HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kabisa mkuu pressure ikiwa kubwa hata hao wasaidizi wa madame president watafikisha tu ujumbe, muhimu tuwe na ushirikiano na hii movement
 
Katika hizi placement za utumishi zinazopelekea vijana wenzetu kulamba asali na maziwa katika nchi, je kuna uwezekano muajiri akamkataa muajiriwa wake huyo mpya wakati wa vetting?
 
kuna web inaitwa e-mrejesho unaweza kuwasilisha malalamiko na mapendekezo yako katika wizara au taasisi husika.
Mkuu hiyo web ina access mpaka kwa Rais? maana kama ni wizara tutakuwa tuna twanga maji kwenye kinu hawa watu ni chain moja muhimu ni kwenda moja kwa moja kwa Rais na kuwasagia kunguni naamini Rais wetu ana nia njema ila kuna kakikundi kawahuni wachache hapa katikati ndiyo kanaleta urasimu wote huu.
 
Unajua mwanasiasa ukimkosoa kimya kimya anajikausha maana haina impact kwa jamii, lakin nafikir ukiandika maoni ya utendaji mbovu wa psrs na unaquote na kila mmoja akaona, huwa wanaona aibu wanafanyia kazi immediate.

Jambo la msingi tuanze, kwa anaeamini pm atume kwa tunao amini public claim tutumie. Mi leo hata kazini sijaenda nataka nipamban na hawa watu.

Believe me, soon watasema placement za mda na lga zimeisha na watajipongeza kwa kazi nzuri mpaka kwenye vyombo vya habari wakati uhalisia mfano mpaka sahizi hata aslimia 40 ya nafasi zilizokuwa wazi kwa kazi husika hazijatimia.

Hapa tutapush ajenda lakini sidhani kama pana matokeo makubwa.
 
Kwenye 100 posts unaweza kuta wanapangia watu 70 tu, zilizobaki wanazikalia,
hawa sio wa kuwakalia kimya kabisa,, lazima tukabie kwa juu wakt huo tukifanya pressing na kushambulia kupitia pembeni.
 
Unazingua kuna forum ya matangazo, nenda kaweke tangazo lako huko
 
Ni sahihi, ubunifu huwa unajitokeza mbele ya safari hasa unapokumbana na changamoto ndipo unaanza kuchakacha kichwa kutatua hizo changamoto hatimaye unaibua ubunifu
Ni kweli na hakuna mtu amesema kuna shule ya creativity that is why demand ya mtu creative ni kubwa, it is something you get by altering your brain not just sitting on the table and reading notes ili ufanye UE au uitwe PSRS NO.

Kama mimi ningekuwa nataka kuajiri nisingetaka mtu aliyekosa hiyo sifa hata kama ni entry level maana unahitaji kuwa nayo nje ya box la chuo.
 
Katika hizi placement za utumishi zinazopelekea vijana wenzetu kulamba asali na maziwa katika nchi, je kuna uwezekano muajiri akamkataa muajiriwa wake huyo mpya wakati wa vetting?
Labda pawe na sababu kubwa isiyokuwa na shaia ndani yake.

Pia anaweza kukataliwa baada ya probation time kumalizika(ingawa hili ni rare sana kutokea)
 
Huku sio FB, Twitter, Instagram ambapo huwa mnavamia post za watu na kuweka matangazo yenu.

Kuna jukwaa la Matangazo, kafungue uzi huko uinadi shule yako.
 
Jiulize usaili watu walifanya january wengine feb matoke wanapata siku hiyohiyo inakuaje wanakaa na majibu miezi mitatu kunanini kinachoendelea, maana kazi zote zina vibali tayari two months wapo na majina hapo ndo michezo ya kuchomeka watu inaanzia maana majibu hayapo wazi ya oral then wana kaa na majibu miezi na miez huo ndo wizi hata Rais hataki wazidi mbona wenzao kazi hizohizo za walimu mishahara sawa tena wao ni idadi ndefu ila wanatoa mara moja wao ni wakiritimba wapigaji PSRS kuchomeka watu wao, kubadili matokeo maana buna haja ya kukaa na majina miezi mitatu unafanya nn na majibu nayo pangia watu kazi.
 
Tuunganishe nguvu kufikisha ujumbe kwa Rais, hawa Sekretarieti ya Ajira siyo wakuchekea, wasitufanye sisi ni wajinga.
 
Ila hizi mambo za Ajira ni pasua kichwaa tu, unaitwa kazini,unaenda kwa mwajiri, unakamilisha process zote, mda wa mshahara unafika hamlipwi daah.

Vijana tunapitia maisha Magumu sanaa kuanzia kuomba kazi, interview nakusubiria majibu ya placement, kazini nako mambo si mambo daah no way out
 
Mwajiri Wako yupo kwenye kushughulikia hatua za Mwisho za kuandaa malipo.
Wewe kama ushakamilisha relax,uliacha namba za simu basi utakapokaribia kuitwa au siku utakayoitwa na Pesa ndio itaingia uanze kazi....
 
Mwajiri Wako yupo kwenye kushughulikia hatua za Mwisho za kuandaa malipo.
Wewe kama ushakamilisha relax,uliacha namba za simu basi utakapokaribia kuitwa au siku utakayoitwa na Pesa ndio itaingia uanze kazi....
Mzee wengine unapelekwa sehemu unajiuliza ndo huku

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mwajiri Wako yupo kwenye kushughulikia hatua za Mwisho za kuandaa malipo.
Wewe kama ushakamilisha relax,uliacha namba za simu basi utakapokaribia kuitwa au siku utakayoitwa na Pesa ndio itaingia uanze kazi....
Sawa sawa brother...we ilichukua mda gani kuitwa baada yakukamilisha zile process nakujaza jaza yale madude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…