Tunahitaji utekelezaji wa ahadi Mh.Mhagama 1700+.....waache kukwepa ilo swalaLeo Chawene amethibitsha database ipo na ameongeza muda amesema mtu atakaa database kwa muda wa mwaka mmoja, mwaka ukiisha nafasi haijapatikana ndo unatolewa
Punuguza wenge mkuuMapungufu yote hayo alafu bado una Imani nao [emoji115][emoji115][emoji23]
Labda tuulize for verification. Hiz nafasi za TMO na custom za mwaka juzi na za mwaka jana kuna aliyelamba asali from database kwa field tofauti na tax?Ila kwa hapa naona haiko hivyo, kwa sababu nakumbuka nafasi za Auditor ii NAOT zilifanyika mwezi October 22 waluotwa kazini wakaitwa nadhani kati ya January au Feb 2023, kisha zikaja kufanyika za TMO January 23 na kuitwa kazini Feb 14 2023, Mwezi March wakaitwa kutoka kanzi data Afisa mkaguzi COASCO walikuwa 21, wote hao walitoka kwa wale waliofanya Auditor II za NAOT na siyo wa TMO hivyo nahisi kinachofanyika ni kuwa wana angalia position uliofanyia usaili na siyo ulichosomea.
Kuna kada washortlist watu wengi kiasi kwamba kanzidata inakua not applicable TRA oral tax watu 750 wanachukuliwa 300 haya wamebaki 450 asume 350 wamefeli utaweka watub100 kanzi data kweli hapo ndo imbunge ilipo na hao 800 wataitwa oral 2400 kwa ratio ya 1:3 hapo wakipass 800 wana baki 1600 assume 200 wame feli 1400 kanzi data hapo uongo hili suala gumu wazee watoe muongozo mpyaTunahitaji utekelezaji wa ahadi Mh.Mhagama 1700+.....waache kukwepa ilo swala
Hakuna shule ya kufundisha creativityHizo skills ni rahisi kujifunza huko huko Kazini..
wahuni hao, wanasema hivyo utashangaa ni kada za afya na walimu kama vile proffesion zingine hamnaKasema wanamalizia zile za mwaka jana kabla ya mwaka wa fedha kuisha ndipo waanze zile 45,000 kasema hawataanza kuajiri hivi 45,000 bila kumalizia 21,000
Ndio maana hapa watachukua watu TRA nasikia ni Moja ya taasis zilizokubali kuchukua watu database kwahyo watasahili nafasi chache kujazia Kama itahitajikaKuna kada washortlist watu wengi kiasi kwamba kanzidata inakua not applicable TRA oral tax watu 750 wanachukuliwa 300 haya wamebaki 450 asume 350 wamefeli utaweka watub100 kanzi data kweli hapo ndo imbunge ilipo na hao 800 wataitwa oral 2400 kwa ratio ya 1:3 hapo wakipass 800 wana baki 1600 assume 200 wame feli 1400 kanzi data hapo uongo hili suala gumu wazee watoe muongozo mpya
Basing kwenye madai yako unadai waajiri wanalalamika kwababu psrs wanafanya saili ambazo zinapeleka vilaza.Hawajasema wanataka EXPERTS no. Tatizo hawaoni vijana mkiwa na skills muhimu kwa mfanyakazi yoyote
Mfano
- No reasoning skills
- No creativity
- Poor reporting skills
- No leadership skills
- No organization skills
- Poor communication skills
yaani wanaona mnakuwa kama mnaleta JAM ofisini, kitu mnajua ni mention this, list that, importance of that, causes of this
Hamna kitu hapo kaka nani anajua hayo niungaunga mwana2, jamaa wamezidiwa, pressure ni kubwa sana watu hawana ajira nchi hii, nafasi tatu wanakuja watu 9000 unadhani kuna usalama hapo hali ni mbaya sana kaka. Vimemo ni vingi kila mtu anahangaika, mwenye chanel na nguvu anatoboa wengine tuna rusharusha miguu basi,hamna wakukusikiliza unalalama mwisho watu wanakula mikausho mikali.Labda tuulize for verification. Hiz nafasi za TMO na custom za mwaka juzi na za mwaka jana kuna aliyelamba asali from database kwa field tofauti na tax?
Wakutane nayo wapi nduguHizi ndio haziulizwi na utumishi kwahiyo lazima wakutane nayo hayo.
KabisaHizo skills ni rahisi kujifunza huko huko Kazini..
Nadhani wote mko sahihi,Ila kwa hapa naona haiko hivyo, kwa sababu nakumbuka nafasi za Auditor ii NAOT zilifanyika mwezi October 22 waluotwa kazini wakaitwa nadhani kati ya January au Feb 2023, kisha zikaja kufanyika za TMO January 23 na kuitwa kazini Feb 14 2023, Mwezi March wakaitwa kutoka kanzi data Afisa mkaguzi COASCO walikuwa 21, wote hao walitoka kwa wale waliofanya Auditor II za NAOT na siyo wa TMO hivyo nahisi kinachofanyika ni kuwa wana angalia position uliofanyia usaili na siyo ulichosomea.
Yan ndo ivo, sema tu Kuna hawa watu wanatakaga taasis husika ndo zifanye saili naona ndo wanakuja humu kwa angle tofauti.Mjadala umekuwa mkali sana,
Kwani hao walimu na madaktari wanaoajiriwa bila sahili hawana competent??
Hizi entry level basic requirement n uwe na cheti tuh hayo mengine n issue ya training tuh
Tunaomba mtusaidie na sis tujue sasa hizo taasisi zilikuaga zinafanyaje kugundua creativity ya candidate kwenye saili?Hakuna shule ya kufundisha creativity
Mtusaidie, nani na nani unayemrefer?Tunaomba mtusaidie na sis tujue sasa hizo taasisi zilikuaga zinafanyaje kugundua creativity ya candidate kwenye saili?
Per diem mara siku 7Jamani kwa watumishi wapya walio chaguliwa kwenda halmashauri wanapewaga ela ya kujikimu ya mwazo kama sehemu zingine?
My friend 8 minutes ni muda mrefu sana kama utampa candidate ajieleze based on the above standards. Kupitia maelezo na presentation yake unaweza kujua all of the above skills.Basing kwenye madai yako unadai waajiri wanalalamika kwababu psrs wanafanya saili ambazo zinapeleka vilaza.
Unaamin kwa aina iyo ya interview unayoifikiria wew ndo mtu anaweza prove anahizo skills zote within 8 min? Yan By asking him/her "what is your strength? Au "what is your salary expectation?
Afu mbna hua kuna kpindi cha matazamio kwa waajiriwa wapya. Waajiri wanakwama wapi? Watimize majukumu yao kwa waajiriwa wapya. HAKUNA KILAZA MWENYE CHETI.
Anyway tusicomplicate vitu, watoe placements mnaosubiri placements mulambe asali mukalitumikie taifa.