Katika ajira ambazo hazikushindaniwa kwa usawa ni zile za mahakama, hizi za bunge kilichobadilika ni maombi tu kutimwa kwa katibubwa bunge, mwaka jana maombi yalielekezwa kwa katibu psrs, ni maboresho madogo.Unajua tume ya utumishi wa Bunge na Mahakama wanakuga na watu wao wanaofanya internship hivyo mara nyingi matangazo yao ya Ajira huwa ni kukamilisha ratiba tu, ndio maana unakuta wanatangazaga nafasi ambazo ukiangalia hizo kada unakuta zina watu ambao tayari walishafanyaga saili za PSRS na wapo data base, mfano miezi miwili nyuma walitangaza Accounts officer wakati huo watu walishafanya Accounts officer za Mda&Lga, pia jana wametangaza financial management officer wakati mwezi February kuna watu wamefanya nafasi hiyohiyo TPDC.
Pia mwakajana Tume ya utumishi wa mahakama walitangaza nafasi za Accounts officer ili hali pia nafasi hizohizo zikatangazwa na PSRS kwa upande wa MDA&LGA, ndipo hapo panaleta mkanganyiko kwa hizi taasisi za Serikali naona hapa kuna double standards baina ya taasisi za Serikali.
Itakuwa ni Murutunguru ttc sasa🤣
Sawa sawa bro..ngoja nifatilie kwa undani zaidiHuenda kuna tatizo sehemu.
Hamjapata watu wangapi new employee? Ulizia wenzako ili uweze kutambua kama ni tatizo au la.
Sisi nakumbuka kuna baadhi salary zao za kwanza zilichelewa, kulikuwa na tatizo ambapo HR alifuatilia wakaja kupewa hiyo salary katikati ya mwezi unaofuata.
Baada ya hapo mambo yakawa yamesettle moja kwa moja.
Hapana wanakuitaji kwenye usaili Ili wapate POSHO 🙄PSRS watatuua na njaa
Hapana sio kweliNilisoma pahali ule muongozo wao Ukipangiwa mahali usiporipoti basi hutafikiriwa tena kupata ajira.Na hivi placement ipo kwenye mfumo ndio kabisaa jina likipangwa tena litagoma.Hivyo unaweza kuomba kazi ukaitwa tena kwa usaili lkn fainali pale kwenye placement hivyo work done = 0
Kwann uombe wizaran au kitengoni , upwagwe sabuwatu wanapata halmashauri wanavunjika moyo kisa maneno ya kijiweni hapa,
wakuu ajira ni ajira tuu,shusheni shuhuda hapa. kumbukeni mfwende niko tayari nikafanye kazi halmashauri ya simiu, meatu, gamboshi,namtumbo nk
Umenikumbusha kipindi wife kapangiwa kazi Wizara ya Afya nikajua ya kuwa atakuwa pale Wizarani, kumbe katupwa hospital ya Rufaa..Nimepelekwa kwenye teachers college moja ni balaa huku sio asali ni maji chumvi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Asiee Kuna dada namfahamu ni rafiki yangu alilia sana baada ya kukosa Hizi Ajira za Mahakama,na alikuwa anajitolea pia huko huko mahakamani.Ki ufupi unachokisema Mkuu ndio hivyo hivyo.Katika ajira ambazo hazikushindaniwa kwa usawa ni zile za mahakama, hizi za bunge kilichobadilika ni maombi tu kutimwa kwa katibubwa bunge, mwaka jana maombi yalielekezwa kwa katibu psrs, ni maboresho madogo.
Za tume ya mahakama mwaka jana, walitumia portal yao katika website yao, kigezo kikuu kilikua ku-apload passport size photo, ajab ilikua, baada ya siku moja au mbili toka tangazo litoke, haikua inawezekana tena ku-upload photo, nyomi ikapunguzwa hapa.
Ikaja katika kuita usahili, wakaelekeza watu waende na PC zao, walichokutana nacho, kila mmoja alisema lake, kifupi ni kama walikua na watu tayari, kibaya walishindwa kuendesha mchakato katika usawa na uwazi, ilikua mchakato wa aibu mnoo kwa taasisi ya kusimamia haki kama ile, baada ya mchakato, wakatoa feedback ya uongo na kweli katika website yao kuonesha kuwa walisimamia ushindani kwa haki na usawa, aibu mnoo.
Katika ajira ambazo walifanya poa ni za mahakama, system ilichuja kabisa ikachukua watu wachache wenye ufaulu wa juu ndio wakaitwa kwenye pepa ya mchujo (ilisaidia kuwapunguzia watu usumbufu na kupoteza nauli) na kwenye hiyo pepa ulikua unafanya mtihani uku unazijua max zako kabisa maana kama umekosea jibu palepale unaambiwa umekosea jibu kwahiyo walitoka wakijua max zao kabisa. Kuna jamaa nawafaham waliingia hadi oral na wawili walipata kazi bila kuunganishiwa na mtu inshort uwezo wao uliwabeba. Ingawa ile system watu waliokua wanajitolea mahakama iliwachinja maana wengi walikua na uhakika wa kuajiliwa kama ilivyokuaga miaka ya nyumaKatika ajira ambazo hazikushindaniwa kwa usawa ni zile za mahakama, hizi za bunge kilichobadilika ni maombi tu kutimwa kwa katibubwa bunge, mwaka jana maombi yalielekezwa kwa katibu psrs, ni maboresho madogo.
Za tume ya mahakama mwaka jana, walitumia portal yao katika website yao, kigezo kikuu kilikua ku-apload passport size photo, ajab ilikua, baada ya siku moja au mbili toka tangazo litoke, haikua inawezekana tena ku-upload photo, nyomi ikapunguzwa hapa.
Ikaja katika kuita usahili, wakaelekeza watu waende na PC zao, walichokutana nacho, kila mmoja alisema lake, kifupi ni kama walikua na watu tayari, kibaya walishindwa kuendesha mchakato katika usawa na uwazi, ilikua mchakato wa aibu mnoo kwa taasisi ya kusimamia haki kama ile, baada ya mchakato, wakatoa feedback ya uongo na kweli katika website yao kuonesha kuwa walisimamia ushindani kwa haki na usawa, aibu mnoo.
Huyo dada alitegemea kubebwa kama walivyokua wanafanya miaka ya nyuma hakukua na ushindani mtu unaenda kwenye interview ambayo mwisho wa siku unakuta walioajiliwa wote ni waliokua wanajitolea hata kama hawakuperfom vizuri kwenye pepa za mchujo na oral hicho kitu nimekishuhudia miaka ya nyuma kuna mchizi aliingia kwenye oral alivyotoka akawa anasema panel yote anafahamiana nayo kwasababu kila siku anafanya nao kazi unategemea wanaweza kumuacha? Ila za mwaka jana wote maombi yalipitia kwenye system na kuchujwa kabisa hakukua na upendeleo maana asilimia kubwa ya waliokua wakijitolea walikatwa ingawa badae naona waliitwa tena na kufanyiwa mchakato tena kwa nafasi chache na walizishindania wao kwa waoAsiee Kuna dada namfahamu ni rafiki yangu alilia sana baada ya kukosa Hizi Ajira za Mahakama,na alikuwa anajitolea pia huko huko mahakamani.Ki ufupi unachokisema Mkuu ndio hivyo hivyo.
Sehemu pekee ya Salama na uhakika ni kupitia PSRS tu.
Sekretarieti ya Ajira binafsi naomba Ajira zote hata za Watendaji wa Kata, Vijiji,na Mashirika yote ya Umma, Tamisemi,Wizara ya Afya msimamie nyie,iwe ni za mkataba au muda mfupi.Maana nyie ndio kimbilio la wengi.......
Watu wanaenda usaili mahali baada ya hapo wanarudi wanalia Kwa mambo ya upendeleo.Ila kupitia PSRS Ukienda na kukosa unajifunza wapi ujitahidi Awamu inayofuatia...
Mungu awalinde watumishi wote wa PSRS na muendelee kutenda haki siku zote.
Bora huyo kuna mwingine alikuwa anafanya intern mahala zikatangazwa nafasi za kazi ofisi hiyo akaomba ,written akapita oral akakosa alilia na hiyo intern ameacha sa hii yupo zake nyumbani[emoji1]Asiee Kuna dada namfahamu ni rafiki yangu alilia sana baada ya kukosa Hizi Ajira za Mahakama,na alikuwa anajitolea pia huko huko mahakamani.Ki ufupi unachokisema Mkuu ndio hivyo hivyo.
Sehemu pekee ya Salama na uhakika ni kupitia PSRS tu.
Sekretarieti ya Ajira binafsi naomba Ajira zote hata za Watendaji wa Kata, Vijiji,na Mashirika yote ya Umma, Tamisemi,Wizara ya Afya msimamie nyie,iwe ni za mkataba au muda mfupi.Maana nyie ndio kimbilio la wengi.......
Watu wanaenda usaili mahali baada ya hapo wanarudi wanalia Kwa mambo ya upendeleo.Ila kupitia PSRS Ukienda na kukosa unajifunza wapi ujitahidi Awamu inayofuatia...
Mungu awalinde watumishi wote wa PSRS na muendelee kutenda haki siku zote.
unapinga halafu unarudi mulemule.Huyo dada alitegemea kubebwa kama walivyokua wanafanya miaka ya nyuma hakukua na ushindani mtu unaenda kwenye interview ambayo mwisho wa siku unakuta walioajiliwa wote ni waliokua wanajitolea hata kama hawakuperfom vizuri kwenye pepa za mchujo na oral hicho kitu nimekishuhudia miaka ya nyuma kuna mchizi aliingia kwenye oral alivyotoka akawa anasema panel yote anafahamiana nayo kwasababu kila siku anafanya nao kazi unategemea wanaweza kumuacha? Ila za mwaka jana wote maombi yalipitia kwenye system na kuchujwa kabisa hakukua na upendeleo maana asilimia kubwa ya waliokua wakijitolea walikatwa ingawa badae naona waliitwa tena na kufanyiwa mchakato tena kwa nafasi chache na walizishindania wao kwa wao
At least za mwaka jana zilikua na haki system ilikata wote hadi waliokua wanajitolea, ila fuatilia za miaka ya nyuma ndo utaona. Bila kujuana na mtu ilikua huingii mahakama (walikua wanabeba wale wanaofahamiana naounapinga halafu unarudi mulemule.
ushaambiwa na wadau mahakama ilifanya uhhuni wa hali ya juu
Next week mkuuhii weekend vp hatuokotezi chochote wakuu?
Hata hujui unatetea nini, kila system inachuja kwa namna mamlaka inavohitji. Kws issue ya mahakama, portal iliruhusu ku-appload picha siku moja au mbili tu, baada ya siku hizo, ilikua haiwezekani ku-appload picha, wengi walinasa hapa na wala sio kwa sababu ya system kutaka wenye ufaulu wa juu. Tangazo lilikua wazi, halikuelekeza linataka watu wa ufaulu kwa grade ya juu.Katika ajira ambazo walifanya poa ni za mahakama, system ilichuja kabisa ikachukua watu wachache wenye ufaulu wa juu ndio wakaitwa kwenye pepa ya mchujo (ilisaidia kuwapunguzia watu usumbufu na kupoteza nauli) na kwenye hiyo pepa ulikua unafanya mtihani uku unazijua max zako kabisa maana kama umekosea jibu palepale unaambiwa umekosea jibu kwahiyo walitoka wakijua max zao kabisa. Kuna jamaa nawafaham waliingia hadi oral na wawili walipata kazi bila kuunganishiwa na mtu inshort uwezo wao uliwabeba. Ingawa ile system watu waliokua wanajitolea mahakama iliwachinja maana wengi walikua na uhakika wa kuajiliwa kama ilivyokuaga miaka ya nyuma
Wizarani unapelekewa sehemu yoyote iliyo chini ya Wizara.Umenikumbusha kipindi wife kapangiwa kazi Wizara ya Afya nikajua ya kuwa atakuwa pale Wizarani, kumbe katupwa hospital ya Rufaa..
Utajisajili Salary slip portal.Ety watumishi wa Umma humu jamvini.. Salary slip naweza kuipataje