HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Una edit
 
uzi umepoa wana wengi wamelamba asali,

wengine wamevunjika moyo na kuchelewa kwa placement

kuna mm nae tafuta vi akiba nijipange na sahili mpya


Note: muda ndio muamuzi sahihi wa kila kitu
Mambo magumu mkuu yanachosha sanaa utumishi wanatesa...but all in all ni kusubiri tu kila 1 ana wakti wake
 
Daaah miaka nane private? Kampuni nzuri? ningekuwa mimi nishagombana na maboss kitambo maana private nyingi bila kuwa chawa hamwendi mbele, Hongera sana mkuu
Shida sio private, shida ni private za kibongo,Boss hajui unapo ishi unafuraha au hauna furaha yaani punda afe mzigo ufike😁 utajua mwenyewe, manyanyaso mixer uchawa, vijana wabaki kuiba kukimbia, ufanisi unashuka kampuni zinapata hasara
 
Wandugu
Namshukuru Mungu kwenye pdf ya Jana na Mimi nimo nimepangiwa halmashauri.
Baada ya kufanya kazi private kwa miaka nane hatimaye nahamia gavoo.
Msikate tamaa katika wengi wewe ni Mmoja wapo.
Baada ya kufanya private kwa nini usingeendelea huko huko ukawaachia wenzio ambao hata private hawajapata?
 
Happy new month ndugu zangu.
Wale wa MDA/LGA mwezi huu tunakamilisha mwaka tukisubiri mchakato
Hii ni ajabu sana!! Kibali cha kuajiri kinapotoka maana yake ni kwamba pesa kwa ajili ya waajiriwa hao wapya tayari zipo. Tangazo la MDA/LGA kuajiri maana yake pesa hizo zilikuwepo kwenye bajeti ya 2022/2023 ambayo huanza july 2022 na kuishia june 2023. Lakini walengwa bado wengine hawajaajiriwa hadi mwaka huo wa fedha unaishia!! Hapa naona panafuka moto!!
 
Au hizo bajeti za waajiriwa ambao hawajaariwa bado huwa wanazipiga ?
 
Kuna shida kubwa sana mwaka Sasa ushatimia Toka tangazo litoke, je izo sehemu zenye upungufu wa watumishi Kwa mda wote uo ufanisi wao wa kazi ukoje? Na je kama Kuna watu wamekaimu Kwa kipindi chote icho nafasi zao nao inakuwaje kuwaje? Ndo maana madudu yanazidi kuwa mengi Kila kukicha, ufanisi ni 0 kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…