HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pole sna ndugu ila tujitahidi sna vijana wenzangu tusiwe loan defaulters kwa sababu wakisha kublack list kwenye system zao ni ngumu sna kuaminika kwenye taasisi yote yote ile hasa za kifedha kama bank kwa kua wana system ya credit reference bureau (CRB) hii ina link na taasisi yote yote ile uliyowahi kuchukua mkopo na wakikuta ni mdeni sugu basi unakosa sifa kuaminika tena.
 
Duh mbona mambo yanazidi kuwa magumu,deni yani ulikopa hujarudisha tangu mwaka jana? Ni la tigo pesa kama pesa n Au ulikopa vocha ?
 
Pole sana aiseee
 
Eeeh kweli balaa.. kwenye pesa usizecheze na pesa.
 
Taasisi za fedha wapogo sensitive sana na mambo ya fedha, vitambulisho vya Taifa ndo vimekuja haribu kila kitu
 
prove kiongozi aliewajibishwa kwa kelele na prove hio logic yako kwamba inasaidia. Nimekaa paleee....
Ndugai spka mstaaf
Lowassa na richmond
Kabwe alokuwa mkurugenz wa jiji la Dar alitumbuliwa mbele ya umat wa watu
 
Hizi ni siasa tu za mwaka 2022/23 hzikuisha nchi hii kuna mambo y kufedhehesha san
Haya ndio mambo ya kupigia kelele, watoe placement kwa sahili zote zilizopita, ndipo waendelee na mchakato hii.
 
Nchi yetu tu kuna madeni sugu imeshindwa kuwalipa wafadhili, haya yote coz ajira mtiti so unakuta unatafutiwa kijisababu usepeshwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…