Pole sana bibie ur time is comming soonKada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...
Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.
Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.
It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Kada gani dada, uchumi daraja la pili au.?Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...
Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.
Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.
It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Hiyo data base ni mlango wa nyuma wa kupitishia watu!! Watu walioko "database" ni siri kali! Ndio maana hizo marks za oral inabakia ni siri kali!! Wewe haujiulizi kwa nini watu huwa hawapewi wakaona marks zao za oral? Kama haujawahi kuziona marks zako za oral una uhakika gani na hiyo "data base"?
Mambo ganaenda ovyo sana tofauti na tunavyo dhani, wangekuwa systematic kilakitu kingewekwa wazi kuanzia sikubya oral, ubagu unaanza kwenye kuomba ajira, mara sytem zibague bila logic bado utumbo wa kanzi data vurugu hapo ndo vijana wanapata hasira, nibora wasikuite kabisa kwenye usaili kuliko mauza uza ya saizi kwanza hujui ume score ngapi, walio itwa huwa jui, wana leta kwenye placementbmajina tofahti na walio fanya usaili, tungekuwa tunaona tungeshangaa kiukweri pesa ndo inaongea kule ujanja mwingi vijana tuje kudai mabadiliko ya sheria za utumishi hizi za saizi ni ulaji kwa PSRSSijasema data base haipo, ninachosema ni kuwa hakuna ajuaye kama jina lake liko kwenye data base kwa hiyo hakuna namna ya kudai haki yoyote kwa kigezo cha data base. Pia hakuna ajuaye kuwa yuko kwenye data base kwa kuwa hakuna ajuaye kama alifaulu au alifeli oral interview kwa kuwa marks huwa hazitolewi!! Hapo kwenye usiri wa matokeo ya oral exam ndo uchawi uko hapo!! Kwa nini orodha ya kwenye data base isiwekwe wazi na marks zao??
Ni suala la mda tu Madam, na wewe utalamba Asali [emoji120]Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...
Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.
Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.
It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Hongera kaka TPDC uliomba kazi kada gan , na oral mliingia wangap..?Wakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Hongera sana mkuu, karibu upande wa pili [emoji120]Wakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Hongera kakaWakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Mi naamini humu ndani kila mtu atalamba asali ni suala la mda tu.Asante sana
Bado sana hata nusu haijafika!Kumbe pdf za mda na LGA Bado zipo mie nilijuwa zimeisha
Anhaaa mwenye nilipga TPDC ila sikubahatika kupata kaziMechanical
mpiga ramli nachukua muda kukupongeza sana . vipi oral ulipiga lini afsa wangu??Wakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
ww ni moment of silent mkuu??Wakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Yaah Para ya mwisho ndo yenyewe hiyo! Ts not yet over, mapambano yaendelee mpaka pale kitakapoeleweka..Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...
Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.
Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.
It aint over until IT'S OVER si ndio?....
hongera sana manSikumbuki vizur, nadhan Feb 2 mwaka huu
Sio huyu Moment of silent alipiga civil TPDCww ni moment of silent mkuu??
kuna mwamba alipiga oral Tpdc alikua anatumia jina hilo la moment of silentUnamaanisha nn
nimekusoma afsaSio huyu Moment of silent alipiga civil TPDC