HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sawa kabisa! Ikifanyika hivyo hakuna atakayelalamika na atakuwa tayari kusubiri kwenye queue hata kwa miaka 2.
 
Mimi ni mdau mkubwa wa sekretarietin ya ajira. Naifuatilia sana si kwa ajili yangu binafsi bali kwa ajili ya wanangu niliowagharimia chuo lakini hawajapata ajira. mmoja amehitimu nmwaka 2018 hadi leo bado hajapata ajira japo amekomaa vilivyo mtaani kujitafutia riziki na ameshazoea. Mwingine amehitimu 2019, huyu amefanya usaili mara 4. Namshukuru Mungu pdf mojawapo iliyotoka mwezi huu wa nne alilamba asali kwenye moja ya manispaa za Dar. Kila usaili alitumia zaidi ya laki moja na nusu kwa usafiri, chakula na malazi. Huo ni mzigo mkubwa sana ambao ni vigumu kuumudu muda wote! Kwa hiyo kuna saili nyingine hakuwa anamudu huhudhuria!
 
hongera sana afsaa ,ukawe mtu mwema .

vp clean placement or database ?and do u feel champ
Umemshauri vizuri akawe mtu mwema!! Hawa hawa wanaolia lia humu kuna siku watapata nafasi ya kushughulikia maslahi ya watu wengine huko mbele!! Tatizo watu huwa wanajisahau na kuanza kusumbua watu kama miungu watu!!
 
Ukilamba asali kumbuka sana kumshukuru Mungu maana kusema ukweli ni vigumu sana kupenye kati ya maelfu wanaosaka ajira!! Wala si kwa akili yako!! mtu ulihitimu miaka 4, 5 nk iliyopita hata mambo mengi sana ulishayasahau!! Kupenya kwenye written ni ngumu sana!! Halafu oral ni too subjective!! Ukipita si kwa akili nyako bali ni kwa rehema za Mungu!! Hilo likumbukeni sana!!
 
Jamn Pdf iliotoka mbn inmeandikwaa FINAL wanamaana ganii.... au zile nafasi za MDA & LGA ndo zimeishaa ?[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…