mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
ngoja tuone mkuuIla huenda za LGA zimeisha maana toka waanze kutoa ni wengi wamelamba asali naona zitakua zimeisha bado za MDA ambazo sio nying kama za LGA
Kama unafatilia placement hizi za halmashaur toka waanze kutoa ni zaidi ya 1500+ washapata placement mana kama mkeka wa tarehe 14/4 18/4 21/4 zipo 2 na 28/4 sio chini ya watu 300 mkeka 1 bado zile pdf za tareh 14/3 zipo 2 na tarehe 16/3 na 17/3 na zingine zilikua halmashaur Tu
Bado za tareh 4/4 zilikua 2 na hapo za mwez march sijahesabu zote hivy final inaweza kuwa idadi imetimiaIla huenda za LGA zimeisha maana toka waanze kutoa ni wengi wamelamba asali naona zitakua zimeisha bado za MDA ambazo sio nying kama za LGA
Kama unafatilia placement hizi za halmashaur toka waanze kutoa ni zaidi ya 1500+ washapata placement mana kama mkeka wa tarehe 14/4 18/4 21/4 zipo 2 na 28/4 sio chini ya watu 300 mkeka 1 bado zile pdf za tareh 14/3 zipo 2 na tarehe 16/3 na 17/3 na zingine zilikua halmashaur Tu
Yeah wengine watapelekwa kwenye ministries department and agency hukongoja tuone mkuu
Ahsante sanaHongera sana
HongeraWakuu nmelamba asali. Namshukru sana Mungu, kuweni na uvumilivu tu maana ni kweli kuna wakati unakata tamaa kbs.
Ngoja tuone mkeka utakaofuata utakuwaje,mm sijaona kabisa za MDA labda kama hio final imemaanisha kwa LGA.Yeah wengine watapelekwa kwenye ministries department and agency huko
MDA bado sijaona hata 1Ngoja tuone mkeka utakaofuata utakuwaje,mm sijaona kabisa za MDA labda kama hio final imemaanisha kwa LGA.
Halina maana yeyote, ondoa shaka. Bado PDF za placement zitaendelea kutoka kama kawaidanime confirm kweli hii pdf ya leo imeandikwa FINAL!!
Mmh sehemu gani?nime confirm kweli hii pdf ya leo imeandikwa FINAL!!
Na mm nilitaka kuuliza hio final ipo wapi jmn ,mm mbn siioni?Mmh sehemu gani?
Ukisha download hiyo pdf kabla hujaifungua isome ilivyoandikwa utaona mwisho imeandikwa final or Fanya kama Una rename hiyo pdf then utaonaNa mm nilitaka kuuliza hio final ipo wapi jmn ,mm mbn siioni?
Nimeona nadhan ni mambo Tu ya IT kuweka clear vitu vyake maana naona ni final(1) so nadhani kuna series za mapdf yatashushwa hapoUkisha download hiyo pdf kabla hujaifungua isome ilivyoandikwa utaona mwisho imeandikwa final or Fanya kama Una rename hiyo pdf then utaona
Mungu atatusaidia tuuuu naimani tutapata tuuNimeona nadhan ni mambo Tu ya IT kuweka clear vitu vyake maana naona ni final(1) so nadhani kuna series za mapdf yatashushwa hapo
AmenMungu atatusaidia tuuuu naimani tutapata tuu
Kweli kabisaUkilamba asali kumbuka sana kumshukuru Mungu maana kusema ukweli ni vigumu sana kupenye kati ya maelfu wanaosaka ajira!! Wala si kwa akili yako!! mtu ulihitimu miaka 4, 5 nk iliyopita hata mambo mengi sana ulishayasahau!! Kupenya kwenye written ni ngumu sana!! Halafu oral ni too subjective!! Ukipita si kwa akili nyako bali ni kwa rehema za Mungu!! Hilo likumbukeni sana!!
Mzigo bado upo wa kutosha hayo ni mambo ya IT katika harakati za kutofautisha pdf kwenye PC yake.Ukisha download hiyo pdf kabla hujaifungua isome ilivyoandikwa utaona mwisho imeandikwa final or Fanya kama Una rename hiyo pdf then utaona
Umenena vyema sana mkuu.Ukilamba asali kumbuka sana kumshukuru Mungu maana kusema ukweli ni vigumu sana kupenye kati ya maelfu wanaosaka ajira!! Wala si kwa akili yako!! mtu ulihitimu miaka 4, 5 nk iliyopita hata mambo mengi sana ulishayasahau!! Kupenya kwenye written ni ngumu sana!! Halafu oral ni too subjective!! Ukipita si kwa akili nyako bali ni kwa rehema za Mungu!! Hilo likumbukeni sana!!
Shida ya kutoa mdogo mdogo huwezi kujua kama zinaendelea au zimeisha ...Vijana wenzangu mna-complicate sana mambo. Yaani terminology moja tu inawatoa relini. PDF hazijaisha, zitaendelea kutoka mpaka pale tutakapojidhihirisha ya kwamba kweli nafasi zimeisha zilizotakiwa.