Hongera sana ukawe Mtumishi mwemaWakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Kuna sehemu umepangiwa,na hutoamini kama umepangiwa huko,Kikubwa ni kuendelea kuomba tu.Mungu Huyu ni mwema sana.Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...
Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.
Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.
It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Hongera ndugu, ndio maana tunasema wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, tusikate tamaa , japo kama hivi pdf zinapotoka inaumiza sana kibinadamu pale unapokuta jina halipo , lakini huzunika kidogo tu ila usimnung'unikie Mungu yeye ni mwema sana hutuazia mema daima na hutupa pale ambapo yeye huona pana tufaa, sisi tunapanga ila yeye Baba yetu wa Mbinguni ni muamuzi, tusikate tamaa , daima huwarehemu maelfu kwa maelfu ya wanadamu wanaomtumainia ukiwepo Wewe na Mimi cha msingi tuendelee kumtegemea na kuyatenda mapenzi yake katika maisha yetu, kwa hakika atatupa asali ( Ajira) wote hapa ndani kwa mapenzi yake, pia katika sala na dua zetu tusisahau kuwaombea watumishi wa PSRS ili Mungu azidi kuwaongezea weledi na kutenda haki katika majukumu yao, Mungu wetu ni mwema na msikivu na ndiye muweza wa yote tukianza na yeye na kumaliza na yeye hakuna litakaloshindikana yeye ni ALPHA NA OMEGA( Mwanzo na Mwisho).Wakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
🙏 Amen, hakika atatenda.Hongera ndugu, ndio maana tunasema wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, tusikate tamaa , japo kama hivi pdf zinapotoka inaumiza sana kibinadamu pale unapokuta jina halipo , lakini huzunika kidogo tu ila usimnung'unikie Mungu yeye ni mwema sana hutuazia mema daima na hutupa pale ambapo yeye huona pana tufaa, sisi tunapanga ila yeye Baba yetu wa Mbinguni ni muamuzi, tusikate tamaa , daima huwarehemu maelfu kwa maelfu ya wanadamu wanaomtumainia ukiwepo Wewe na Mimi cha msingi tuendelee kumtegemea na kuyatenda mapenzi yake katika maisha yetu, kwa hakika atatupa asali ( Ajira) wote hapa ndani kwa mapenzi yake, pia katika sala na dua zetu tusisahau kuwaombea watumishi wa PSRS ili Mungu azidi kuwaongezea weledi na kutenda haki katika majukumu yao, Mungu wetu ni mwema na msikivu na ndiye muweza wa yote tukianza na yeye na kumaliza na yeye hakuna litakaloshindikana yeye ni ALPHA NA OMEGA( Mwanzo na Mwisho).
Hongera sana wote mliolamba Asali.Na bado sipo aloooo 3.5.2023View attachment 2608261
Ebu washirikishe kwanza hao wanaokulipia gharama uone mtazamo wao kwanzaWakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.
Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.
Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.
Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.
Sababu...
1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.
Umri
20 years
Elimu yangu
Form 4
Form 6
Ujuzi
Driving + licence daraja A A2 D
JKT 839
Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...
Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaWakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Nenda 'archives'.Mbona utumishi kwenye placement wanafuta za April alaf PDF za mwezi wa 3 bado zipo. Hao wa halmashaur walivyoitwa wengi alaf mtu ukute haupo online kwa mda ukirud kusearch placement za mwez wa 4 washafuta na kutafuta pdf ni Kaz mno
Hivi umepigiwa simu au kupata ujumbe wowote kwenye email au message maana kama umepata kupitia database si huwa wanakuchekWakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Asante tayar amepata hizo PDF lakin bado hajapata placement nimemwambia asubiri maana MDA na LGA bado hazijaishaNenda 'archives'.
Una maana ganPpf mkuu
Majina kwenye Pdf kakaUna maana gan
Dogo mm nakushauri endelea na degree kama unaipenda HR sababu ukirud diploma tena badae utataka kusoma degree na unapoteza mda plus pesa. Pia kupata kazi ni bahat na mipango ya Mungu unaweza soma hiyo misitu ukahustle kitaa na HR vilevile hvy jitahid kufanya maamuz magumu ujue unapenda nn na ukivumilia kwa mda Tu unapata degree yako maisha yakasongaWakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.
Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.
Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.
Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.
Sababu...
1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.
Umri
20 years
Elimu yangu
Form 4
Form 6
Ujuzi
Driving + licence daraja A A2 D
JKT 839
Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...
Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Aah nikajua wale wa database wanapigiwa simuPdf mkuu
Bora hata uende misitu au mifugo kuliko HR.Kozi imefurika halafu ajira chacheWakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.
Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.
Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.
Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.
Sababu...
1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.
Umri
20 years
Elimu yangu
Form 4
Form 6
Ujuzi
Driving + licence daraja A A2 D
JKT 839
Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...
Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Kumbuka misitu hawaajiri kila mara like hiyo mifugo nayo watu kitaa wamefurika siku hz hamna course zenye watu wachache labda hizi za afya atleastBora hata uende misitu au mifugo kuliko HR.Kozi imefurika halafu ajira chache