Black Mamba wapo porini sana hukoo. Ila kutoka Itigi hadi Mitundu ni kweli fursa ya Kilimo ipo. Nimeona pdf ilopita kuna mmoja kwenye kada yangu amepangiwa Itigi. Ata enjoy sana kama ataamua kutumia muda wake vizuri. Kama upo humu nitafute nikupe A B CsPia kuna wale nyoka Black mamba wa kutosha na kuna fursa ya kilimo cha alizeti na Asali mkuu
Hongera sana mkuu. Kila la kheri. Halmashauri wanapaponda ila kuna hela, nimejionea mwenyewe.Wandugu
Namshukuru Mungu kwenye pdf ya Jana na Mimi nimo nimepangiwa halmashauri.
Baada ya kufanya kazi private kwa miaka name hatimaye nahamia gavoo.
Msikate tamaa katika wengi wewe ni Mmoja wapo.
Kwa uwezo wake mungu na sio kutoa tuuu na naimani pia tuwe miongoniniimani yetu watacheka tena soon
Bora halmashauri kuliko privateHongera sana mkuu. Kila la kheri. Halmashauri wanapaponda ila kuna hela, nimejionea mwenyewe.
Ndiyo hivyo mkuu.kwa iyo uyo jamaa una maana amefanya oral moja tu ambayo majibu yake bado hayajatoka ila amepangiwa placement Halmashaurini ambako hakufanya oral interview?
Okay, kwa hiyo wakaona wampange kwengine siyo kule alipoomba ?Bwana Mr spider usiogope hio inatokea sana itakuwa alifanya vizuri zaidi oral yake usiogope
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mkuu umenichekesha aisee japo na mimi nipo jirani sana na hiyo halmashauri kwa sasa. Lakini jamaa hajapangwa ItigiMwambie tu jamaa aende akaripoti ITIGI na asisahau buti nzito kuna funza sana
Mitundu nilikuwepo hapo jumamosi iliyopita.Black Mamba wapo porini sana hukoo. Ila kutoka Itigi hadi Mitundu ni kweli fursa ya Kilimo ipo. Nimeona pdf ilopita kuna mmoja kwenye kada yangu amepangiwa Itigi. Ata enjoy sana kama ataamua kutumia muda wake vizuri. Kama upo humu nitafute nikupe A B Cs
Daaah miaka nane private? Kampuni nzuri? ningekuwa mimi nishagombana na maboss kitambo maana private nyingi bila kuwa chawa hamwendi mbele, Hongera sana mkuuWandugu
Namshukuru Mungu kwenye pdf ya Jana na Mimi nimo nimepangiwa halmashauri.
Baada ya kufanya kazi private kwa miaka nane hatimaye nahamia gavoo.
Msikate tamaa katika wengi wewe ni Mmoja wapo.
Kazi ilikuwa ngumu sana kwani kada yangu nilikuwa mwenyewe so napiga kazi hadi siku za sikukuu.Daaah miaka nane private? Kampuni nzuri? ningekuwa mimi nishagombana na maboss kitambo maana private nyingi bila kuwa chawa hamwendi mbele, Hongera sana mkuu
mkuu hongera sana .Kazi ilikuwa ngumu sana kwani kada yangu nilikuwa mwenyewe so napiga kazi hadi siku za sikukuu.
Daah hongera ndani ya miaka nane mimi nishafanya na kampuni 4Kazi ilikuwa ngumu sana kwani kada yangu nilikuwa mwenyewe so napiga kazi hadi siku za sikukuu.
Jitoe akili nenda kapambane na wakurugenzi na managers face to face acha kutuma CV online, nenda kapige kichwani ukianzia chini kueleweka ni ngumumkuu hongera sana .
vp ulipataje kazi hapo coz private za kueleweka hata call for interview tu changamoto?
Hongera sana mkuu, kila la kheriWandugu
Namshukuru Mungu kwenye pdf ya Jana na Mimi nimo nimepangiwa halmashauri.
Baada ya kufanya kazi private kwa miaka nane hatimaye nahamia gavoo.
Msikate tamaa katika wengi wewe ni Mmoja wapo.
Muda wenyewe wa kwenda interview nilikuwa sipatiDaah hongera ndani ya miaka nane mimi nishafanya na kampuni 4
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema sana.Wandugu
Namshukuru Mungu kwenye pdf ya Jana na Mimi nimo nimepangiwa halmashauri.
Baada ya kufanya kazi private kwa miaka nane hatimaye nahamia gavoo.
Msikate tamaa katika wengi wewe ni Mmoja wapo.
Hongera sana mkuu. Mda wa kulitumikia taifa sasaWandugu
Namshukuru Mungu kwenye pdf ya Jana na Mimi nimo nimepangiwa halmashauri.
Baada ya kufanya kazi private kwa miaka nane hatimaye nahamia gavoo.
Msikate tamaa katika wengi wewe ni Mmoja wapo.
Mbona wanaita mkuu kama una vigezo. Hata hivyo nilimaliza Chuo miaka 11 iliyopitamkuu hongera sana .
vp ulipataje kazi hapo coz private za kueleweka hata call for interview tu changamoto?