Mkuu, ni kweli usemavyo lakini tujipe muda. Muda ni mwalimu mzuri sana.Shida ya kutoa mdogo mdogo huwezi kujua kama zinaendelea au zimeisha ...
Wangekuwa wanatoa kama tangazo la kazi linvyotaka haya yote ya kubashiri yasingekuwepo ila ilo neno Final linamaana kwenye document yake aliyosave kwenye computer....
Ila toka wameanza kutoa ni nying na wengi wameita hata Kama bado hazijaisha zimebaki kidgo sanaShida ya kutoa mdogo mdogo huwezi kujua kama zinaendelea au zimeisha ...
Wangekuwa wanatoa kama tangazo la kazi linvyotaka haya yote ya kubashiri yasingekuwepo ila ilo neno Final linamaana kwenye document yake aliyosave kwenye computer....
Mungu atusimamie kwenye mapito haya.....Tusikate tamaaMkuu, ni kweli usemavyo lakini tujipe muda. Muda ni mwalimu mzuri sana.
Samahani kiongozi hao wa MDA wanafanya kazi maneno gani na ipi tofauti Kati ya wanafanya MDA na hao wa halmashauriNi mwisho kwa halmashauli mzee zinakuja za mda.waache masihara kwenye 1900 sasa hivi ndo wapo kwenye 800+
Hamtaki halmashauriNi mwisho kwa halmashauli mzee zinakuja za mda.waache masihara kwenye 1900 sasa hivi ndo wapo kwenye 800+
MDA ni ministry department and agency Yani hao watafanya wizarani, kwenye taasis na vitengo mbalimbali vya serikali kuuSamahani kiongozi hao wa MDA wanafanya kazi maneno gani na ipi tofauti Kati ya wanafanya MDA na hao wa halmashauri
Ndugu uhakika au maana tusije tukakesha bureNa Leo SAA Tisa za usiku kuna PDF msilale
Ndugu uhakika au maana tusije tukakesha bure
Pamoja Sana kakaTunaotea tu kaka
Amina ndugu yetu na we pia Mungu akubariki sana kama haujapata ajira akusaidie upate na kama umepata basi aendelee kukulinda katika kazi yako, maana umemtumaini Bwana.Nawatakia wote mafanikio. Mungu ni mwema na anaiona taabu yenu!!
PDF Mpya ni meimosi au ijumaa.Sawadogo naona Una Kesha unasubiria pdf[emoji23][emoji23][emoji23]
maelezo yako sijayaelewa kiongozi. Embu andika taratibu ueleweke, usiandike kama unakimbizwa kiongozi. Nawasilisha hoja.Habarini wakuu! Hivi inawezekana utumishi wakaanza kuchomoa watu kwenye database kabla hata ya direct placement? Nauliza hivi kwa sababu kuna mdau nilipiga naye usahili mwezi wa pili cha kushangaza placement ya hiyo taasisi bado haijatoka lakini kuna msailiwa mmoja tulikuwa naye yeye ameitwa kazini kupitia pdf la jana. Cha kushangaza zaidi huyo jamaa yeye hakuwahi kufanya oral nyinngine hapo kabla! PSRS wanatuvuruga sanaaa vijana wa nchi hii. Placement wanachelewesha halafu utendaji kazi wao ni wa hovyo hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wakuu! Hivi inawezekana utumishi wakaanza kuchomoa watu kwenye database kabla hata ya direct placement? Nauliza hivi kwa sababu kuna mdau nilipiga naye usahili mwezi wa pili cha kushangaza placement ya hiyo taasisi bado haijatoka lakini kuna msailiwa mmoja tulikuwa naye yeye ameitwa kazini kupitia pdf la jana. Cha kushangaza zaidi huyo jamaa yeye hakuwahi kufanya oral nyinngine hapo kabla! PSRS wanatuvuruga sanaaa vijana wa nchi hii. Placement wanachelewesha halafu utendaji kazi wao ni wa hovyo hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo itakua fresh placement na sio kutoka database. Na je hiyo taasisi mliyofanya mwez wa pili ni ipiHabarini wakuu! Hivi inawezekana utumishi wakaanza kuchomoa watu kwenye database kabla hata ya direct placement? Nauliza hivi kwa sababu kuna mdau nilipiga naye usahili mwezi wa pili cha kushangaza placement ya hiyo taasisi bado haijatoka lakini kuna msailiwa mmoja tulikuwa naye yeye ameitwa kazini kupitia pdf la jana. Cha kushangaza zaidi huyo jamaa yeye hakuwahi kufanya oral nyinngine hapo kabla! PSRS wanatuvuruga sanaaa vijana wa nchi hii. Placement wanachelewesha halafu utendaji kazi wao ni wa hovyo hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app