mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
ndio haya majina mkuuHivi zile kazi interview ya LGA na MDA iliyofanyika mwezi wa pili ndiyo haya haya majina wanayotoa au Kuna mengine?? Mbona utumishi hawaeleweki au ndiyo wanawachakachuwa vijana wetu??
Kama ni hivyo basi Kuna shida sana utumishi, why wasingetoa tu pdf nzima??ndio haya majina mkuu
Kwa mikeka iliyotoka zinaeza kufika 1905 tyr?ndio haya majina mkuu
kilio chetu kimekuwa cha samaki majiniKama ni hivyo basi Kuna shida sana utumishi, why wasingetoa tu pdf nzima??
kwa sababu hatuna data kamili, muda wowote wanaeza sema tyari wamekaribia hii idadi ama tayariKwa mikeka iliyotoka zinaeza kufika 1905 tyr?
Aroo ni kuomba tu mungu mkuu utumishi pazitokilio chetu kimekuwa cha samaki majini
Kuna mzigo unapanda mzee hapokuna kimuli muli kimoja kimezima ,vipi tutegemee pdf mpya kesho?
makofia.. haonekani sasa iv? Hiz show zake hiz.kuna kimuli muli kimoja kimezima ,vipi tutegemee pdf mpya kesho?
hii kitu week ijayokuna kimuli muli kimoja kimezima ,vipi tutegemee pdf mpya kesho?
Wewe ndio wakala empty set kabisaMaliza kwanza masomo yako hapo chuoni ulipo, uingie katika ulingo wa kutafuta kazi sekta ya umma uone mambo yalivyo katika uhalisia wake.
Una bwabwaja upumbavu mwingi kwa kuwa tu hujamaliza masomo, narudia tena, maliza kwanza masomo, uje katika ulimwengu huu wa reality achana na mawazo yako ya kufikirika kwa usichokijua.
Jinga sana hao Business gani inakuwa pushy hivyo aende akajifunze kwa wakinga huko.Mnaanza kuharibu huu uzi kwa haya mauchafu yenu
Tuendelee kuongeza received wakuu one day yesJinga sana hao Business gani inakuwa pushy hivyo aende akajifunze kwa wakinga huko.
Kwa kweli ndugu mungu atasaidia tutapata wote ameennasubiria kesho ifike kwa uwezo wa GOD ili niendeleze tumaini.
Pole Mzee,alaniwe psrs na mawakala wakenasubiria kesho ifike kwa uwezo wa GOD ili niendeleze tumaini.
nami pia nina Received moja na hao jamaaWcf mwezi wa pili wanashindwa kuita watu kwenye interview au awakuwa na huitaji wa haraka.
Bado mapema sanaWcf mwezi wa pili wanashindwa kuita watu kwenye interview au awakuwa na huitaji wa haraka.