HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
1M+ viewers Sio mchezo , inabidi ma BestLooser wapewe gawio kutokana na matangazo ya biashara kwenye huu uzi wetu pendwa
Kwa hiyo unaamini akiweka post ake humu itaonwa na watu wote hao?

Trust me, komenti yake inaweza kuonwa na wachache sana ukilinganisha na ikiwa ni uzi unaojitegemea.

Kumbuka kuna watu huwa wanapitia jukwaa husika kuangalia nyuzi/vichwa vya nyuzi ndipo wafungue wauone ndani, sasa kama huu uzi unahusu ajira, mtu anayetaka kununua hawezi kuja humu ataenda kwenye jukwaa la matangazo/biashara akatafute anachokitaka.
 
Huko twitter watu wanaipelekea moto kazi za tra kuna ukabila ...Wanasema hata kama imeamishwa Utumishi mambo ni yaleyale haiwezekani wanaopangiwa wengi wanatoka uwanda mmoja ....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mchakato ulikua wahovyo sana, siongei kwasababu nilikosa, ila mchakato haukua wa uwaz, watu wengi walikosa kuitwa kwenye aptitude test sababu ya kushindwa kuapload picture, wakati hilo lilikua tatizo la system yao.
Mimi nilikua muhanga wa hili, nilivoona inashindikana ku-appload picture, sikijisumbua kabisa na kukamilisaha taratibu na kutuma maombi, tangazo lilikua wazi na liliweka mkazo kuwa picha ni lazima.

Nashukuru umeliweka vizuri hili, kuna mdau juu huko alikua anasifia hii sahili, nafikiri alikua mmoja wa wanufaika huyo.
 
Ukiona amna shuhuda ujue mambo bado, mbona watu wengi humu tumepangwa Halmashauri na shuhuda tumetoa
 
Ata ivyo nilikuwa nA natania TU, hatutaki matangazo kwenye hili jukwaa la majobless
 
Una upload picture Ina MB 5, kweli hiki kitu kinawezekana?
 
Nina wanangu wawili hvii tunakesha na web ya PSRS kila pdf lazima wanangu wanitonye kwa text kuwa sawadogo kuna pdf mpya imetoka ila bado bila bilaa coz tunaamini tupo database.

PSRS toeni pdf ya watu waliopo database na yupo namba ngapi usahili waliopiga soon after oral interview. mfano
Mfwende sawadogo -mchumi (no 157) MDAs&LGAs interview

huku mkiandika NB:Kuwepo database sio guarantee ya kupata post

Kuliko mnavotutesa sasa
 
Umeiweka kitaalam sana
 
[emoji16][emoji16]halmashauri wanavumilia
 
Deedpoll wadau wanasema ndio nziri zaidi
Kwa Kwa hiyo sasa hivi
Mm nilitengeneza ndani ya siku moja, ni kuongea tuu na pocket yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa ,ngoja Jumatatu nimcheki mwanasheria
 
Una upload picture Ina MB 5, kweli hiki kitu kinawezekana?
Maliza kwanza masomo yako hapo chuoni ulipo, uingie katika ulingo wa kutafuta kazi sekta ya umma uone mambo yalivyo katika uhalisia wake.

Una bwabwaja upumbavu mwingi kwa kuwa tu hujamaliza masomo, narudia tena, maliza kwanza masomo, uje katika ulimwengu huu wa reality achana na mawazo yako ya kufikirika kwa usichokijua.
 
[emoji16][emoji16]halmashauri wanavumilia
Trend ya shuhuda imeshuka sana zaman pdf ya watu 40 tunapata shuhuda nne na kuendelea makadirio, ila izi pdf za halmashauri zinabeba watu wengi halafu tukiziunganisha zote na idadi ya shuhuda, yaani wachache sana wameleta shuhuda.


Pdf ina watu 200 hata mmoja kweli hayupo.
 
Asali imenoga mpaka umepotea!
 
Hivi zile kazi interview ya LGA na MDA iliyofanyika mwezi wa pili ndiyo haya haya majina wanayotoa au Kuna mengine?? Mbona utumishi hawaeleweki au ndiyo wanawachakachuwa vijana wetu??
 
Wabunge hawawezi kujua haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…