HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
unajua subra ni kipaji ,hasa pale ambapo huna mishe inayo eleweka subra inakata kabisa. list ya waliopata placement ila mwajiri ajajipanga ingewekwa hadharani the same kwa wale waliopo database pia,maana tunasubiri tu kumbe tunasubiria hewa.
 
Yan this time lower your expectations maana unaweza toka na ugonjwa ukisubiria Kaz za psrs
 
Wakuu kuna yyte aliyefnya application TRC kwa kada ya Station Master???km yupo vipi ramli inasemaje kuhusu kuitwa kwa ajili ya written???Manake msoto umkua mkubwa mtaani had tunasahau km tulifanya application.
 
Omba mungu hizo sjui kama hawajaita mwezi wa 8 hukoo
 
nimesoma comments zenu nikawa nacheka tu. mimi sina uhakika ila nahisi connection za kupata kazi zipo. mfano watoto wa wakubwa wengi wao wapo makazini government hahahaha, ina maana wote huwa ni vichwa au?. NECTA tu huwa inasimamiwa hadi na polisi lakini kuna shule zilikuwa zinaiba mitiani na kuwapa wanafunzi wao. Note: wengi hatuamini uwepo wa connection kwasababu hakuna mtu mjinga ambaye atapata kazi kwa njia ya connection afu akajitaja. Wengi utasikia wanakuambia SALI SANA,OMBA MUNGU USIKATE TAMAA hahaha.

tunyweni mtori nyama zipo chini.
 
Usiamini kila unachoambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo data base ni mlango wa nyuma wa kupitishia watu!! Watu walioko "database" ni siri kali! Ndio maana hizo marks za oral inabakia ni siri kali!! Wewe haujiulizi kwa nini watu huwa hawapewi wakaona marks zao za oral? Kama haujawahi kuziona marks zako za oral una uhakika gani na hiyo "data base"?
 
wajuzi watafafanua.

namalizia ,jamaa aka conclude usiombe umepangiwa halmashauri pesa ya kujikimu utaiandikia madai even after six month ndio wanakuja kukulipa(baadhi ya halmashauri)
Hela ya kujikimu siku hizi wanatoa siku 7 tu na kila siku ni sh. 100,000/=. Hiyo ndiyo ya uhakika. Mwajiri akiwa fair zaidi anakupa pesa ya kusafirishia mizigo tani mbili na nusu pamoja na nauli yak na familia kama unayo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…