Hii inaweza kua kweli mana ninaowafaham waliokwisha pangiwa vituo wako vizuri sanaPili, wakuu ukipiga oral ,wale walio qualify zaidi wakapangiwa kazi. mliopo database hakuna mianya ya kutoa majina mfukoni, wakitaka kuchukua database wana command system wale wenye marks za juu watazidi kupata placement systematic mpaka kuwafikia wale wenye marks za chini. na akamaliza kuwa kuwa kuna ma auditor kabisa wa mfumo, na siku ile ya oral kunakua na watu kutoka idara tofauti tofauti za serikali ili kuhakikisha usahili unakua wa haki.
wakuu janja janja PSRS ni kidogo tena za kibinadamu ,tusiwachukulie kirahisi sanaa
i sh laki saba yaani pesa ya siku 7 kila siku laki moja. Pia unapewa nauli yako toka nyumbani kwenu hadi kituo cha kazi na pesa ya kusafirishia mizigo kama tani mbili na nusu hivi.Kwani kwa kawaida pesa ya kujikimu inacheza kati ya bei gani
Hao PSRS ndio hawaeleweki ww sheria zipo wazi kwanini wajiri wajipangie, kwanini watoe utararibu wao na taratibu za data bsae zipo wazi kuna nini hapo provided mtu anavigezo stahiki kwanini asipewe kazi kutoka data base Tanzania tutachelewa sana kuendelea maana mtu mmoja anapinga utaratibu halali na anasikilizwa sas nguvu ya PSRS ipo wapi wap wao ndio wanawajibu kisheria waahiri ni kupokea tu na suo kukataa labda mtu awe kafoji vyeti mpaka ufaulu oral maana yake unavigezo, bongo figisu nyingi mbingini wataingia wachache sanaNiliwapigia simu utumishi siku moja nikawauliza maswali yafuatayo na majibu yao yalikuwa hivi
* swali la kwanza, niliwauliza sifa ya mtu kuwa database ni zipi?
walinijibu atakayefaulu oral interview. hadi ufaulu oral interview ndo uwepo database
*swali la pili nikawauliza, je mtu atajuaje kama yupo database wakati matokeo ya oral interview ni siri yenu ?
walinijibu kulingana na sheria na kanuni zao hawawezi kumuambia mtu yupo database au hayupo wala hawawezi kutoa matokeo ya oral . chamsingi nifatilie placement kama mtu yupo database na vibali vikitoka basi uyo mtu ataona jina lake.
*swali la tatu nikawauliza; kwanini mnatangaza matangazo mapya ya kazi kwa kada flani na wakati hao wataalam mnao database? nikawaambia wapeni kipaumbele wa database kwa sababu walifaulu usaili taari.
walinijibu, sio kila muajiri anahitaji watu kutoka database. wanaangalia na masharti ya muajiri.
kumbe muajiri ndo anamaamuzi.
Basi na mimi nikakata simu . nikasema acha nijipange na saili zingine maana hakuna matumain ya database
Mwajiri anayekulipa ndiye anayetoa masharti yake, sioni shida katika hilo. Hata wewe leo hii ukihitaji mtumishi wa ndani utatoa vigezo vyako na si bora mtumishi tu.Hao PSRS ndio hawaeleweki ww sheria zipo wazi kwanini wajiri wajipangie, kwanini watoe utararibu wao na taratibu za data bsae zipo wazi kuna nini hapo provided mtu anavigezo stahiki kwanini asipewe kazi kutoka data base Tanzania tutachelewa sana kuendelea maana mtu mmoja anapinga utaratibu halali na anasikilizwa sas nguvu ya PSRS ipo wapi wap wao ndio wanawajibu kisheria waahiri ni kupokea tu na suo kukataa labda mtu awe kafoji vyeti mpaka ufaulu oral maana yake unavigezo, bongo figisu nyingi mbingini wataingia wachache sana
1.Kwnn Oral iwe siri ila written isiwe siri kwao wakati wameeleza kabisa kwenye kifungu chao kanuni za msailiwa alifauru ukipita mwaka mmoja unatoka data base(usanii uliazia hapa kwenye kipengere hichi)....Niliwapigia simu utumishi siku moja nikawauliza maswali yafuatayo na majibu yao yalikuwa hivi
* swali la kwanza, niliwauliza sifa ya mtu kuwa database ni zipi?
walinijibu atakayefaulu oral interview. hadi ufaulu oral interview ndo uwepo database
*swali la pili nikawauliza, je mtu atajuaje kama yupo database wakati matokeo ya oral interview ni siri yenu ?
walinijibu kulingana na sheria na kanuni zao hawawezi kumuambia mtu yupo database au hayupo wala hawawezi kutoa matokeo ya oral . chamsingi nifatilie placement kama mtu yupo database na vibali vikitoka basi uyo mtu ataona jina lake.
*swali la tatu nikawauliza; kwanini mnatangaza matangazo mapya ya kazi kwa kada flani na wakati hao wataalam mnao database? nikawaambia wapeni kipaumbele wa database kwa sababu walifaulu usaili taari.
walinijibu, sio kila muajiri anahitaji watu kutoka database. wanaangalia na masharti ya muajiri.
kumbe muajiri ndo anamaamuzi.
Basi na mimi nikakata simu . nikasema acha nijipange na saili zingine maana hakuna matumain ya database
Tarehe sikumbuki /10/ 2021 walitangaza nafasi . zikaja kuitwa 5/02/2022 ilikuwa siku ya interview. 16/02/2022 ikatoka placement. so unawaza pata picture hapo au mwangaWakuu kuna yyte aliyefnya application TRC kwa kada ya Station Master???km yupo vipi ramli inasemaje kuhusu kuitwa kwa ajili ya written???Manake msoto umkua mkubwa mtaani had tunasahau km tulifanya application.
[emoji1787][emoji1787], na yeye inabidi apoteeNaskia IT wa PSRS kapoteza external yenye pdf zenu.
Database ipo na mm ni mmojawapo nlipata kazi kupitia hapoHiyo data base ni mlango wa nyuma wa kupitishia watu!! Watu walioko "database" ni siri kali! Ndio maana hizo marks za oral inabakia ni siri kali!! Wewe haujiulizi kwa nini watu huwa hawapewi wakaona marks zao za oral? Kama haujawahi kuziona marks zako za oral una uhakika gani na hiyo "data base"?
aende kwenye archivesWakuu mwenye PDF za placement mwezi wa 4 huu wote atume Kuna dogo anataka ajitafute
Tayar kazipata kumbe simple tu
Sijasema data base haipo, ninachosema ni kuwa hakuna ajuaye kama jina lake liko kwenye data base kwa hiyo hakuna namna ya kudai haki yoyote kwa kigezo cha data base. Pia hakuna ajuaye kuwa yuko kwenye data base kwa kuwa hakuna ajuaye kama alifaulu au alifeli oral interview kwa kuwa marks huwa hazitolewi!! Hapo kwenye usiri wa matokeo ya oral exam ndo uchawi uko hapo!! Kwa nini orodha ya kwenye data base isiwekwe wazi na marks zao??Database ipo na mm ni mmojawapo nlipata kazi kupitia hapo
Aende kwenye archieve mkuu pdf zote zipo kuleeWakuu mwenye PDF za placement mwezi wa 4 huu wote atume Kuna dogo anataka ajitafute