mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Ndivyo wanavyotaka!! yaani waliojitolea ndio wapewe kupaumbele. Hata kama akifanya usaili kunakuwa na upendeleo kwa aliyejitolea dhidi ya yule ambaye hakujitolea. Tatizo ni kwamba ambaye hakujitolea si kwamba hataki kujitolea bali hakupata hiyo fursa ya kujitolea!mm sijamuelewa atawapa nafasi wanaojitolea bila kufanya interview nakufaulu au ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu tunavyozungumza tayari watoto wa wakubwa walishapachikwa huko BOT, NSSf, TRA nk "wakijitolea" huko. Yaani tayari walishaandaa mazingira tayari!! Sasa wanataka waingie king, kete walishazicheza tayari bado kuingia king tu!! Watu ndo muda huu wanashtuka kuwa kumbe kuna watu walishaanza kujitolea tayari!!Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Hapa inaonyesha Mama(rais)kawapa vibari 6,000+ sasa wanapanga watumie vp kupitisha watoto zao kwa kigezo cha kujitolea....
Mkuu hizi ni za ndanii au kuturusha roho jobless πLeo kabla ya saa sita usiku kuna watu watalamba asali sehemu za heshima wakuu kuna dude kubwa linapikwaa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
NajaribuMkuu hizi ni za ndanii au kuturusha roho jobless [emoji28]
π«π«
No Angeles descending from above[emoji31][emoji31]
PDF next weekKaka tumaini bado lipo la pdf leo
Bado mnafanya sorting ya database ya simbachawenePDF next week
Monday 10 %
Tuesday 55%
Wednesday 65%
Thursday 30%
Friday 50 %
Leo kuna possibility kubwa sana ikawepoPDF next week
Monday 10 %
Tuesday 55%
Wednesday 65%
Thursday 30%
Friday 50 %
Leo hamna dalili naona next week tena hyo panapo majaaliwaLeo kuna possibility kubwa sana ikawepo
Toeni na zile za taasis pendwa[emoji849][emoji849]PDF next week
Monday 10 %
Tuesday 55%
Wednesday 65%
Thursday 30%
Friday 50 %
Kwambaa jamaa ni ktk wakandajii??π³Toeni na zile za taasis pendwa[emoji849][emoji849]
ππππKwambaa jamaa ni ktk wakandajii??π³
Hapana barua inakua tayari imetumwa kwa mwajiri wakoKwaiyoo unaweza ukaripoti bila ya kuwa na barua ya kazi
Nashkuru mkuuHapana barua inakua tayari imetumwa kwa mwajiri wako
Hahaha hamna kitu leo naona katupia tu advertsment shirka la postaMzee wa kiflash anajiandaa kupandisha pdfπ π
PoapoaNashkuru mkuu
Hahaha hamna kitu leo naona katupia tu advertsment shirka la posta