.
Database ifutwe.