HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Amina sana kwa kweli Mungu wetu ni mwaminifu sana tumtumainie yeye atatenda kwa majira na nyakati zake, imetupasa kumuomba yeye bila kukata tamaa siku zote.
 
Wakuu,nimejaza akaunti yangu kwa profile imefika 91%,nika-apply. Je naweza nkaitwa kwenye written as long as sehemu nyingne zote nmejaza isipokua kwenye working experience?MSAADA tafadhali
 
Wakuu,nimejaza akaunti yangu kwa profile imefika 91%,nika-apply. Je naweza nkaitwa kwenye written as long as sehemu nyingne zote nmejaza isipokua kwenye working experience?MSAADA tafadhali
Ondoa shaka mkuu. Upo vizuri. Kama umefuata kila sharti la tangazo la kazi, utaitwa kwenye written interview.
 
Wakuu,nimejaza akaunti yangu kwa profile imefika 91%,nika-apply. Je naweza nkaitwa kwenye written as long as sehemu nyingne zote nmejaza isipokua kwenye working experience?MSAADA tafadhali
Yeap uswazee maana Mimi sijafikisha asilimia hizo na nimefika Hadi oral
 
Tatizo sio ajira kutoka tatizo utumishi unafanya usaili unakaa karibia mwaka majibu wanachelewesha
Ni kweli. Naamini baadhi ya wahusika wanapita humu jamvini pia na wanaona malalamiko ya watu. Toka post za MDA & LGA zitangazwe na watu wakaomba ni karibu mwaka umepita. Zilitoka mwaka jana mwezi wa tano na sasa ni mwezi wa tano!! Usaili ulifanyika mwezi wa pili saa hii ni mwezi wa tano!! Tunajua wana changamoto kubwa sana, kazi yao ni ngumu sana!!! Lakini tunawaomba wajitahidi hivyo hivyo kukidhi matarajio ya watanzania!! Ila tukumbuke kuwaombea ili watende haki maana HAKI HUINUA TAIFA
 
Ni kweli ni muhimu kuwakumbuka watumishi wa PSRS katika sala na dua zetu kwa Mungu ili waitende haki ya Mungu kwa watu wake, kwa kuwa nao ni binadamu hivyo wanamapungufu na madhaifu yao.
 
Wakuu,nimejaza akaunti yangu kwa profile imefika 91%,nika-apply. Je naweza nkaitwa kwenye written as long as sehemu nyingne zote nmejaza isipokua kwenye working experience?MSAADA tafadhali
Hakuna tatizo. Nakushauri ujiandae tu pesa za kukuwezesha kuhudhuria usaili kituo chochote utakachopangiwa. Unakuta mtu anaishi kigoma anaitwa kufanya usaili Dar au Dodoma. Lakini pia jiandae kitaaluma hasa kwa ajili ya hiyo written na jijengee confidence kwenye oral! Usisikilize maneno ya kukukatisha tamaa.
 
Ugumu wa kazi yao unakujaje mkuu em nisaidie kuniweka wazi
 
Uzi umepoa,..kelele za nyuma ya keyboard sasa tumefika tamati,
Kuna waliokata tamaa,kuna waliokosa matumaini kabisa,yote kubwa kuliko yote ni zoezi la LGA/MDA mchakato wake ndio umeondoka na matumaini ya vijana wengi,na wengi kukata tamaa kabisa...haiwezekani watu wafanye interview siku moja lkn kuitwa waitwe mafungu mafungu afu anakuja mtu anasema muwe wavumilivu...upuuzi sana huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…