Kijiji cha Wajinga
Member
- Dec 7, 2019
- 90
- 279
Mdogo wangu usisome tu course kwa sababu ya umbali wa home bali soma kozi kwa kuangalia mapendekezo yako, soko la iyo kozi. iyo course ya misitu itakulimit sehemu moja tu kama watu wa TRA. fanya uchunguzi usome course ambayo itakuwezesha kuomba kazi sehemu mbali mbali hasa kwenye ajira portal.Wakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.
Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.
Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.
Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.
Sababu...
1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.
Umri
20 years
Elimu yangu
Form 4
Form 6
Ujuzi
Driving + licence daraja A A2 D
JKT 839
Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...
Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Asante mkuu, vp na ww ulikua miongoni mwa applicants?Tarehe sikumbuki /10/ 2021 walitangaza nafasi . zikaja kuitwa 5/02/2022 ilikuwa siku ya interview. 16/02/2022 ikatoka placement. so unawaza pata picture hapo au mwanga
[emoji16][emoji16][emoji16] samahani mkuu unamaanisha uzidishe maombi ili iweje?Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...
Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.
Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.
It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Mungu bado ni mwema, usijali.Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...
Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.
Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.
It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Hongera mkuu, Sido ni Shirika kwa hiyo usijali ni kama ilivyo TARI,TEMDO, TMDA,n.kWakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.
Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Ndo ule msemo wa ya Mungu tumuachie Mungu, na ya Kaisari tumuachie Kaisari[emoji16][emoji16][emoji16] samahani mkuu unamaanisha uzidishe maombi ili iweje?
Yani kutokana na maombi yako uliyozidisha ipelekee wengine kukosa alafu upate wewe au hayo maombi yanakuwa ya kipi hasa?
Pole sanaa mkuu tunakaribia hivyoOlaaaaaaa tenaaaaa alooooooooh ili gundu ni Kali sanaaaaa.
Nimekuelewa mkuuMdogo wangu usisome tu course kwa sababu ya umbali wa home bali soma kozi kwa kuangalia mapendekezo yako, soko la iyo kozi. iyo course ya misitu itakulimit sehemu moja tu kama watu wa TRA. fanya uchunguzi usome course ambayo itakuwezesha kuomba kazi sehemu mbali mbali hasa kwenye ajira portal.
Na bado sipo aloooo 3.5.2023View attachment 2608261
Nimefanya hvyo mkuu na wao ndò walipendekezaEbu washirikishe kwanza hao wanaokulipia gharama uone mtazamo wao kwanza
Mdg angu komaa na io HR miaka mitatu ni michache sana usiuwaze huo msoto na kukosa boom utakuja ona faida yake ukipata ajira though i encourage u, uendelee apply madirisha mengine..HR pia c mbaya kama unavyodhan na chuon hakunaga coz mbaya/nzuri sahv zote znasumbua ajira.. Sahv upo sec semester miez miwil tu mwaka umeumalza..#komaa na HRNimefanya hvyo mkuu na wao ndò walipendekeza
Sala na maombi ndio kila kitu Mungu yeye aiona njia yako hata ya kizazi cha tatu, kuna mtu amewekwa makusudi apite katika joto lakini baadae atafurahi uvumilivu ndio unahitajika, alipangalo Mungu hakuna awezaye kupangua. Utashangaa PSRS wanampa asli wenyewe bila kujielewa😁😁[emoji16][emoji16][emoji16] samahani mkuu unamaanisha uzidishe maombi ili iweje?
Yani kutokana na maombi yako uliyozidisha ipelekee wengine kukosa alafu upate wewe au hayo maombi yanakuwa ya kipi hasa?
🙏🙏Sala na maombi ndio kila kitu Mungu yeye aiona njia yako hata ya kizazi cha tatu, kuna mtu amewekwa makusudi apite katika joto lakini baadae atafurahi uvumilivu ndio unahitajika, alipangalo Mungu hakuna awezaye kupangua. Utashangaa PSRS wanampa asli wenyewe bila kujielewa😁😁
Nashukuru🙏mkuu...encouragement kubwa sanaMdg angu komaa na io HR miaka mitatu ni michache sana usiuwaze huo msoto na kukosa boom utakuja ona faida yake ukipata ajira though i encourage u, uendelee apply madirisha mengine..HR pia c mbaya kama unavyodhan na chuon hakunaga coz mbaya/nzuri sahv zote znasumbua ajira.. Sahv upo sec semester miez miwil tu mwaka umeumalza..#komaa na HR
Sawa mkuuSala na maombi ndio kila kitu Mungu yeye aiona njia yako hata ya kizazi cha tatu, kuna mtu amewekwa makusudi apite katika joto lakini baadae atafurahi uvumilivu ndio unahitajika, alipangalo Mungu hakuna awezaye kupangua. Utashangaa PSRS wanampa asli wenyewe bila kujielewa[emoji16][emoji16]