HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Umeongea point mkuu nakusapoti ktk hili
 
Tutaanza kuwa yahoo boys kama Nigeria sasa tuwatapeli na kukomba hivyo vi pesa vyenu mlivyoweka benki na kwenye simu ndio mtuelewe ,ngoja nikajifunze coding Kwa wahuni
 
prove kiongozi aliewajibishwa kwa kelele na prove hio logic yako kwamba inasaidia. Nimekaa paleee....
 
Kwa mliopo twitter kuna jamaa anaitwa Lubasha jr anasaidia sna kupush agenda ya database na kuchelewesha kwa placements, kama ingekua vzuri mngeenda kumsupport kwa upande ule kuna ujumbe unafika kwa viongozi husika kama upepo.
 
Vijana wanajaza huku malalamiko, wanaacha kwenda kwenye zile nyuzi kujaza replies na tags kwa Rais na N/Waziri
 
Vijana wanajaza huku malalamiko, wanaacha kwenda kwenye zile nyuzi kujaza replies na tags kwa Rais na N/Waziri
Tukipata retweets na replies 10k mbona faster wanatoa mkeka wa database
 
Haaaa kulaleki hivi si juzi juzi tu tumetoka kupiga interview za mchumi daraja la pili watu kibao na hata placement asilimia kubwa bado atujapata sasa kweli bungee pia nmeona wametoa post ya mchumi wanamtaka mmoja eti tuombe tena seriously..hapa sielewi kana kwamba wote tuliopiga interview tumekula shavu au ndo tulifeli had wamekosa watu waliofaulu na kufill iyo vacancy hii sio sawa.
 
Mtapata kazi ndugu zangu ila msifikirie political move kama itawabeba cha muhimu ni subra tuu, wakitangaza nafasi turudini ulingoni tena tukapambane.
Ushauri murua kabisa huu.
 
Tukipata retweets na replies 10k mbona faster wanatoa mkeka wa database
Kuna mwanasiasa amepush twitter kule malalamiko ya ubaguzi TRA kwa kupitia video ya mbunge aliyoongea uwazi na usawa uwepo kwenye kuajiri watu ...
Mungu ni mwema tushikilie tunachoamin mabadiliko yanaaza kuonekana baada ya Wakuu wa idara wapya kuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…