Duuu!!!! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.Wakisema wawape priority wanaojitolea sio sawa most wanaojitolea ni connection mi kuna sehemu nimewahi kujitolea nikiingia kwa mgongo wa mamdogo na wote waliokua wanajitolea walikua ndugu ndugu wa watumishi mule ofisini ambae hana ndugu mle mkataba ilikua mwisho miezi 3.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,Mtu mwenyewe anayetaka kusimamia uwekaji wa utaratibu wa kutoa kipaumbele kwa waliojitolea kupata ajira ni Riz-1 Kik*ete!! Hapo jiandaeni kupigwa na kitu kizito kichwani!!
kwaiyo hakuna usaili kwa ambao wanajitolea wanachomekwa tu au ? basi hapo ata wakifanya usaili na washindwa fanya vzur oral basi watachomekwa kwa kigezo cha kujitolea. naona sasa kuna haja sasa yakuweka matokeo ya oral wazi..maana tunapoelekea kutakua na kupeana chance kwa upendeleo kwa kigezo cha kujitolea.Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Hapa inaonyesha mama(rais)kawapa vibari 6,000+ sasa wanapanga watumie vp kupitisha watoto zao kwa kigezo cha kujitolea....
Ukiisikiliza Waziri Mh.mhagama kwa kauli yake aliyosema data base ni dhahiri Mh.Mhagama anahuruma na vijana nenda rudi nenda rudi ya oral Dodoma hapendi 1700+...kwaiyo hakuna usaili kwa ambao wanajitolea wanachomekwa tu au ? basi hapo ata wakifanya usaili na washindwa fanya vzur oral basi watachomekwa kwa kigezo cha kujitolea. naona sasa kuna haja sasa yakuweka matokeo ya oral wazi..maana tunapoelekea kutakua na kupeana chance kwa upendeleo kwa kigezo cha kujitolea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Hapa inaonyesha Mama(rais)kawapa vibari 6,000+ sasa wanapanga watumie vp kupitisha watoto zao kwa kigezo cha kujitolea..
Vijana tungekua na msimamo na kauli moja tukadai kanzidata iwekwe wazi na matokeo ya oral interview yatolewe waziUkiisikiliza Waziri Mh.mhagama kwa kauli yake aliyosema data base ni dhahiri Mh.Mhagama anahuruma na vijana nenda rudi nenda rudi ya oral Dodoma hapendi 1700+...
Pale unapoongezewa dau la 1700+ na mwenye nchi kauli hizi lazima ziwepo...
Mungu awasimamie katika maamuzi yao...ila kitaa sio Poa
Kwanza kujitolea inasababisha serikali wasitoe ajira za kutosha na ndipo hapo wanatafuta suluhisho sababu ya uhaba wa wafanyakazi. Imagine huna kila kitu unaambiwa ujitolee bills zangu nalipa vipi ikiwa nimetokea kijijin na sina pakukaa.90% ya wanaojitolea wameingia kwa connection
Simply ni kwamba, vijana wanaojitolea ndiyo wanaosababisha serikali isitangaze ajira za kutosha kwa vijana kwasababu uwepo wao ofisini unaficha uhalisia wa upungufu wa Watumishi maofisini maana kila takwa la kiutumishi linakamilishwa na hao vijana wanaoitwa wa kujitolea, serikali haiwezi na haitaweza kuuona huo upungufu kiurahisi.Kwanza kujitolea inasababisha serikali wasitoe ajira za kutosha na ndipo hapo wanatafuta suluhisho sababu ya uhaba wa wafanyakazi. Imagine huna kila kitu unaambiwa ujitolee bills zangu nalipa vipi ikiwa nimetokea kijijin na sina pakukaa.
Alafu kujitolea ni kupoteza muda na haina maana mana unaweza kujitolea kama customer service alaf kazi unakuja kupata ya registration officer mfano asa hapo experience inaendana vp na kazi uliyopata
Mfano tu Kuna dada alikua anajitolea halmashaur X zilivokuja Kaz za postcode na sensa hakupata hata moja hadi akaacha kujitolea maana alijitolea for 2 years
14 kuanzia lini?Muda wa kuripoti ni siku 14 tu. Zikipita hizo fasta nafasi yako anapewa mwingine,. Wewe ripoti tu mambo mengine mbele kwa mbele!
hivi jamani mtu anaweza akawa kwenye database zaidi ya myaka mitatu...?
Yeah inawezekana kwa zile taasisi zinazozalisha pesa na kujitegemea mfano mwaka Jana waliofanya interview za mocu waliitwa kazini moja kwa moja bila kwenda kuchukua barua dodoma baada ya siku kadhaa psrs ndio wakatoa placement.Hivi wakuu naomba kuuliza inawezekana barua ya kuitwa kazini ikafika ofisi za KAZI mda mrefu Hadi ikafika mda ofisini wakakupigia kuwa unahitajika kazini kabla ya psrs kutoa jina lako placement
Naomba msaada kwa anaeelewa hiyo ishu
hivi jamani mtu anaweza akawa kwenye database zaidi ya myaka mitatu...?
Kaka tumaini bado lipo la pdf leoLeo kabla ya saa sita usiku kuna watu watalamba asali sehemu za heshima wakuu kuna dude kubwa linapikwaa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwaiyoo unaweza ukaripoti bila ya kuwa na barua ya kaziYeah inawezekana kwa zile taasisi zinazozalisha pesa na kujitegemea mfano mwaka Jana waliofanya interview za mocu waliitwa kazini moja kwa moja bila kwenda kuchukua barua dodoma baada ya siku kadhaa psrs ndio wakatoa placement.
Ila tembelea website ya taasis uliyoomba kazi huwa wanapost pia
pia