Nimepelekwa kwenye teachers college moja ni balaa huku sio asali ni maji chumviMkuu wewe si umepata wizarani, au hao hao wizara wamekupeleka ofisi zao za mkoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
24. Mwombaji wa ajira ambaye hataripoti katika kituo cha kazi alichopangiwa bila kutoa sababu za msingi hatapangiwa tena kituo kingine cha kazi na hatafikiriwa kwa mara nyingine pindi atakapowasilisha maombi ya kazi yenye sifa zile zile za kazi aliyoiomba awali katika Utumishi wa Umma.Nilisoma pahali ule muongozo wao Ukipangiwa mahali usiporipoti basi hutafikiriwa tena kupata ajira.Na hivi placement ipo kwenye mfumo ndio kabisaa jina likipangwa tena litagoma.Hivyo unaweza kuomba kazi ukaitwa tena kwa usaili lkn fainali pale kwenye placement hivyo work done = 0
KB ngapi boss?Pdf nyingineeee
Ni ka pdf sio PDF hahahaPdf nyingineeee
Sijui wanafeli wapi kwani wanashindwa kutoa mkeka mrefuPdf nyingineeee
Wanafeli kinoma bora wakae kila wiki watoe pdf moja ila iwe na majina ya kutosha sio hicho wanachofanyaNi ka pdf sio PDF hahaha
Kwa kweli hiyo ni changamoto sana, unajua ishu ya kujitolea inachukuliwa kama ni masihara lakini ukiichunguza kimakini ina elements za kujuana sana, lisipoangaliwa vema watu hutumia kama upenyo, hivyo kusema kuwa na data base ya watu wanaojitolea is not fair in deed, Vijana wanapenda sana kujitolea lakini hizo nafasi hazipatikani kirahisi kama inavyodhaniwa.
Pdf halmashauriPdf nyingineeee
Tena halmashauri zenyewe mbiliPdf halmashauri
Next week tena hiyoooWanafeli kinoma bora wakae kila wiki watoe pdf moja ila iwe na majina ya kutosha sio hicho wanachofanya
Sfr bado ni ndefuuu sanaaTena halmashauri zenyewe mbili
Kiukwel psrs kuna sehemu wanafeli sna japo wanafanya kazi kubwa snaTena halmashauri zenyewe mbili
Hakika na tufika tutakua tumechoka snaSfr bado ni ndefuuu sanaa
hahaha eti maji jumviNimepelekwa kwenye teachers college moja ni balaa huku sio asali ni maji chumvi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Duuuh pole sna vp ushaenda kuripoti kituo cha kazi??Nimepelekwa kwenye teachers college moja ni balaa huku sio asali ni maji chumvi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Aisee sikutegemea kama mtu anaepangiwa wizarani akapelekwa kwenye vi sub vyake... Ila mkuu si mjini? Au ni ndani ndaniNimepelekwa kwenye teachers college moja ni balaa huku sio asali ni maji chumvi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Haloo ni zaidi ya ndaniAisee sikutegemea kama mtu anaepangiwa wizarani akapelekwa kwenye vi sub vyake... Ila mkuu si mjini? Au ni ndani ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna budi kuskilizia pdf za mbelenishuhuda wakuu,hakuna aliye lamba asali leo, japo tu pdf twa kitoto kinom