Tangu june mwaka 2022 hadi leo hii, kila siku huwa napitia web ya PSRS.wakuu hvi ni mimi pekee niko addicted na kutembelea website ya PSRS,?kila baada ya muda lazima ni refresh page yao kuona kama kuna pdf.
weka like hapa nijue wangapi tunaoteswa na ubabe huu wa PSRS
Duuuh, pole sana mkuu.Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Unaniuliza mimi ama niliyemquote?ulikuwa unadaiwa kiasi gani?
Duh pole mzeeJamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Cha he sana hizo mpaka sasa zimebaki elf 4 maana zimetoka zaidi ya elf 1
Mkuu hivi ulibahatika kufanya written ngapi jumla?Tangu june mwaka 2022 hadi leo hii, kila siku huwa napitia web ya PSRS.
Imekuwa ni web yangu pendwa sana.
Sikuwahi kuwaza kama ningekuwa hapa nilipo(kikazi) tangu nielewe umuhimu wa kwenda shule(tangu primary).
Tamisemi na Wizara walinibania, kumbe wakanipush huku upande mwingine.
Tusikate tamaa, We Plan God Decide!!
sasa zile 30k huwa zinafikaje haha dah
Unatafuta nini tena kwenye web ya PSRS wakati mrija wa asali umeshaupata mkuu?Tangu june mwaka 2022 hadi leo hii, kila siku huwa napitia web ya PSRS.
Imekuwa ni web yangu pendwa sana.
Sikuwahi kuwaza kama ningekuwa hapa nilipo(kikazi) tangu nielewe umuhimu wa kwenda shule(tangu primary).
Tamisemi na Wizara walinibania, kumbe wakanipush huku upande mwingine.
Tusikate tamaa, We Plan God Decide!!
version ya sasa haipo vzuri. download old version utaona pichaAiseee tangu juzi nashindwa kuona picha zimazotumwa humu, tatizo linaweza kuwa nini?
Nipe link mkuu kama unayoversion ya sasa haipo vzuri. download old version utaona picha
Unataka niwe kama Wabunge ambao huwa hawarudi Majimboni kisa wameupata Ubunge?Unatafuta nini tena kwenye web ya PSRS wakati mrija wa asali umeshaupata mkuu?
ingia chrome search jamii forum old version app. zitakuja mongi download ya mwaka 2022 ipo vzur inafungua picha vzurNipe link mkuu kama unayo
*mingiingia chrome search jamii forum old version app. zitakuja mongi download ya mwaka 2022 ipo vzur inafungua picha vzur
Pole sana aisee, sidhani kama hiyo ni sababu nzito ya kukunyima kazi ilihali ulifaulu usaili wako. Ni vile tuu kuna mtoto wa mkubwa amepenyezwa.Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Ni kweli kabisa.Nchi yetu tu kuna madeni sugu imeshindwa kuwalipa wafadhili, haya yote coz ajira mtiti so unakuta unatafutiwa kijisababu usepeshwe
Watu unawakuta waingiza more than 200k per day halafu unaambiwa 60k per day! Hata Mimi ningechomoa[emoji28][emoji28]waziri wa ardhi ame amuru wanaojitolea katika wizara hiyo-dodoma wapigwe chini. sababu imeonekana ni wapokea rushwa na wabadhirifu wakubwa wengine amedai wanamiliki mpaka magari .
ilipotokea kazi ya muda mfupi ya upimaji wa ardhi na malipo ni 60k per dei wamegomea! waziri akahoji wametoa wapi hii jeuri!!
wamechomoa lakini wamestukiwaWatu unawakuta waingiza more than 200k per day halafu unaambiwa 60k per day! Hata Mimi ningechomoa[emoji28][emoji28]